China yaanza kulazimisha wanawake kuachika mimba kwenye jamii ya waislamu wapunguze kuzaliana

Wazungu na ukristo kuongezeka ndoto sababu mnapenda usenge na usagaji
Ila waislamu hukutani na huo ujinga wenu huko
Mtaelewa tu siku moja
 
Ukikua mfano wewe utapata faida Gani ama Kuna gawio utapata. Ama unadhani ndio mtachukua Mungu wa wengine
Ukikua sio mimi tu ntakae faidika hata wewe usie muislamu pia utafaidika sanaa
Mwenye enzi Mungu ni mmoja kijana Allahu ahadu
 
Kwani kuna wachina ambao ni waislam? Nikiona nitashangaa! Bongo sijawahi kuona mmasai ni muislam, huwa nashangaa kuona mchaga, mhaya na msukuma akiwa muislam!, wazungu ndio kabisa nitashangaa zaidi!
Unaishi kwenye box brothet, kuna jamii kabisa ya waislam china
 
Ukikua sio mimi tu ntakae faidika hata wewe usie muislamu pia utafaidika sanaa
Mwenye enzi Mungu ni mmoja kijana Allahu ahadu
Kwani nani akasema kuwa Mwenyezi Mungu sio mmoja mkuu.
Pia mie sioni kuwa uislamu ndio utakuwa ni tiketi ya wewe kuishi milele na kula Bata za peponi naamini hakuna dini iyo ipo hapa duniani Bali moyo na vitendo yako ndivyo vitakavyokupeleka huko unakotaka.

Sasa njoo matendo mabaya umefanya mangapi?
Umechepuka na mke wa mtu,upo kwenye ndoa Ila unafanya zinaa?
Umetamani Mali za watu mara ngapi,
Hujawahi iba,una uhakika unayoyawaza muda wote ni mazuri.
Sasa usije ukaanza kuleta utetezi wako kuwa mie nilikuwa mwislamu.
Haya ukiwa na dini za kiafrika asilia pepo utaiona bana.
Sio lazima ufuate Imani za watu wengine. Why Kila watu Wana dini zao. Dini ni utamaduni yaani namna ya kuishi.
Ndio mana Kila dini Wana mavazi,lugha na chakula Chao.
Nani akakuambia kuwa mavazi Fulani kuwa ndiyo Muumbaji anataka
 
Acha tubaki na asili zetu
 

Attachments

  • Screenshot_20240523-220039_Chrome.jpg
    216 KB · Views: 9
Nashukuru kwakujua kwamba uislam utazagaa sana

kama shetani alivyozagaa duniani, hiki ni kipindi chenu na majini yenu.....Lakini kiama kitawakuta tu.
 
Hata Urusi haupendi uislamu though ina urafiki wa karibu na Iran. Waislamu wakiwa wengi tu, tegemea hilo eneo kutokua na amani. Wana aleji sana na amani. Hawaishi kulalamika, yaani wao wanaonewa Uarabuni, wanaonewa Somalia, Sudan, wanaonewa Msumbiji, wana onewa Zanzibar na Pemba, wanaonewa Ulaya na Marekani, wanaonewa wakiwa Israeli. Watakimbia shariah laws wakiwa kwao to nchi za makafiri, wakifika nchi za makafiri wanataka shariah laws tena so sio kitu cha ajabu kwa China kuwawekea vikwazo.
 
Na sasa ndio wako wengi tz, unahisi ndio sababu?
 
Na sasa ndio wako wengi tz, unahisi ndio sababu?
Unauliza majibu bro? Hawa hawa wanao mlaumu Nyerere eti aliwazuia kwenda shule, Nyerere kaachia madaraka over 40 years ago but to date maeneo yenye waislamu wengi ndio hayo hayo hayapendi shule. Waangalie tena, serikali ikitaka kuchukua maoni kutoka kwa wadau, viongozi wao wanakwenda kuomba eti waruhusiwe kuoa mabinti baada tu ya kuvunja UNGO, halafu mabinti hao wasiposoma, utawasikia, "mfumo Kristo" stupid
 
Waliomba serikali iwanunulie darubini kubwa ili waweze kuona mwezi baada ya mfungo wa ramadhani πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Waliomba serikali iwanunulie darubini kubwa ili waweze kuona mwezi baada ya mfungo wa ramadhani πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
Imagine; yaani halafu wanawachukia Wakristo kwa kupewa msaada wa kuendesha taasisi zao za elimu, afya. Kikwete akawaambia, na nyie JENGENI muone kama hamtasaidiwa...., aaha hapana, sisi tunaomba mabinti zetu turuhusiwe kuoa wakiwa na miaka 13, halafu shuleni wavae hijabu. Pumbafu.
 
Ndio maana munasapoti ushog na usagaji kama njia y depopolation mulivyokua hamjitmbui
Kama watu wanazaliana kaa kwa kutuli wewe kama huna kizazi acha watu wafyatue
Mwisho uislamu duniani unakua na utaendelea kukua hata kama maqafir mtachukia yaani
Suala la uislamu kuenea nisuala la muda tu yaani hata kama mnachukia na mtachukia
Kwanini mnalazimisha dini yenu kwa Mwenyezi Mungu aliumba hii dunia waishi waislamu peke yao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…