China yaita kitendo cha Meli ya Kivita ya Marekani kupita katika lango la bahari linalotenganisha China na Taiwan kuwa cha kichokozi

Unachukia lakini kwa sababu akili huna , unabaki na chuki zako huku wenzako unaowajali wanazidi kupelekewa [emoji91]
 
Ukraine ni tofauti na Taiwan, U.S ana mutual agreement na Taiwan endapo itashambuliwa U.S anaingia vitani moja kwa moja kuipigania Taiwan ndio maana mchina anapiga yowe tuu.
Tanzania itapeleka jeshi lake hodari kwenda kuisaidia China.
 
Ukraine ni tofauti na Taiwan, U.S ana mutual agreement na Taiwan endapo itashambuliwa U.S anaingia vitani moja kwa moja kuipigania Taiwan ndio maana mchina anapiga yowe tuu.
kwahiyo unaamini endapo china itaingia vitani leo hii na marekani, itapigwa? mchina na roho mbaya yake ileile asiyejali hata utu ndio apigwe? kama hajateketeza dunia.
 
U
Usitulishe matango pori bwana. Tangu 1947 huko China inadai Taiwan ni sehemu yake, lakini wanaogopa kuivamia kwasababu Mmarekani aliwaambia wakiivamia Taiwan watakuwa wametangaza vita na Marekani. Tangu wakati huo China inalalamika tu, lakini haiwezi kufanya kitu kwa Taiwan kwa kuiogopa Marekani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…