Uchaguzi 2020 China yaionya USA juu ya uchaguzi wa Tanzania 2020

Acha kujidanganya wewe!! Hao cuba marekani akiamua anaweza shusha atomic bomb 1 tu na kuzamisha icho kisiwa ambacho ni kama Zanzibar tu.
Sababu pekee ya Marekani kukistahi hicho kisiwa ni kuwa kuna wamarekani wengi wenye uraia wa cuba na wana ndugu cuba hasa jimbo la Florida. Vinginevyo Marekani angekizamisha hicho kisiwa ndani ya dk 5 tu

education!! education!! education!! education!! so unadhan izo missles zmeekwa apo na cuba ama?
 
Mkuu china bado sana sana marekani kashika mpini sisi tumeshika kwa makali akiamua mtaokota makopo

naona kuna watu mnaichukulia poa sna china! china is the upcomming ruler upende usipende, saaahv wamebaki tu kugombania tiktok inunuliwe marekani wakati ni kampuni ya china, everything is already turned upside down by china,
 
Serikali ya China imeitaka USA kutoingilia maswala ya ndani ya nchi nyingne ikiwemo uchaguzi wa Tanzania kwa kuwa serikali ya Tanzania inaweza kusimamia vema uchaguzi

==
CHINA YAIAMBIA MAREKANI ISIINGILIE MAMBO YA NDANI YA TANZANIA

Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa #China, Zhao Lijian ameiambia #Marekani isiingilie mambo ya ndani ya Tanzania

China inaamini #Tanzania itafanya Uchaguzi Mkuu kwa mafanikio ikiamini serikali ina uwezo wa kusimamia Uchaguzi huo

Kauli hiyo imekuja baada ya Marekani kusema haitasita kuchukua hatua kwa watakaoonekana kuwa chanzo cha kuvuruga uchaguzi wa Haki na Demokrasia

Chanzo: Azam Tv

My take:
China watupotezee sisi tumeamua kufanya mabadiliko kama wanapenda rais wa ujenzi waje wamchukue akawajengee flyover
Absolutely, lets see now what are they goner do!
 
Tanzania ni kwaajili ya Watanzania na October 28th tutamchagua JPM KWA KISHINDO.

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
FYI last week China has become the biggest economy in the world, overtaking the USA.
Uchumi wa Makaratasi wakati kufufua kiwanda cha urafiki tu wanashindwa???😂😂😂
 
Waache tu waendelee kumtia ujinga. Wanadhani Marekani ni Kenya wanaowafungia mpaka 😂😂

1603304742944.png

tafuta hii journal usome,
 
FYI last week China has become the biggest economy in the world, overtaking the USA.
Uchumi wa Makaratasi wakati kufufua kiwanda cha urafiki tu wanashindwa???😂😂😂

je unajua marekani andaiwa kiasi gan na china
 
Serikali ya China imeitaka USA kutoingilia maswala ya ndani ya nchi nyingne ikiwemo uchaguzi wa Tanzania kwa kuwa serikali ya Tanzania inaweza kusimamia vema uchaguzi

==
CHINA YAIAMBIA MAREKANI ISIINGILIE MAMBO YA NDANI YA TANZANIA

Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa #China, Zhao Lijian ameiambia #Marekani isiingilie mambo ya ndani ya Tanzania

China inaamini #Tanzania itafanya Uchaguzi Mkuu kwa mafanikio ikiamini serikali ina uwezo wa kusimamia Uchaguzi huo

Kauli hiyo imekuja baada ya Marekani kusema haitasita kuchukua hatua kwa watakaoonekana kuwa chanzo cha kuvuruga uchaguzi wa Haki na Demokrasia

Chanzo: Azam Tv

My take:
China watupotezee sisi tumeamua kufanya mabadiliko kama wanapenda rais wa ujenzi waje wamchukue akawajengee flyover

Sema ipo siku tutatamani sana tungesimamia haki na kupinga uonevu hapa nchini, by then tutakua tumechelewa na hakuna atakayekua salama, labda wenye uraia wa nchi mbili.
 
Mambo ni [emoji91][emoji91][emoji91]
Secretary Pompeo fanya yako naona hadi Beijing wamekurupuka tayari
Serikali ya China imeitaka USA kutoingilia maswala ya ndani ya nchi nyingne ikiwemo uchaguzi wa Tanzania kwa kuwa serikali ya Tanzania inaweza kusimamia vema uchaguzi

==
CHINA YAIAMBIA MAREKANI ISIINGILIE MAMBO YA NDANI YA TANZANIA

Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa #China, Zhao Lijian ameiambia #Marekani isiingilie mambo ya ndani ya Tanzania

China inaamini #Tanzania itafanya Uchaguzi Mkuu kwa mafanikio ikiamini serikali ina uwezo wa kusimamia Uchaguzi huo

Kauli hiyo imekuja baada ya Marekani kusema haitasita kuchukua hatua kwa watakaoonekana kuwa chanzo cha kuvuruga uchaguzi wa Haki na Demokrasia

Chanzo: Azam Tv

My take:
China watupotezee sisi tumeamua kufanya mabadiliko kama wanapenda rais wa ujenzi waje wamchukue akawajengee flyover
Hivi kweli akili ndogo itaendesha akili kubwa
 
Back
Top Bottom