minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 22,405
- 21,100
China kapewa Bandari ya Bagamoyo kimya kimya na CCM baada ya CCM kuona hali ni mbaya na ikulu wanaenda kupasahauChini na USA wanazinguana kisa Tz huu upendo umeanza lini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
China kapewa Bandari ya Bagamoyo kimya kimya na CCM baada ya CCM kuona hali ni mbaya na ikulu wanaenda kupasahauChini na USA wanazinguana kisa Tz huu upendo umeanza lini
China wamepewa tena Bandari ya Bagamoyo kwa siri ili wawasaidie CCM kupenya kwenye Tundu maana hali ni mbaya sanaWanamuingiza king Magufuli ili akiwekewa vikwazo na marekani waweze kutukandamiza vizuri Kama walivyofanya kwa Zimbabwe.
Mbona ajawasaidia Iran kwa vikwazo au mbona hakuwasaidia Zimbabwe?
China ni matapeli tu Tanzania akitaka kujinasua na minyororo ya marekani dawa ni kuacha kupewa misaada yote ya Marekani,Un ,EU, IMF, WB.
Wanacho fanya ni kwa maslai mapana ya mataifa yao na wale wachumia tumbo wa taifa letu?China kapewa Bandari ya Bagamoyo kimya kimya na CCM baada ya CCM kuona hali ni mbaya na ikulu wanaenda kupasahau
America tayari wameongea na Rwanda Burundi Nchi zote jirani CIA wapo wanaendelea kufuatilia uchaguzi wa Tanzania saa 24Kwa hiyo America wao wana AK 47 peke yake hawana silaha nyingine
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
China ni hatari kuliko Nchi zote DunianiChina ndio mabeberu HALISI.
China wana mfumo wa chama kimoja tu hawana mfano wa kuigwa hata mmojaChina hajawahi kuwa na demokrasia wala haki za binadamu
Atupishe tufanye yetu na kwa kuheshimu msingi wa utu ubinadamu na uhuru.
Enzi za utumwa na ubakaji wa haki za raia umepitwa na wakati
Kwenye kuomba misaada ya pesa Mbona hamsemi kuwa huko Marekani kuna watu Masikini wapewe hizo pesa kwanza kabla yenu nyinyi?Wewe na nani? China wanasema ukweli. Wakati Marekani ina matatizo na uchaguzi wao wa ndani, balozi wao ataionya vipi TZ. Hivi na sisi balozi akisema hivyo USA itakubali.
Bora hivyo kuliko nyinyi kuwabambikia kesi kesi kuwapiga risasi wapinzani uonevu unyanyasaji uovu mwingiNyie endeleeni kujidanganya na kujipea moyo, we are not Arabs, mtajikuta wenyewe barabarani mtandikwe mpotezwe na life litaendelea.
Unaona Libya lkn? Ndio demokrasia marekani anayoachaga, sasa unga mikono na miguu na kichwa kabisa
Hapa yalikuwa majukumu yake ?Why should the Chinese do that? Its your own responsibility to revive your own industries.
Wangekua hawapatani kusingekua kuna G8 wala G20. Wanakaaje pamoja na kufanya vikao juu ya uchumi wa dunia wakiwa wamekosana. Usijidanganye hawa watu wame unit kuliko unavofikiria. Ukiona wamekosana ujue wanawaigizia tu. Na point is wanaokosana ni wananchi sio serikali. Serikali za hizi nchi zina umoja sana.kuna mbuzi juzi nlimwambia kabisa, hata wafanye nn marekani haiwezi kuifanya chochote tanzania! Tanzania ni mstari mmoja na pakistan, sisi hatuwasupport israel, sasa pakistan ni msururu mmoja na china + russia! hawa wanasubiri marekani ifanye kosa lolote kuna kitu kinaitwa INTER CONTINENTAL BALISTIC MISSLES, china na russia, missles zao zpo set for new york, kwahio ni kitendo cha kubonyeza tu switch marekani nzima ibaki majivu, kwahio waliokua wanategemea sjui marekani , belgium habari ziwafikie
Wakuache? Wanakupenda na wanakutaka na wakishindwa kukupata kwa kukupiga sound wanatumia nguvu. We are always in love with these people. We act so romantic to them. The reason why we call them mabeberu. Sijui ss ni mbuziChina waache na watuondolee ujinga na sera zao za Kikomunisti hapa!!!! Tanzania hatuchaguliwi rafiki au adui lakini pia kama nchi rafiki inaona kuna viashiria vya Uchaguzi usio Uhuru na Haki Wana Uhuru wa kutoa maoni yao. China hana ubavu wa kumzuia Marekani kutoa maoni na mtazamo wake.......Wachina ni Makomunisti wanaotawala Kidikteta!!!!Watuache.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji850][emoji850][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji850][emoji850][emoji850][emoji41][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji33][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] no no no. Stop that brother. Ati "kisirisiri".China wamepewa tena Bandari ya Bagamoyo kwa siri ili wawasaidie CCM kupenya kwenye Tundu maana hali ni mbaya sana
[emoji23][emoji23][emoji23]China kapewa Bandari ya Bagamoyo kimya kimya na CCM baada ya CCM kuona hali ni mbaya na ikulu wanaenda kupasahau
Kama mwanamke mweupeKwahiyo Tanzania inagombaniwa kama mpira wa kona.
Vipi figisu za mawakala wa vyama vya upinzani kuanza kuchezewa rafuanyway long story short, Marekani ndo wamekua mstari wa mbele sku zote kuhakikisha uchaguzi unakua huru na haki na hawajawahi toa repoti kwamba kuna wizi wa kura sasa nyie ndo kwida yenu kulalamika sjui mmeibiwa kura, mkishinda hamsemi mmeibiwa mkishindwa mnalalamika, mwaka huu kitaeleweka tu! mm sina interest sana na china wala USA lakini uchaguzi huu uko funded 100% na serikali sasa kila kitu ni juu ya tanzania
Ni mnufaika wa raslimali zetu.China anaingilia uchaguzi wetu. Yeye ni nani kutusemea?
Utakuwa sio mtanzania wewe, tuache sie watanzania tunao yajua yanayoendelea nchini mwetu kuhusu wachna...Toa mfano wa rasrimali anazoiba