mchina muislam niliwahi kumuona kigamboni zile quarter za nssf. nilimshangaaKwani kuna wachina ambao ni waislam? Nikiona nitashangaa! Bongo sijawahi kuona mmasai ni muislam, huwa nashangaa kuona mchaga, mhaya na msukuma akiwa muislam!, wazungu ndio kabisa nitashangaa zaidi!
Europe ambako waislam wa Nzega mnawatukana ni Mashoga ndio huko mnakokimbilia na kuzaliana kwenye amani.Europe. Islam is the fastest-growing religion in Europe. According to the Pew Research Center, the Muslim population in Europe (excluding Turkey) was about 30 million in 1990, and 44 million in 2010; the Muslim share of the population increased from 4.1% in 1990 to 6% in 2010.
Alikuwa Jasusi kazi maalum huyomchina muislam niliwahi kumuona kigamboni zile quarter za nssf. nilimshangaa
anaitwa Ali jina lake la pili la kikwao
jamaa anaswali swala 5. nilishangaa mnooooo. halafu ana roho nzuri balaa. kanisaidia sana wakati nafanya kazi za kubeba tofali
duh sio poaAlikuwa Jasusi kazi maalum huyo
kuna mmoja huwa namuona luningani ni mtangazaji anaitwa zakia. Huko china majimbo ya kusini yana waislammchina muislam niliwahi kumuona kigamboni zile quarter za nssf. nilimshangaa
anaitwa Ali jina lake la pili la kikwao
jamaa anaswali swala 5. nilishangaa mnooooo. halafu ana roho nzuri balaa. kanisaidia sana wakati nafanya kazi za kubeba tofali
haha duh basi hujatembea duniani mkuu..wachina wasilamu wapo, wazungu wengi sana wapo. nime travel the world kiasi chake nimekutana nao.Kwani kuna wachina ambao ni waislam? Nikiona nitashangaa! Bongo sijawahi kuona mmasai ni muislam, huwa nashangaa kuona mchaga, mhaya na msukuma akiwa muislam!, wazungu ndio kabisa nitashangaa zaidi!
akina malasusa na timu yake pale dmp kkkt ni kabila gani hapa dar?haha duh basi hujatembea duniani mkuu..wachina wasilamu wapo, wazungu wengi sana wapo. nime travel the world kiasi chake nimekutana nao.
kwa hapo bongoland sidhani kama kuna kabila linakosa watu wa imani zote kuu 2. ila hata mimi sijawahi kuona mzaramo/mmatumbi/mndengereko mkristo. wapo kweli?
Sie tunaoa mpaka wake kumi na kitu mbona nyie kidogoTuna oa mpk wake 4 na hatuna upuuzi wa uzazi wa mpngo na kokote tupo na tunazidi kuwa wengi
wakiambiwa uislam wa ulaya utakuwa ni kituko wanabisha na kusema uislam ni mmoja. Kule ni demokrasia + uislam, utapata uislam wa ajabu, waislam wa madongokuinama bongo ni wabishiEurope ambako waislam wa Nzega mnawatukana ni Mashoga ndio huko mnakokimbilia na kuzaliana kwenye amani.
Mtaani huku mabinti niliowafahamu ni vilio !.wakioa mabinti wa kikristo huwazalisha bila mpango watoto wengi hawajali afya za mama wanaona bora wafe lakini wamezaa umma wa mahamadia
Mmasai hawezi kujilipua kigaidi ndo maana wanaogopa kwenda upande huoKwani kuna wachina ambao ni waislam? Nikiona nitashangaa! Bongo sijawahi kuona mmasai ni muislam, huwa nashangaa kuona mchaga, mhaya na msukuma akiwa muislam!, wazungu ndio kabisa nitashangaa zaidi!
heh!unamaanisha malasusa mtu wa pwani?akina malasusa na timu yake pale dmp kkkt ni kabila gani hapa dar?
Ahsante kwa taarifa, lakini kumbuka hiyo ni mipango ya kibinadamu, na uislamu ungekuwa ni mipango ya kibinadamu na kwa jinsi unavyopigwa vita ungekuwa umeshakufa zamani, lakini ndiyo kwanza unazidi kushamiri.Hii China ambayo husifiwa sana humu na waislamu wa JF ndio hii inatumia kila mbinu za kila aina kuhakikisha hamzaliani huko, wanalazmisha hata mimba kuachika.
Kila siku mnaimba "death to America"................
========================
The Chinese government is taking draconian measures to slash birth rates among Uighurs and other minorities as part of a sweeping campaign to curb its Muslim population, even as it encourages some of the country’s Han majority to have more children.
While individual women have spoken out before about forced birth control, the practice is far more widespread and systematic than previously known, according to an AP investigation based on government statistics, state documents and interviews with 30 ex-detainees, family members and a former detention camp instructor. The campaign over the past four years in the far west region of Xinjiang is leading to what some experts are calling a form of “demographic genocide.”
The state regularly subjects minority women to pregnancy checks, and forces intrauterine devices, sterilization and even abortion on hundreds of thousands, the interviews and data show. Even while the use of IUDs and sterilization has fallen nationwide, it is rising sharply in Xinjiang.
China cuts Uighur births with IUDs, abortion, sterilization
The Chinese government is taking draconian measures to slash birth rates among Uighurs and other minorities as part of a sweeping campaign to curb its Muslim population, even as it encourages some of the country’s Han majority to have more children.apnews.com
Poleni brazaj
Inafanya vizuri, wanajua madhara yake.Hii China ambayo husifiwa sana humu na waislamu wa JF ndio hii inatumia kila mbinu za kila aina kuhakikisha hamzaliani huko, wanalazmisha hata mimba kuachika.
Kila siku mnaimba "death to America"................
========================
The Chinese government is taking draconian measures to slash birth rates among Uighurs and other minorities as part of a sweeping campaign to curb its Muslim population, even as it encourages some of the country’s Han majority to have more children.
While individual women have spoken out before about forced birth control, the practice is far more widespread and systematic than previously known, according to an AP investigation based on government statistics, state documents and interviews with 30 ex-detainees, family members and a former detention camp instructor. The campaign over the past four years in the far west region of Xinjiang is leading to what some experts are calling a form of “demographic genocide.”
The state regularly subjects minority women to pregnancy checks, and forces intrauterine devices, sterilization and even abortion on hundreds of thousands, the interviews and data show. Even while the use of IUDs and sterilization has fallen nationwide, it is rising sharply in Xinjiang.
China cuts Uighur births with IUDs, abortion, sterilization
The Chinese government is taking draconian measures to slash birth rates among Uighurs and other minorities as part of a sweeping campaign to curb its Muslim population, even as it encourages some of the country’s Han majority to have more children.apnews.com
Poleni brazaj
Nashukuru kwakujua kwamba uislam utazagaa sana
Europe. Islam is the fastest-growing religion in Europe. According to the Pew Research Center, the Muslim population in Europe (excluding Turkey) was about 30 million in 1990, and 44 million in 2010; the Muslim share of the population increased from 4.1% in 1990 to 6% in 2010.
huo uislam wa london utapoa zaidi na mwisho utatoweka kabisa. Umewahi kuona waimba kaswida wa magharibi wanavyovaa? Ni umagharibi mtupu, utadhani wako kwenye tamasha la muziki wa kidunia
Uislamu ndio dini inayojali afya ya mama na mtoto na inajli uzazi wa mpangowakioa mabinti wa kikristo huwazalisha bila mpango watoto wengi hawajali afya za mama wanaona bora wafe lakini wamezaa umma wa mahamadia
Maa sha allah allah amhifadhi shekhe Allyyymchina muislam niliwahi kumuona kigamboni zile quarter za nssf. nilimshangaa
anaitwa Ali jina lake la pili la kikwao
jamaa anaswali swala 5. nilishangaa mnooooo. halafu ana roho nzuri balaa. kanisaidia sana wakati nafanya kazi za kubeba tofali
Hakuna mpemba mkristo kwa kuzaliwahaha duh basi hujatembea duniani mkuu..wachina wasilamu wapo, wazungu wengi sana wapo. nime travel the world kiasi chake nimekutana nao.
kwa hapo bongoland sidhani kama kuna kabila linakosa watu wa imani zote kuu 2. ila hata mimi sijawahi kuona mzaramo/mmatumbi/mndengereko mkristo. wapo kweli?