China yaita kitendo cha Meli ya Kivita ya Marekani kupita katika lango la bahari linalotenganisha China na Taiwan kuwa cha kichokozi

China yaita kitendo cha Meli ya Kivita ya Marekani kupita katika lango la bahari linalotenganisha China na Taiwan kuwa cha kichokozi

wanachofanay wanataka china aanze kuiita taiwan ili wajue uwezo wa silaha zake upoje, kama walivyofanay kwa kuitumia ukraine na sasa wanapima uwezo wa silaha za Urusi. Ukraine na Taiwan zinatumiwa na marekani kama toilet paper tu.
Ukraine ni tofauti na Taiwan, U.S ana mutual agreement na Taiwan endapo itashambuliwa U.S anaingia vitani moja kwa moja kuipigania Taiwan ndio maana mchina anapiga yowe tuu.
 
kwahiyo anazidispose off...ila kuna mantiki gani watu wake wanakufa vile kwa kutumia silaha za zamani wakati angeliweza kutumia silaha za kisasa akaokoa maisha ya wanajeshi wake na muda?
Akikujibu nitag,halafu muulize inakuwaje aanze kutumia Hypersonic Missile kama sio kuzidiwa ni kitu gani
 
Hivi mbona sijasikia China ama Russia au Iran kuchukua maeneo karibu na marekani labda Central america, Mexico, Jamaica Caribbean n.k ? Kwaninj yeye marekani ndio wakuchukua na kujifanya mlinzi wa maeneo ambayo hayamhusu? Mimi naichukia sana marekani yani ikiwezekana putin aisambaratishe tuu kuwepo na adabu.
Marekani ni Kisiki cha mpingo
 
siwez ishi kwa story za kupikwa wakat reasoning tu inatosha , wataiwan wanataka kuwa huru , ss kwann uwalazimishe kuwameza ? ukiish kwa story utakuwa huna tofaut na imbecils
Sawa.
 
Wewe ndiye mbabe wa moyo wangu.
Nitakupa burudani kama zile za peponi, ukienda msalani nikubebe msalani.

Wewe kwangu umetukuka kuliko pesa, Lulu, fedha, almasi, dhahabu na marijani.

Acha TU JF ijue kwamba Mimi kwako ni Ngoswe, siziogopi Wala kuziheshimu karatasi za sensa
Hata posho zao ntazitupa mtoni ili mradi TU nikupate wewe
Duuuuhhh, humuhumu kwenye post watu wanataka kulana kimasihara
 
na balance of power ni ngumu lzm mmoja atahitaj kuwa juu ya wengine na world wars ndo itanukia bila kusahau new technology inaweza ifanya dunia kuwa majivu , faida ya kuwa na super power mmoja ni kuwa na utulivu hata kama kuna mmoja atakuwa anaonewa, World War 1 na Ww2 zote zilitokana na hiyo balance of power iliyofanywa miaka 1800s mwishoni hadi 1900s mwanzoni , hatimaye mataifa yakawa yanajihis kila mmoja anamuweza mwingine na kilichofuatia kila mtu amekisoma
Hakuna cha majivu
 
All we need is freedom and democracy.
Democracy is a western system that of course is good but doesn't guarantee development China would be a good example to give they are free, developed but they don't have democracy.
 
Hivi mbona sijasikia China ama Russia au Iran kuchukua maeneo karibu na marekani labda Central america, Mexico, Jamaica Caribbean n.k ? Kwaninj yeye marekani ndio wakuchukua na kujifanya mlinzi wa maeneo ambayo hayamhusu? Mimi naichukia sana marekani yani ikiwezekana putin aisambaratishe tuu kuwepo na adabu.
Russia walijaribu wakashindwa
 
Jeshi la China limeripoti kama kitendo Cha uchokozi dhidi ya China, baada ya destroyer Raph Johnson (meli ya kivita) ya Marekani kupita katika lango la bahari linalotenganisha China na Taiwan.(Taiwan strait).

Jeshi la China limelaani/kulaumu KITENDO hicho Cha Marekani Huku likiongeza kuwa,
kitendo hicho Ni Cha hatari na kinatuma alama mbaya kwa (PRO Taiwan Independence forces) vikosi ambavyo vipo kwaniaba ya Uhuru wa Taiwan alisema msemaji wa jeshi la China.

Taiwan ni suala nyeti na muhimu kabisa katika mahusiano ya China na Marekani (Sino-US relationship) hii inakuja siku moja baada ya mazungumzo ya wakuu wa nchi hizo mbili kupitia video call.

Ripoti zinasema China pia ilipeleka meli zake za kivita eneo Hilo nyeti la Lango la Taiwan kufuatilia nyenendo za Meli hiyo.
Baadae Mara ya pili China ilipeleka meli yake mpya Shadong ambayo ni (aircraft carrier).
Suala hili la Taiwan liliongelewa na Raisi wa China XI na mwenzake wa Marekani Biden,
Akisisitiza suala la Taiwan linatakiwa liendeshwe kwa usahihi.

CHINA inaendelea kuihesabu Taiwan Kama eneo lake na siku Hadi siku imeendelea kuimarisha shughuli zake za kijeshi karibu na kisiwa hicho cha Taiwan.

Hali hii imeendelea kuwasha alamu Taipei katikati ya suala la UKRAINE na Urusi kwamba CHINA inaweza ikafuata nyayo za Urusi na kutumia ndugu zake za kijeshi.







View attachment 2158390View attachment 2158392View attachment 2158393View attachment 2158395
Kila mgogoro unaosikia huko duniani US hajawai kukosa
 
Back
Top Bottom