Uchaguzi 2020 China yaionya USA juu ya uchaguzi wa Tanzania 2020

Uchaguzi 2020 China yaionya USA juu ya uchaguzi wa Tanzania 2020

Kweli sikuelewi, wewe kwa akili yako timamu unaweza kutulinganisha SISI na Sudan au Zimbabwe au ni ushabiki tu?
Tumetofautiana nini na Zimbabwe??? Kwani kuna tofauti gani pia kati ya aliyokuwa akifanya Al Bashir kuwabambikia kesi wapinzani wake na kuwafunga jela na anavyofanya Jiwe wenu???
 
Kwanza China ndiye beberu mkubwa wa Tanzania, ameingia kila sekta na kuchukua rasilimali za nchi hii bila huruma!
Kila sekta kama ipi hujui mwekezaji mkubwa hapa Tanzania ni South Africa ,huyo mchina yupo wapi zaidi ya Chicco kwenye barabara au hata Mjapani ni mchina.
 
Tumetofautiana nini na Zimbabwe??? Kwani kuna tofauti gani pia kati ya aliyokuwa akifanya Al Bashir kuwabambikia kesi wapinzani wake na kuwafunga jela na anavyofanya Jiwe wenu???
Na bado, mtasema uongo na hilo suala la watu kubambikiwa kesi hadi basi! Msimamo ni kuwa kama wewe ni mwizi wa mali ya umma au mla rushwa - itakula kwako tu! Hata kama una watetezi wa namna gani ukila au ukiiba vya umma tu kesi, sasa kama mtasema kabambikiwa au nini, yote yatajulikana mbele ya Pilato.
 
1603290882601.png

Halafu wanajifanya nyenyenye Marekani! Ebu tuondoleeni vibamia vyenu msituingilie.
 
Hao wakubwa wote ni mabeberu ila mmoja ana sharubu ndefuuuuu mwinge fupi ... Wote wananuka harufu ya zizini
Wasijifanye kondooo
 
Tumetofautiana nini na Zimbabwe??? Kwani kuna tofauti gani pia kati ya aliyokuwa akifanya Al Bashir kuwabambikia kesi wapinzani wake na kuwafunga jela na anavyofanya Jiwe wenu???
Na bado, mtasema uongo na hilo suala la watu kubambikiwa kesi hadi basi! Msimamo ni kuwa kama wewe ni mwizi wa mali ya umma au mla rushwa - itakula kwako tu! Hata kama unawatetezi wa namna gani ukila vya umma tu kesi, sasa kama mtasema kabambikiwa au nini, yote yatajulikana mbele ya Pilato.
 
Hao wakubwa wote ni mabeberu ila mmoja ana sharubu ndefuuuuu mwinge fupi ... Wote wananuka harufu ya zizini
Wasijifanye kondooo
Kuna weza kuwa na ukweli wa aina Fulani kwenye hiyo "allegation", lakini unatakiwa kupima hizo "sharubu" zinakudhuru vipi au ni zake tu kwa mapendekezo yake? Hapa hoja ni huyo beberu anakusaidia namna gani wakati wa dhiki au misaada yake ikoje kwa uchumi wako? Hiyo ndiyo HOJA!
 
Wanao dai kuwa Marekani wasiseme lolote juu ya uchaguzi mkuu wa Tanzania wasisahau pia kusema China isiseme lolote juu ya uchaguzi huo.
 
Soma takwimu za sasa hivi ujue nani anaongoza kiuchumi dunia

Sent from my Infinix X655 using JamiiForums mobile app
Tofautisha vitu halisia na propaganda, hivyo unazani China anaweza kumkoromea USA kwa kuwa yeye kapika data ?
Angalia hata Africa SA yupo vizuri lakini Nigeria wamepika data wapo juu ,lakini nani anaweza kusimama mbele ya AU kuahidi msaada wa $100M kati ya SA na Nigeria?
 
Asante rafiki wetu wa kweli china, lete kabisa na submarine ipaki kigamboni, hawa usa wana kambi yao hapo kenya.
 
Serikali ya China imeitaka USA kutoingilia maswala ya ndani ya nchi nyingne ikiwemo uchaguzi wa Tanzania kwa kuwa serikali ya Tanzania inaweza kusimamia vema uchaguzi

==
CHINA YAIAMBIA MAREKANI ISIINGILIE MAMBO YA NDANI YA TANZANIA

Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa #China, Zhao Lijian ameiambia #Marekani isiingilie mambo ya ndani ya Tanzania

China inaamini #Tanzania itafanya Uchaguzi Mkuu kwa mafanikio ikiamini serikali ina uwezo wa kusimamia Uchaguzi huo

Kauli hiyo imekuja baada ya Marekani kusema haitasita kuchukua hatua kwa watakaoonekana kuwa chanzo cha kuvuruga uchaguzi wa Haki na Demokrasia

Chanzo: Azam Tv

My take:
China watupotezee sisi tumeamua kufanya mabadiliko kama wanapenda rais wa ujenzi waje wamchukue akawajengee flyover
Wote mabeberu, Ila tutamuunga mkono beberu atakaye wakoromea Hawa wahuni wa ccm
 
Kila sekta kama ipi hujui mwekezaji mkubwa hapa Tanzania ni South Africa ,huyo mchina yupo wapi zaidi ya Chicco kwenye barabara au hata Mjapani ni mchina.
Usitufanye mazuzu basi,kwa data za BOT anaongoza Kenya then SA then China but reality Ni chinese wamejaa kila kona nchi hii wachina wapo hadi kwenye small gold mines,wapo kwenye medium oil milling.
Wachina wanauza hadi vizuri vya magari .
Wachina ndio wanatupiga kwenye startime
 
Kila sekta kama ipi hujui mwekezaji mkubwa hapa Tanzania ni South Africa ,huyo mchina yupo wapi zaidi ya Chicco kwenye barabara au hata Mjapani ni mchina.
Si vizuri ukaweka wazi ujinga wako hadharani. Hujui kuwa Wachina wanachimba madini,gesi, wanakata magogo, wananunua nyara za serikali kama pembe za ndovu, wanabeba mizigo Kariakoo, wanauza bidhaa feki, wapo katika sekta ya ujenzi, wanauza dawa nk.
 
Marekani wafanye yao watuachie nchi yetu. Hatukupandisha bendera 9 Dec ili tuendelee kupangiwa nini tufanye na nini tusifanye na mabeberu.
Sasa kwa kufanya hivyo China hawaoni kuwa tayari wameshaingilia uchaguzi wetu ..............!!
 
Back
Top Bottom