China yaanza kulazimisha wanawake kuachika mimba kwenye jamii ya waislamu wapunguze kuzaliana

Ukikua mfano wewe utapata faida Gani ama Kuna gawio utapata. Ama unadhani ndio mtachukua Mungu wa wengine
 
huo uislam wa london utapoa zaidi na mwisho utatoweka kabisa. Umewahi kuona waimba kaswida wa magharibi wanavyovaa? Ni umagharibi mtupu, utadhani wako kwenye tamasha la muziki wa kidunia
 
Tatizo mnapenda kujazana ujinga na uwongo, uislamu wenyewe umeasisiwa na muarabu about 1,500 years ago, yaani miaka 500 baada ya Yesu, wewe unasema waislamu wamekua China maelfu ya miaka.
Kama hujui kitu bora kuuliza Islam upo China toka Tang dynasty
 
Hawa islamists wetu, elimu ndogo ndiyo maana hushabikia mambo bila ufahamu. Hawajui kuwa angalau nchi za western zimewapa uhuru; badala ya kuthamini hizo nchi wao hushabikia China na Urusi. China na Urusi huwa hazina lelemama zinaposhughulika na Waislamu. And mark my word, the first real crackdown of islam will be initiated by these countries. Time will tell very soon
 
Kwani kuna wachina ambao ni waislam? Nikiona nitashangaa! Bongo sijawahi kuona mmasai ni muislam, huwa nashangaa kuona mchaga, mhaya na msukuma akiwa muislam!, wazungu ndio kabisa nitashangaa zaidi!
Sisi mwiislam tuna muita mswahili hata misikiti iko mwanza mjini huku vijijini hakuna yaaan msukuma aache kwenda shamba kila mara akasali🤣
 
Uislam dunia nzima ni mmoja tuuu
 
Nashukuru kwakujua kwamba uislam utazagaa sana
 
Muislam asie na elimu ni sawa sawa na wasiokua waislam mia wenye elimu
Sababu kitendo tu chakua muislam ni elimu
 
... waislam kawaida yao ni wabishi tu, suala la uzazi wa mpango, unaoendeshwa na serikali, kwa China linawahusu watu wa makundi yote ya kijamii na sio waislam peke yake!
Mkuu muslims wana slogan yao za kuzaliana sana ili kuwa wengi duniani.

Hii ni moja ya agenda inayofanyiwa kazi popote anapokuwepo muislamu, ndiyo maana wanawake wasio dini hii wanaodanganywa na kupumbazwa kwa pesa ili waingie kwenye ndoa huwa wanaangukia pua mbele.

Labda kidogo sana muislamu msomi huyo ana adabu na hekima kutokana na ilimu na mazingira aliyopo but nyuma ya pazio ni shida.
 
hilo la wazungu kuuza majengo hayo lipo wazi ila hawawi waislam typically. Uislam wao utakuwa ni uislam wa kimagharibi, uislam chotara na feki
Wewe mlokole hauna unalojua wazungu wenyewe wanalalamika Uislam unaingia kwa kasi Ulaya na Marekani wewe upo Uyole unapinga 😂😂😂
 
Wala sijakuelewa ulipoandika mimba kuachika sijawahi kusikia kuhusu mimba kuachika
 
wakioa mabinti wa kikristo huwazalisha bila mpango watoto wengi hawajali afya za mama wanaona bora wafe lakini wamezaa umma wa mahamadia
 
You nailed it!
 
Europe. Islam is the fastest-growing religion in Europe. According to the Pew Research Center, the Muslim population in Europe (excluding Turkey) was about 30 million in 1990, and 44 million in 2010; the Muslim share of the population increased from 4.1% in 1990 to 6% in 2010.
 
Wewe mlokole hauna unalojua wazungu wenyewe wanalalamika Uislam unaingia kwa kasi Ulaya na Marekani wewe upo Uyole unapinga 😂😂😂
Wanamlalamikia nani wazungu?
 
Kama kuna adui duniani wakwanza ni China
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…