[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Nakuona unakomaa!
Mkuu Lisu hawezi kuwa rais popote duniani hadi anaingia kaburini.
Uchaguzi huu utakuwa wa uwazi kabisa maana Lisu hana kitisho chichote mbele ya chama tawala zaidi ya kuwa kibaraka wa Amsterdam.
Huu uchaguzi Lisu atapigwa kihalali kabisa na kupata 20% yake.
Najua hata leo ungesikia Marekani imepaki manowari zake pale feri, ila ndio hivyo zinabaki kuwa ndoto tu.
Kama unafikri USA inamsaada sana kwa chadema kuingia ikulu, kamuulize Besige wa Uganda kaishia kula virungu na mpaka leo hata ugavana anaishia kuusikia redioni pamoja na vitisho vya USA kwa Museven.