Uchaguzi 2020 China yaionya USA juu ya uchaguzi wa Tanzania 2020

Uchaguzi 2020 China yaionya USA juu ya uchaguzi wa Tanzania 2020

China haijawahi kuwa safi kwenye anga za demokrasia na haki za binadamu. Kelele za vyura kwenye maji!
Rais wa china ni Rais wa milele mpaka akizeeka wakaona hana nguvu tena ndipo watachagua mwingine , hawana mfumo wa vyama vingi hakuna demokrasia hawana mfano wa kuigwa hata mmoja
 
Mchina hana uchungu na sisi anachopigania ni maslahi ya kibiashara na kupoka raslimali zetu. Kwanza taifa hilo linaongoza kwa kukiuka haki za binadamu kwa raia wao.Mifano michache ni kuwabagua, kuwatesa na kutaka kuwafuta duniani wa Uighurs, raia ambao idadi yao ni wachache ambao piano ni waumini WA dini ya ki islamu.Na pia China imekuwa ikiwatesa na kuwaua waumini wa Falun Gong.
Na ikumbukwe huko China harakati za kupigania Haki za Binadamu ni sehemu ya maisha ya baadhi ya raia.Hata mauaji ya Tiananmen Square mwaka1989 ilitokana na watu kuchoka ubinywaji wa haki zao na kuamua kuingia mtaani kudai haki zao. Mchina asijitie kimbelembele akae pembeni atulie na ikibidi akasafishe nyumba yake Kwanza sisi ndio tunaoguswa na wenye uchungu na nchi yetu.
Kipindi cha corona waliwapora waafrika mali zao wakawafukuza kwenye nyumba za kupanga wakapora kodi za pango weusi wakabaguliwa mahotelini manyanyaso ya kila aina, Bora kuwa na Urafiki na korea kasikazini Vietnam kuliko China
 
China hawana mfano wa kuigwa hata mmoja kiasi kwamba watanzania wenye Akili timamu watakubali kuwa China ya koloni lake, Mkoloni kaburu mweusi tokea chato katoa Rushwa kwenye kampeni maana kitendo cha China kuitetea CCM kipindi hiki ina maana ni Rushwa wamepewa na CCM hawataki mabaya madhambi ya CCM yaonekane, NECCCM Tumeccm chukueni hii na kama hamtaki kuichukua tarehe 28 wapenda haki wanalo jambo lao la kudai uhuru tokea kwa kaburu Mkoloni mweusi.
 
Na ni aibu America kugombania Tanzania
CCM kutwa kuwaomba omba misaada na wakienda huko huwaita wafadhili wahisani lakini hao hao America wakikataa upumbavu unyanyasaji uonevu uovu wa CCM mnageuka na kuwaita wanaume wenzenu mabeberu utazani nyinyi CCM ni mbuzi jike
 
China nayo huifanyia kampeni CCM!

Wachina ni wahuni tu hawana lolote. Kwa akili za China wanaona Tanzania ni SHAMBA LA BIBI wametupiga kwenye BOMBA LA GASIASILIA YA MTWARA. WAMETUPIGA KWENYE MADINI, NA WALIKUWA KATIKA HARAKATI ZA KUTUPIGA BANDARI YA BAGAMOYO........!!!
Wana hofu CHADEMA ikichukua nji Kuna miradi yao ya Kifisadi waliyo ingia na CCM itafumuliwa!!!
 
Umesahau pembe za ndovu. Selous na Tabora kule walimaliza karibu tembo wote.
 
Acha kulialia, uovu wenu umefika tamati.
Lazima nchi irudi kwa wananchi itoke kwenye hicho kikundi kidogo
Iki
Acha kulialia, uovu wenu umefika tamati.
Lazima nchi irudi kwa wananchi itoke kwenye hicho kikundi kidogo
Kama itafika huko basi wananchi waachwe wawe huru waamue sio iratibiwe na marekani.. Hakuna mapinduzi yaliyoratibiwa kutoka nje yanayofanikiwa. Acheni fikra za kitumwa
 
Nani kakwambia??? Huwezi ondoa utawala dhalimu africa hapa bila support. Museven mwenyewe tulimsaidia sisi sema nae kakengeuka tu saivi
Iki
Kama itafika huko basi wananchi waachwe wawe huru waamue sio iratibiwe na marekani.. Hakuna mapinduzi yaliyoratibiwa kutoka nje yanayofanikiwa. Acheni fikra za kitumwa
 
Serikali ya China imeitaka USA kutoingilia maswala ya ndani ya nchi nyingne ikiwemo uchaguzi wa Tanzania kwa kuwa serikali ya Tanzania inaweza kusimamia vema uchaguzi

==
CHINA YAIAMBIA MAREKANI ISIINGILIE MAMBO YA NDANI YA TANZANIA

Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa #China, Zhao Lijian ameiambia #Marekani isiingilie mambo ya ndani ya Tanzania

China inaamini #Tanzania itafanya Uchaguzi Mkuu kwa mafanikio ikiamini serikali ina uwezo wa kusimamia Uchaguzi huo

Kauli hiyo imekuja baada ya Marekani kusema haitasita kuchukua hatua kwa watakaoonekana kuwa chanzo cha kuvuruga uchaguzi wa Haki na Demokrasia

Chanzo: Azam Tv

My take:
China watupotezee sisi tumeamua kufanya mabadiliko kama wanapenda Rais wa ujenzi waje wamchukue akawajengee flyover
Nipe chanzo, usije ukawa unataka kutupima mkojo
 
Back
Top Bottom