Serikali ya China imeitaka USA kutoingilia maswala ya ndani ya nchi nyingne ikiwemo uchaguzi wa Tanzania kwa kuwa serikali ya Tanzania inaweza kusimamia vema uchaguzi
==
CHINA YAIAMBIA MAREKANI ISIINGILIE MAMBO YA NDANI YA TANZANIA
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa #China, Zhao Lijian ameiambia #Marekani isiingilie mambo ya ndani ya Tanzania
China inaamini #Tanzania itafanya Uchaguzi Mkuu kwa mafanikio ikiamini serikali ina uwezo wa kusimamia Uchaguzi huo
Kauli hiyo imekuja baada ya Marekani kusema haitasita kuchukua hatua kwa watakaoonekana kuwa chanzo cha kuvuruga uchaguzi wa Haki na Demokrasia
Chanzo: Azam Tv
My take:
China watupotezee sisi tumeamua kufanya mabadiliko kama wanapenda rais wa ujenzi waje wamchukue akawajengee flyover
Kila siku tulikua tunawaambia humu ndani hii nchi ishauzwa China ... msione flyover hizo mnazo shabikia tuberoshe mazingira ya utu kwanza mkatuona sisi maboya ...
Walikua wanakazinia ooh mabeberu mabeberu haya kikowapi Sponsor kashindwa kuvumilia kajotokeza hadharani ... mkatengeneza na misemo kuwalaghai mafala wenu wa Lumumba Eti :
"... hii nchi tajiri sana ..."
Oooh mara eti
" ... mimi niko pamoja na wanyonge ... "
Sasa uko pamoja na wanyonge wakati umewauza uchina ndio mana hata mishahara umeshindwa kuwaongeza, mchina kakubana mpaka unashindwa kupumua wananchi hawana amani maisha magumu kama jiwe la kimondo ...
Eti kajenga uchumi, uchumi gani wakati uchumi wa nchi umeuweka rehani kwa wachina huna hata pa kukoholea wamekutight huna pumzi kiasi inabidi ufanye matumizi bila budget kupitishwa na bunge maana huna pa kutokea ... rasilimali zoote unazoligia kelele unagawana na wachina we unabakia na peanuts
Tatizo lenu Lumumba shule ndogo wwngi mmefanywa mafala mnawaburuzwa tu hata hamuelewi mantiki na chanzo cha hivyo mnavyonadi kila siku flyover sijui SGR ... haki ya mungu I wish mngejua gharama ya hicho mnachokifurahia
Yaani mtu yupo zake huko Mahenge au Kakola huko hajui kama kawekwa rehani uchina kwa ajili ya hicho wanaakiita ujenzi wa miundo mbinu na wala huyo aliemuweka rehani hajui lini atamkomboa hali yakuwa mtoto wake hata uniform yakuvaa shule hana mwingine yupo kijiweni hana ajira
Haya huyo mzazi mwenyewe mshahara hajaongezwa na hajui sababu ya kutokuongezwa huo mshahara kwa miaka mi 5 halafu anadanganywa eti tulikua tunajenga uchumi kwanza na kumbe kawekwa rehani bila ya yeye kujua
Unamkuta mtu ananuka jasho kwa kushindia vipande vya tikiti maji halafu anasimamisha mishipa ya shingo kwa kupiga kelele huku kabana pua eti ... "Bagufuli Bitano Tena" tena unamkuta anashangilia CCM Oyeee!! Huku anakata viuno anacheza Jeje ya Diamond au Mediocre ya Ali Kiba kwenye kampeni
Pumbavu kabisa sikiliza sera sio kucheza Jeje na Mediocre fala wewe kwani mlisikia kuna mashindano ya Fiesta sasa mpeni mitano tena muone kazi kudadeki mtapauka mtakua kama vipande vya mihogo ya kuvunda shwaini kabisa Mxieusssszzzz!!!
Hebu stukeni nyie acheni uzwazwa !!!
# NI YEYE 2020