Rais wa china ni Rais wa milele mpaka akizeeka wakaona hana nguvu tena ndipo watachagua mwingine , hawana mfumo wa vyama vingi hakuna demokrasia hawana mfano wa kuigwa hata mmojaChina haijawahi kuwa safi kwenye anga za demokrasia na haki za binadamu. Kelele za vyura kwenye maji!
Kipindi cha corona waliwapora waafrika mali zao wakawafukuza kwenye nyumba za kupanga wakapora kodi za pango weusi wakabaguliwa mahotelini manyanyaso ya kila aina, Bora kuwa na Urafiki na korea kasikazini Vietnam kuliko ChinaMchina hana uchungu na sisi anachopigania ni maslahi ya kibiashara na kupoka raslimali zetu. Kwanza taifa hilo linaongoza kwa kukiuka haki za binadamu kwa raia wao.Mifano michache ni kuwabagua, kuwatesa na kutaka kuwafuta duniani wa Uighurs, raia ambao idadi yao ni wachache ambao piano ni waumini WA dini ya ki islamu.Na pia China imekuwa ikiwatesa na kuwaua waumini wa Falun Gong.
Na ikumbukwe huko China harakati za kupigania Haki za Binadamu ni sehemu ya maisha ya baadhi ya raia.Hata mauaji ya Tiananmen Square mwaka1989 ilitokana na watu kuchoka ubinywaji wa haki zao na kuamua kuingia mtaani kudai haki zao. Mchina asijitie kimbelembele akae pembeni atulie na ikibidi akasafishe nyumba yake Kwanza sisi ndio tunaoguswa na wenye uchungu na nchi yetu.
Ha ha ha wamekuja kujimwambafy kwa mgongo wa Tanzania ni Aibu China kuigombania TanzaniaKwani China nao wanafanya uchunguzi au ndio ili waonekane wamempinga Marekani.
100% yesAmka usingizini. Ccm ni Chama pinzani kuanzia mwezi November 2020
Yes.nimekiambia .divine weapons that we used to fight against Corona.ππππ una kombola la kumtisha America wewe????
Hapo ndipo uhuru utadaiwa kwa kasi ya 6G tofauti na mwaka 1961Amerika akizima mitambo hizi ghasia zote zitaisha hakuna JF wala tweeter wala ukwaju
Na ni aibu America kugombania TanzaniaHa ha ha wamekuja kujimwambafy kwa mgongo wa Tanzania ni Aibu China kuigombania Tanzania
CCM kutwa kuwaomba omba misaada na wakienda huko huwaita wafadhili wahisani lakini hao hao America wakikataa upumbavu unyanyasaji uonevu uovu wa CCM mnageuka na kuwaita wanaume wenzenu mabeberu utazani nyinyi CCM ni mbuzi jikeNa ni aibu America kugombania Tanzania
Uhuru wa kuiba Mali za umma siyo?Tarehe 28 Tanzania itapata uhuru toka kwa kaburu Mkoloni mweusi
Umewasahau uchaguzi uliopita? Walisimama kwenye jukwaa la CCM na wakaipongeza CCM hata kabla ya kutangazwa!Kwani China nao wanafanya uchunguzi au ndio ili waonekane wamempinga Marekani.
China nayo huifanyia kampeni CCM!
KATAENI BASI NA MISAADA YAO YA CONDOM NA VINGINE VYOTE KUTOKA USAID.Marekani wafanye yao watuachie nchi yetu. Hatukupandisha bendera 9 Dec ili tuendelee kupangiwa nini tufanye na nini tusifanye na mabeberu.
Kwa iyo divine weapon ndo mtaitumia kuipiga Marekani???πππYes.nimekiambia .divine weapons that we used to fight against Corona.
Umesahau pembe za ndovu. Selous na Tabora kule walimaliza karibu tembo wote.Wachina ni wahuni tu hawana lolote. Kwa akili za China wanaona Tanzania ni SHAMBA LA BIBI wametupiga kwenye BOMBA LA GASIASILIA YA MTWARA. WAMETUPIGA KWENYE MADINI, NA WALIKUWA KATIKA HARAKATI ZA KUTUPIGA BANDARI YA BAGAMOYO........!!!
Wana hofu CHADEMA ikichukua nji Kuna miradi yao ya Kifisadi waliyo ingia na CCM itafumuliwa!!!
IkiAcha kulialia, uovu wenu umefika tamati.
Lazima nchi irudi kwa wananchi itoke kwenye hicho kikundi kidogo
Kama itafika huko basi wananchi waachwe wawe huru waamue sio iratibiwe na marekani.. Hakuna mapinduzi yaliyoratibiwa kutoka nje yanayofanikiwa. Acheni fikra za kitumwaAcha kulialia, uovu wenu umefika tamati.
Lazima nchi irudi kwa wananchi itoke kwenye hicho kikundi kidogo
Iki
Kama itafika huko basi wananchi waachwe wawe huru waamue sio iratibiwe na marekani.. Hakuna mapinduzi yaliyoratibiwa kutoka nje yanayofanikiwa. Acheni fikra za kitumwa
Nipe chanzo, usije ukawa unataka kutupima mkojoSerikali ya China imeitaka USA kutoingilia maswala ya ndani ya nchi nyingne ikiwemo uchaguzi wa Tanzania kwa kuwa serikali ya Tanzania inaweza kusimamia vema uchaguzi
==
CHINA YAIAMBIA MAREKANI ISIINGILIE MAMBO YA NDANI YA TANZANIA
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa #China, Zhao Lijian ameiambia #Marekani isiingilie mambo ya ndani ya Tanzania
China inaamini #Tanzania itafanya Uchaguzi Mkuu kwa mafanikio ikiamini serikali ina uwezo wa kusimamia Uchaguzi huo
Kauli hiyo imekuja baada ya Marekani kusema haitasita kuchukua hatua kwa watakaoonekana kuwa chanzo cha kuvuruga uchaguzi wa Haki na Demokrasia
Chanzo: Azam Tv
My take:
China watupotezee sisi tumeamua kufanya mabadiliko kama wanapenda Rais wa ujenzi waje wamchukue akawajengee flyover