Uchaguzi 2020 China yaionya USA juu ya uchaguzi wa Tanzania 2020

Uchaguzi 2020 China yaionya USA juu ya uchaguzi wa Tanzania 2020

Kataa kubali, Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania 2020-2025 ni Tundu Antiphas Lissu
sawa .ila why povu kama loote kwa mchina kutoa tu nayeye angalizo yaaan kwa nin kunya anye kuku akiinya bata kaharisha?

MUACHEN NA MCHINA ATOE MAONI YAKR KAMA TULIVYOKUWA TUKISIKIA PIA MAONI NA MAANGALIZO YA WENGINE
 
China watupotezee sisi tumeamua kufanya mabadiliko kama wanapenda Rais wa ujenzi waje wamchukue akawajengee flyove
Marekani umempa nini?, Chanel O!?. Mpelekee huko kwake utuache sisi na maamuzi yetu
 
Naomba tufanye tathimini kwa ufupi.
Tafuta makampuni yanayofanyakazi au uwekezaji hapa nchini
angalia watumishi wa makampuni ya marekani na uangalie watumishi wa makampuni ya kichina.
muonekano wao utakupa majibu ya kuchagua kama umepewa uchaguzi wa ni nani unajisikia kumfanyia kazi.
Utagundua wafanyakazi wa makampuni ya kichini,nje ya kampuni hizo kuna mabanda mengi ya mama lishe.
Na makampuni ya kimarekani wengi wao wanalishwa mle viwandani na dining room zao zina viyoyozi.
Ukienda parking,kwa wachina wengi wao wanamepaki pikipiki na baiskeli na asilimia kubwa ambayo ni wamama na wadada
wanakuja kwa miguu(EPZ kule jiji kubwa).
Point
 
sawa .ila why povu kama loote kwa mchina kutoa tu nayeye angalizo yaaan kwa nin kunya anye kuku akiinya bata kaharisha?
MUACHEN NA MCHINA ATOE MAONI YAKR KAMA TULIVYOKUWA TUKISIKIA PIA MAONI NA MAANGALIZO YA WENGINE
Atoe tu kwa kujifurahisha. Hakuna anayetoa povu. Tunachowaambia wana lumumba ni kuwa China si lolote si chochote
 
Hakuna uhuru Tanzania siyo Nchi huru ilinunuliwa mwaka 1998 ipo chini ya Mkoloni mweusi kaburu sasa inaenda kupata uhuru tarehe 28 pindi chadema wakiingia ikulu
Kuishi kwa kutegemea akili za watu ndo matokeo yake haya.

Wajinga waliokutawala kabla ya 1961 ndo leo kwako ni tumaini kubwa na viongozi wa fikra zako na wapuuzi wenzako. Leo unasubiri Marekani itoe tamko unasubiri ulaya iweke vikwazo kwa kitu unachokiita uhuru wako.

Unalalamika na kupandisha bendera kuwa haupo huru na uhuru umeminywa lakini maoni hayo unayatoa ndani ya nchi unayoichukia na yet hakuna anayekusumbua. Nikisema wengi wenu ni wapumbavu na wapuuzi wala sikosei.

Endelea na ndoto zako za kipuuzi kwamba hatupo huru wakati mnashiriki kuihujumu nchi yenu
 
Nani anahujumu nchi zaidi ya huyo Jiwe wenu aliyesababisha bei ya Sukari kupanda kutoka 1800 hadi 2800/3000????

Wewe unaona sawa flyover kujengwa Tazara ambapo mvua ya saa 5 tu ikinyesha Maji yanajaa hayana mfano????

Wewe unaona sawa wakulima wa Mahindi, Tumbaku, Pamba na Kahawa kuzuiwa kuuza mazao yao sehemu zenye bei kubwa na huyo magufuli wako alafu wanalazimishwa kuuza sehemu za bei ya chini na kufanywa kuwa masikini????

Wewe unaona sawa watu kuuwawa, kutekwa na kupigwa risasi?????

Ccm vilaza sana kwa kweli
 
Wangekua hawapatani kusingekua kuna G8 wala G20. Wanakaaje pamoja na kufanya vikao juu ya uchumi wa dunia wakiwa wamekosana. Usijidanganye hawa watu wame unit kuliko unavofikiria. Ukiona wamekosana ujue wanawaigizia tu. Na point is wanaokosana ni wananchi sio serikali. Serikali za hizi nchi zina umoja sana.

doooh, laiti ungejua
 
Serikali ya China imeitaka USA kutoingilia maswala ya ndani ya nchi nyingne ikiwemo uchaguzi wa Tanzania kwa kuwa serikali ya Tanzania inaweza kusimamia vema uchaguzi

==
CHINA YAIAMBIA MAREKANI ISIINGILIE MAMBO YA NDANI YA TANZANIA

Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa #China, Zhao Lijian ameiambia #Marekani isiingilie mambo ya ndani ya Tanzania

China inaamini #Tanzania itafanya Uchaguzi Mkuu kwa mafanikio ikiamini serikali ina uwezo wa kusimamia Uchaguzi huo

Kauli hiyo imekuja baada ya Marekani kusema haitasita kuchukua hatua kwa watakaoonekana kuwa chanzo cha kuvuruga uchaguzi wa Haki na Demokrasia

Chanzo: Azam Tv

My take:
China watupotezee sisi tumeamua kufanya mabadiliko kama wanapenda Rais wa ujenzi waje wamchukue akawajengee flyover
Watuache kabisa hao wa Marekani. Tunajiweza, na hatutaki marafiki wanyonyaji. Sasa hivi ni sama za Win win Situation

Wabaki na vibaraka wao akina Tundu Lissu
 
Nani anahujumu nchi zaidi ya huyo Jiwe wenu aliyesababisha bei ya Sukari kupanda kutoka 1800 hadi 2800/3000????

Wewe unaona sawa flyover kujengwa Tazara ambapo mvua ya saa 5 tu ikinyesha Maji yanajaa hayana mfano????

Wewe unaona sawa wakulima wa Mahindi, Tumbaku, Pamba na Kahawa kuzuiwa kuuza mazao yao sehemu zenye bei kubwa na huyo magufuli wako alafu wanalazimishwa kuuza sehemu za bei ya chini na kufanywa kuwa masikini????

Wewe unaona sawa watu kuuwawa, kutekwa na kupigwa risasi?????

Ccm vilaza sana kwa kweli
Ungekuwa na ufahamu you should write sensible post than this
 
Watuache kabisa hao wa Marekani. Tunajiweza, na hatutaki marafiki wanyonyaji. Sasa hivi ni sama za Win win Situation

Wabaki na vibaraka wao akina Tundu Lissu

Unajua maana ya Vibaraka?
Vibaraka ni Wana CCM wanao mtetea Dikteta Magufuli anayeminya Uhuru wa kujieleza,kukusanyika na kufanya siasa simpy because they're not CCM members..... !!!
 
Back
Top Bottom