siwez ishi kwa story za kupikwa wakat reasoning tu inatosha , wataiwan wanataka kuwa huru , ss kwann uwalazimishe kuwameza ? ukiish kwa story utakuwa huna tofaut na imbecilsGo and read history utajua mambo meng zaidi ubongo wko Bado mweupeee peeh
Ukraine ni tofauti na Taiwan, U.S ana mutual agreement na Taiwan endapo itashambuliwa U.S anaingia vitani moja kwa moja kuipigania Taiwan ndio maana mchina anapiga yowe tuu.wanachofanay wanataka china aanze kuiita taiwan ili wajue uwezo wa silaha zake upoje, kama walivyofanay kwa kuitumia ukraine na sasa wanapima uwezo wa silaha za Urusi. Ukraine na Taiwan zinatumiwa na marekani kama toilet paper tu.
Akikujibu nitag,halafu muulize inakuwaje aanze kutumia Hypersonic Missile kama sio kuzidiwa ni kitu ganikwahiyo anazidispose off...ila kuna mantiki gani watu wake wanakufa vile kwa kutumia silaha za zamani wakati angeliweza kutumia silaha za kisasa akaokoa maisha ya wanajeshi wake na muda?
Hapa hatuengelei history, tunaongelea hali halisi inayotokea sasa huo huko grounds.U need to know the history ya hii issue unless you would not understand.
Marekani ni Kisiki cha mpingoHivi mbona sijasikia China ama Russia au Iran kuchukua maeneo karibu na marekani labda Central america, Mexico, Jamaica Caribbean n.k ? Kwaninj yeye marekani ndio wakuchukua na kujifanya mlinzi wa maeneo ambayo hayamhusu? Mimi naichukia sana marekani yani ikiwezekana putin aisambaratishe tuu kuwepo na adabu.
Kupambanaa na Marekani siyo Rahisi mkuu us siyo India au Pakistan they are giants China anaenda step by step kutimiza yote wanayoyataka and beside Bado wanauhitaji UHUSIANO wao na US.Huo mpango ni lini? Unamuona China mjinga anavyopiga yowe bila vitendo,Taiwan ni kaburi la ustawi wa China.
Duuuuhhh, humuhumu kwenye post watu wanataka kulana kimasiharaWewe ndiye mbabe wa moyo wangu.
Nitakupa burudani kama zile za peponi, ukienda msalani nikubebe msalani.
Wewe kwangu umetukuka kuliko pesa, Lulu, fedha, almasi, dhahabu na marijani.
Acha TU JF ijue kwamba Mimi kwako ni Ngoswe, siziogopi Wala kuziheshimu karatasi za sensa
Hata posho zao ntazitupa mtoni ili mradi TU nikupate wewe
Lazima niende hata Mikese nikachungulie maana napenda sana vuruguHahahaha,
Mkuu vipi ukisikia Jeshi la kenya lipo morogoro nawewe upo hapo chalinze utafurahi?
All we need is freedom and democracy.The world need balance of power bila hivyo hapatakalika hapa duniani.
Ya Simba vs Assec hupendi? 🏃🏃Hizi ndio habari napenda
Hypersonic ni ya lini?Urusi anatumia zana za 1974 bado hajaanza za 80's
Hakuna cha majivuna balance of power ni ngumu lzm mmoja atahitaj kuwa juu ya wengine na world wars ndo itanukia bila kusahau new technology inaweza ifanya dunia kuwa majivu , faida ya kuwa na super power mmoja ni kuwa na utulivu hata kama kuna mmoja atakuwa anaonewa, World War 1 na Ww2 zote zilitokana na hiyo balance of power iliyofanywa miaka 1800s mwishoni hadi 1900s mwanzoni , hatimaye mataifa yakawa yanajihis kila mmoja anamuweza mwingine na kilichofuatia kila mtu amekisoma
Ndio namshangaa aliyesema Russia anatumia silaha za Soviet era mpya hajaanza kutumia.2010s
Russia walijaribu wakashindwaHivi mbona sijasikia China ama Russia au Iran kuchukua maeneo karibu na marekani labda Central america, Mexico, Jamaica Caribbean n.k ? Kwaninj yeye marekani ndio wakuchukua na kujifanya mlinzi wa maeneo ambayo hayamhusu? Mimi naichukia sana marekani yani ikiwezekana putin aisambaratishe tuu kuwepo na adabu.
Mkuu umeanza uchochezi sasa🤣🤣Ya Simba vs Assec hupendi? 🏃🏃
Kila mgogoro unaosikia huko duniani US hajawai kukosaJeshi la China limeripoti kama kitendo Cha uchokozi dhidi ya China, baada ya destroyer Raph Johnson (meli ya kivita) ya Marekani kupita katika lango la bahari linalotenganisha China na Taiwan.(Taiwan strait).
Jeshi la China limelaani/kulaumu KITENDO hicho Cha Marekani Huku likiongeza kuwa,
kitendo hicho Ni Cha hatari na kinatuma alama mbaya kwa (PRO Taiwan Independence forces) vikosi ambavyo vipo kwaniaba ya Uhuru wa Taiwan alisema msemaji wa jeshi la China.
Taiwan ni suala nyeti na muhimu kabisa katika mahusiano ya China na Marekani (Sino-US relationship) hii inakuja siku moja baada ya mazungumzo ya wakuu wa nchi hizo mbili kupitia video call.
Ripoti zinasema China pia ilipeleka meli zake za kivita eneo Hilo nyeti la Lango la Taiwan kufuatilia nyenendo za Meli hiyo.
Baadae Mara ya pili China ilipeleka meli yake mpya Shadong ambayo ni (aircraft carrier).
Suala hili la Taiwan liliongelewa na Raisi wa China XI na mwenzake wa Marekani Biden,
Akisisitiza suala la Taiwan linatakiwa liendeshwe kwa usahihi.
CHINA inaendelea kuihesabu Taiwan Kama eneo lake na siku Hadi siku imeendelea kuimarisha shughuli zake za kijeshi karibu na kisiwa hicho cha Taiwan.
Hali hii imeendelea kuwasha alamu Taipei katikati ya suala la UKRAINE na Urusi kwamba CHINA inaweza ikafuata nyayo za Urusi na kutumia ndugu zake za kijeshi.
View attachment 2158390View attachment 2158392View attachment 2158393View attachment 2158395