Mgodo Mgodoki
JF-Expert Member
- Jul 25, 2014
- 1,399
- 1,366
World Sheriff'sKila mgogoro unaosikia huko duniani US hajawai kukosa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
World Sheriff'sKila mgogoro unaosikia huko duniani US hajawai kukosa
Unachukia lakini kwa sababu akili huna , unabaki na chuki zako huku wenzako unaowajali wanazidi kupelekewa [emoji91]Hivi mbona sijasikia China ama Russia au Iran kuchukua maeneo karibu na marekani labda Central america, Mexico, Jamaica Caribbean n.k ? Kwaninj yeye marekani ndio wakuchukua na kujifanya mlinzi wa maeneo ambayo hayamhusu? Mimi naichukia sana marekani yani ikiwezekana putin aisambaratishe tuu kuwepo na adabu.
Tanzania itapeleka jeshi lake hodari kwenda kuisaidia China.Ukraine ni tofauti na Taiwan, U.S ana mutual agreement na Taiwan endapo itashambuliwa U.S anaingia vitani moja kwa moja kuipigania Taiwan ndio maana mchina anapiga yowe tuu.
Marekani tunawaitaWorld Sheriff's
Jamii ya wamarekani wamechanganyika na viumbe hayari waliotoka nje ya sayari ya dunia, ndio maana wana mambo fulani ya hovyo hovyo na ya ajabu ajabu.Kila mgogoro unaosikia huko duniani US hajawai kukosa
Alikutongoza?Marekani anatabia za kimalaya Malaya...
kwahiyo unaamini endapo china itaingia vitani leo hii na marekani, itapigwa? mchina na roho mbaya yake ileile asiyejali hata utu ndio apigwe? kama hajateketeza dunia.Ukraine ni tofauti na Taiwan, U.S ana mutual agreement na Taiwan endapo itashambuliwa U.S anaingia vitani moja kwa moja kuipigania Taiwan ndio maana mchina anapiga yowe tuu.
Usitulishe matango pori bwana. Tangu 1947 huko China inadai Taiwan ni sehemu yake, lakini wanaogopa kuivamia kwasababu Mmarekani aliwaambia wakiivamia Taiwan watakuwa wametangaza vita na Marekani. Tangu wakati huo China inalalamika tu, lakini haiwezi kufanya kitu kwa Taiwan kwa kuiogopa Marekani.Taiwan Ni satellite state ya US Taiwan ipo tu lakin maamuzi ya uendeshaji wa nchi yanatoka Pentagon uchumi/shughuli za kijeshi zipo chini ya US hivyo US nikawaida kwake kufanya hivyo alivyofanya ila kwasasa China anataka iwe mwisho in short anampango wakuirejesha mikononi mwake sehemu ya kisiwa Cha Taiwan
Ahahah cheo kina mfaa sanaWorld Sheriff's
nonsenseJamii ya wamarekani wamechanganyika na viumbe hayari waliotoka nje ya sayari ya dunia, ndio maana wana mambo fulani ya hovyo hovyo na ya ajabu ajabu.
It's not the end, neither is it the beginning of the end but the end of the beginning.Their time is at ending though
Mkuu, Moscow hawajambo?Sawa Mmarekani mweusi
Wenyewe, mmarekani mkubwa wewenonsense
With this fkcn mentality we should least expect to raise skilled personnel in this motherfckn country.Their time is at ending though