stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 7,134
- 4,556
Huyu ni Lumumba mwenzenu johnthebaptist na Bia yetu?
hahaha sasa hoja yako ni nn sasa, kama huna mada pita tu left
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu ni Lumumba mwenzenu johnthebaptist na Bia yetu?
Wewe jamaa muongo sana
Pakistan na Israel zigombanie nini?
Pakistan ni kibaraka wa USA katika maslahi ya central Asia (Iran ,Afghanistan, Oman,UAE ,baharein,Bangladesh nk).
Pakistan anauhasama na India japo wote ni wa USA.
Huyo Russia unaemuongelea hata humjui ,rais Putin mwenyewe nyuma ya upara ameandikwa 'made in tel Aviv'
Irani ayatollah chini ya ndevu zake ameandikwa "made in England"
Sasa wewe mwarabu wa kwa mtogole unabisha tuu
Mtampoteza Jiwe mtamuingiza chaka china badokuna mbuzi juzi nlimwambia kabisa, hata wafanye nn marekani haiwezi kuifanya chochote tanzania! Tanzania ni mstari mmoja na pakistan, sisi hatuwasupport israel, sasa pakistan ni msururu mmoja na china + russia! hawa wanasubiri marekani ifanye kosa lolote kuna kitu kinaitwa INTER CONTINENTAL BALISTIC MISSLES, china na russia, missles zao zpo set for new york, kwahio ni kitendo cha kubonyeza tu switch marekani nzima ibaki majivu, kwahio waliokua wanategemea sjui marekani , belgium habari ziwafikie
kuna mbuzi juzi nlimwambia kabisa, hata wafanye nn marekani haiwezi kuifanya chochote tanzania! Tanzania ni mstari mmoja na pakistan, sisi hatuwasupport israel, sasa pakistan ni msururu mmoja na china + russia! hawa wanasubiri marekani ifanye kosa lolote kuna kitu kinaitwa INTER CONTINENTAL BALISTIC MISSLES, china na russia, missles zao zpo set for new york, kwahio ni kitendo cha kubonyeza tu switch marekani nzima ibaki majivu, kwahio waliokua wanategemea sjui marekani , belgium habari ziwafikie
Alianza uyu mwanamke wa chadema kwamba dunia inaangalia na kweli ikaangalia, miaka yote nenda rudi marekani hua wanakuaga kwenye uchaguzi kawaida na hakuna shida yoyote sasa waliovuruga ni huyu mwanamke mwenye mguu mfupi
Mleta mada mliberali wahedi. Unaleta TAARIFA halafu unapotosha mwishoni. Kama uchaguzi sio wa haki au umeona Kuna viashiria vya kuharibu mchakato si mpeleke hayo malalamiko. Sisi ni nchi huru aloSerikali ya China imeitaka USA kutoingilia maswala ya ndani ya nchi nyingne ikiwemo uchaguzi wa Tanzania kwa kuwa serikali ya Tanzania inaweza kusimamia vema uchaguzi
==
CHINA YAIAMBIA MAREKANI ISIINGILIE MAMBO YA NDANI YA TANZANIA
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa #China, Zhao Lijian ameiambia #Marekani isiingilie mambo ya ndani ya Tanzania
China inaamini #Tanzania itafanya Uchaguzi Mkuu kwa mafanikio ikiamini serikali ina uwezo wa kusimamia Uchaguzi huo
Kauli hiyo imekuja baada ya Marekani kusema haitasita kuchukua hatua kwa watakaoonekana kuwa chanzo cha kuvuruga uchaguzi wa Haki na Demokrasia
Chanzo: Azam Tv
My take:
China watupotezee sisi tumeamua kufanya mabadiliko kama wanapenda rais wa ujenzi waje wamchukue akawajengee flyover
wanazo tena nyingi tu, ila russia na china ni kitu kimoja! marekani hana modern weapons kama russia na china walivo nazo, marekani cant fight even china alone, infact hata vita ya uchumi tayar washaloose kwa china, kwa sababu kila mtu akirudi nchini kwake marekani inabaki hopeless, hata google ilitengenezwa na mrussia na ndo spy mkubwa hii dunia haijawahi tokea wakishairikiana na FBI, sasa utawafanya nn, there is nothing you can do, ndo uzuri wa ubabe kwa ubabe
Kuna watu mmejaa ujinga sana.
Kwa akili hizi,bado tuna safari ndefu sana.
Mtu na akili zake anawaza marekani anaweza kuipiga Tanzania kwa silaha! Kweli?Umeshindwa kufikiri kabisa zaidi ya hapo?
Kweli elimu za kata ni shida
Mtampoteza Jiwe mtamuingiza chaka china bado
Ni majizi wakubwa sanaKwanza China ndiye beberu mkubwa wa Tanzania, ameingia kila sekta na kuchukua rasilimali za nchi hii bila huruma!
Shamba la BibiKwahiyo Tanzania inagombaniwa kama mpira wa kona.
Tatizo sio elimu za kitu,kuna watu wanazaliwa wajinga na wanabaki hivyo maisha yao yote hata wangesoma shule za vipaji maalumu.
Hivi wewe jamaa Mbona ni kilaza ivyo??? Kwa iyo China aliyeshindwa kufufua kiwanda cha urafiki tu atamfanya nini Marekani???? Unawajua Marekani au unahadithiwa????hahaha basi sawa nyie werevu,
View attachment 1607660
chukua mda kidogo pata elimu kuhusu izi missles kwann zpo apa na zmesetiwa kwa kazi gan! mambo ya kubisha huna facts peleka kwingine, infact swala la china nlishalitabiri toka jana kuna mtu tulibishana sana na hatimae china wameingia sasa, na hakuna kitu mtafanya sasa
Mkuu china bado sana sana marekani kashika mpini sisi tumeshika kwa makali akiamua mtaokota makopoView attachment 1607657
kasome zaidi kwann izi missles zko cuba, then utajua kwann china wanamwonya marekani!
Ya tembeNyumba ipi?
bora tuchague rais wa ujenzi kuliko huyo anaeunga mkono ushogaChina watupotezee sisi tumeamua kufanya mabadiliko kama wanapenda rais wa ujenzi waje wamchukue akawajengee flyover
Acha kujidanganya wewe!! Hao cuba marekani akiamua anaweza shusha atomic bomb 1 tu na kuzamisha icho kisiwa ambacho ni kama Zanzibar tu.View attachment 1607657
kasome zaidi kwann izi missles zko cuba, then utajua kwann china wanamwonya marekani!