Uchaguzi 2020 China yaionya USA juu ya uchaguzi wa Tanzania 2020

Uchaguzi 2020 China yaionya USA juu ya uchaguzi wa Tanzania 2020

Serikali ya China imeitaka USA kutoingilia maswala ya ndani ya nchi nyingne ikiwemo uchaguzi wa Tanzania kwa kuwa serikali ya Tanzania inaweza kusimamia vema uchaguzi

==
CHINA YAIAMBIA MAREKANI ISIINGILIE MAMBO YA NDANI YA TANZANIA

Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa #China, Zhao Lijian ameiambia #Marekani isiingilie mambo ya ndani ya Tanzania

China inaamini #Tanzania itafanya Uchaguzi Mkuu kwa mafanikio ikiamini serikali ina uwezo wa kusimamia Uchaguzi huo

Kauli hiyo imekuja baada ya Marekani kusema haitasita kuchukua hatua kwa watakaoonekana kuwa chanzo cha kuvuruga uchaguzi wa Haki na Demokrasia


Chanzo: Azam Tv


My take:
China watupotezee sisi tumeamua kufanya mabadiliko kama wanapenda Rais wa ujenzi waje wamchukue akawajengee flyover
Stupid china and its allies!
 
Hao wote lengo ni kuigombania Tanzania.Mbaya zaidi China hakuna uchaguzi huru na wa haki.Hivi kama inatokea watanzania wakauwana kwa sababu ya uchaguzi nchi za nje zisiingilie kisa ni mambo ya ndani,?
Hawa Wachina ni wahuni,wanyonyaji,wakoloni na Madikteta wakubwa!!
Watz hatujasahau walichotaka kutufanyia Bandari ya Bagamoyo wakishirikiana na CCM!

 
Marekani wafanye yao watuachie nchi yetu. Hatukupandisha bendera 9 Dec ili tuendelee kupangiwa nini tufanye na nini tusifanye na mabeberu.
Acha kulialia, uovu wenu umefika tamati.
Lazima nchi irudi kwa wananchi itoke kwenye hicho kikundi kidogo
 
China haijawahi kuwa safi kwenye anga za demokrasia na haki za binadamu. Kelele za vyura kwenye maji!
 
Ukiona nchi zimetulia hazina vurugu na zinapokea msaada wa USA basi jua nchi hizo zinasaidiwa na Marekani pakubwa sana kwenye kulinda amani!
Wewe fikiria,nchi nyingi viongozi wake bila USA wangekuwa wanatesa raia wao ambao wako kinyume nao kwa kiasi gani?
Wewe acha kushikiwa akili, vipi kuhusu nchi zisizokuwa na ushirika na huyo mmarekani?
Hebu zungumzia Syria,Libya na Iraq huyo mmarekani amesaidia nini zaidi ya kuwauzia Silaha?
 
Sasa huyo China ana ubavu gani wa kumuonya USA wakati majuzi tu kawekewa vikwazo vidogo tu vya kuuza HUAWEI akaanza kulialia
 
Serikali ya China imeitaka USA kutoingilia maswala ya ndani ya nchi nyingne ikiwemo uchaguzi wa Tanzania kwa kuwa serikali ya Tanzania inaweza kusimamia vema uchaguzi

==
CHINA YAIAMBIA MAREKANI ISIINGILIE MAMBO YA NDANI YA TANZANIA

Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa #China, Zhao Lijian ameiambia #Marekani isiingilie mambo ya ndani ya Tanzania

China inaamini #Tanzania itafanya Uchaguzi Mkuu kwa mafanikio ikiamini serikali ina uwezo wa kusimamia Uchaguzi huo

Kauli hiyo imekuja baada ya Marekani kusema haitasita kuchukua hatua kwa watakaoonekana kuwa chanzo cha kuvuruga uchaguzi wa Haki na Demokrasia


Chanzo: Azam Tv


My take:
China watupotezee sisi tumeamua kufanya mabadiliko kama wanapenda Rais wa ujenzi waje wamchukue akawajengee flyover
Naomba tufanye tathimini kwa ufupi.
Tafuta makampuni yanayofanyakazi au uwekezaji hapa nchini
angalia watumishi wa makampuni ya marekani na uangalie watumishi wa makampuni ya kichina.
muonekano wao utakupa majibu ya kuchagua kama umepewa uchaguzi wa ni nani unajisikia kumfanyia kazi.
Utagundua wafanyakazi wa makampuni ya kichini,nje ya kampuni hizo kuna mabanda mengi ya mama lishe.
Na makampuni ya kimarekani wengi wao wanalishwa mle viwandani na dining room zao zina viyoyozi.
Ukienda parking,kwa wachina wengi wao wanamepaki pikipiki na baiskeli na asilimia kubwa ambayo ni wamama na wadada
wanakuja kwa miguu(EPZ kule jiji kubwa).
 
Wewe acha kushikiwa akili, vipi kuhusu nchi zisizokuwa na ushirika na huyo mmarekani?
Hebu zungumzia Syria,Libya na Iraq huyo mmarekani amesaidia nini zaidi ya kuwauzia Silaha?
Kwa hiyo unataka ccm iendelee kutuburuza na kukosa haki zetu za msingi ikiwemo ya kuishi kwa kuyaogopa ya Syria au Libya?
Yaliyompata Mawazo, Ben Saanane, Kanguye na wengineo yana tofauti gani na Libya?
 
Sasa huyo China ana ubavu gani wa kumuonya USA wakati majuzi tu kawekewa vikwazo vidogo tu vya kuuza HUAWEI akaanza kulialia
🤣🤣🤣🤣 Sasa huyo mmarekani mbona anahenyeshwa na Korea kasikazini,kila kukicha anaomba mazungumzo na bado jamaa wanazidi kugundua makombora mapya?
Hizo zama za mmarekani kusujudiwa zilishapitwa na wakati zamani, Achilia mbali korea kasikazini, mmarekani hawezi kufanya chochote hata kwa mrussia.
 
Kwa hiyo unataka ccm iendelee kutuburuza na kukosa haki zetu za msingi ikiwemo ya kuishi kwa kuyaogopa ya Syria au Libya?
Yaliyompata Mawazo, Ben Saanane, Kanguye na wengineo yana tofauti gani na Libya?

🤣🤣 Unaongea kishujaa sana, nenda uraiani ukafanya hayo unayoyatamani na sio kuishia kubweka Jf.

Hayo maisha uliyoyataja hayatarudi hata kama Tz itafanana na Lybia au Syria kama unavyotaka.
 
Tuuane kisa uchaguzi?

Hatuta uana kwasababu ya Uchaguzi baali TUTAUANA KWASABABU YA WATAWALA WA CCM WANAO LAZIMISHA KUITAWALA NCHI YETU MILELE.
CCM hawataki Uchaguzi HURU na Haki, hawataki Katiba Mpya kwa vile itaondoa Udikteta wao!
 
Mchina nae ni beberu tu kama mabeberu wengine yeye ni beberu wa yellow skin
mada moto.mchina kachafua hal ya hewa.yaan tambo zoote zile za toka agost amsrtedm kil siku kutweet. msasani pale twweter kama zoote .leo kasem mchyna tu kidoogo tu bwana wee watu povuuuu.dkatar wa zaman aliyewah kufany kaz Tanzania aliita wagombea wot na wanaharakat wakina shabgazz wattyu walipongeza saana.

ila mim kama maamuma tu wa kawaida najiuliza.povu lote hili la mcyhina . kama mzee wa ubelgije alikubalian nao bas ndio hivo hivo mzee Baba nae anaweza kukubaliana na mchyna na kama hujui watu wanalinda vip interest zao hasa haya ma G8 rud kasome historiya uzuri.
mswahil anasem zimw likujualo halikul likakwisha.si mmeamua kutia maj mchuz sasa sisi tunamwaga kabisa na ugal wenyewe.
heri ya mchyinna na tunaish nao
 
Kila siku tulikua tunawaambia humu ndani hii nchi ishauzwa China ... msione flyover hizo mnazo shabikia tuberoshe mazingira ya utu kwanza mkatuona sisi maboya ...

Walikua wanakazinia ooh mabeberu mabeberu haya kikowapi Sponsor kashindwa kuvumilia kajotokeza hadharani ... mkatengeneza na misemo kuwalaghai mafala wenu wa Lumumba Eti :

"... hii nchi tajiri sana ..."

Oooh mara eti

" ... mimi niko pamoja na wanyonge ... "

Sasa uko pamoja na wanyonge wakati umewauza uchina ndio mana hata mishahara umeshindwa kuwaongeza, mchina kakubana mpaka unashindwa kupumua wananchi hawana amani maisha magumu kama jiwe la kimondo ...

Eti kajenga uchumi, uchumi gani wakati uchumi wa nchi umeuweka rehani kwa wachina huna hata pa kukoholea wamekutight huna pumzi kiasi inabidi ufanye matumizi bila budget kupitishwa na bunge maana huna pa kutokea ... rasilimali zoote unazoligia kelele unagawana na wachina we unabakia na peanuts

Tatizo lenu Lumumba shule ndogo wwngi mmefanywa mafala mnawaburuzwa tu hata hamuelewi mantiki na chanzo cha hivyo mnavyonadi kila siku flyover sijui SGR ... haki ya mungu I wish mngejua gharama ya hicho mnachokifurahia

Yaani mtu yupo zake huko Mahenge au Kakola huko hajui kama kawekwa rehani uchina kwa ajili ya hicho wanaakiita ujenzi wa miundo mbinu na wala huyo aliemuweka rehani hajui lini atamkomboa hali yakuwa mtoto wake hata uniform yakuvaa shule hana mwingine yupo kijiweni hana ajira

Haya huyo mzazi mwenyewe mshahara hajaongezwa na hajui sababu ya kutokuongezwa huo mshahara kwa miaka mi 5 halafu anadanganywa eti tulikua tunajenga uchumi kwanza na kumbe kawekwa rehani bila ya yeye kujua

Unamkuta mtu ananuka jasho kwa kushindia vipande vya tikiti maji halafu anasimamisha mishipa ya shingo kwa kupiga kelele huku kabana pua eti ... "Bagufuli Bitano Tena" tena unamkuta anashangilia CCM Oyeee!! Huku anakata viuno anacheza Jeje ya Diamond au Mediocre ya Ali Kiba kwenye kampeni

Pumbavu kabisa sikiliza sera sio kucheza Jeje na Mediocre fala wewe kwani mlisikia kuna mashindano ya Fiesta sasa mpeni mitano tena muone kazi kudadeki mtapauka mtakua kama vipande vya mihogo ya kuvunda shwaini kabisa Mxieusssszzzz!!!


Hebu stukeni nyie acheni uzwazwa !!!

# NI YEYE 2020
nimesomaa weee .mim naomba moj tu nifafanulie kwa kina mim nisiye na elim ni vip hao uliosema watakukomboa na kwa kutumia influence ya kina amsteeedm uniambie vip utalinda Rasilimal zako vip
 
Sijawahi kuiamini China.
yaan still bado natafuta validity pia ya kuwaamin hao mnaowapigia chapuo.
ila naona kwel mchina kutia neno tu imeleta taharuk.
yale mataamko ya embas yalikua valid?
 
Kwanza China ndiye beberu mkubwa wa Tanzania, ameingia kila sekta na kuchukua rasilimali za nchi hii bila huruma!
Kabisa mkuu. Kwa wasiomjua mchina watamshangilia,lakini ni kidudu mmoja hatari sana kwa nchi hizi changa
 
Marekani kasema atakayevuruga uchaguzi. China yeye anasema liwalo na liwe bora.
 
Back
Top Bottom