China yaita kitendo cha Meli ya Kivita ya Marekani kupita katika lango la bahari linalotenganisha China na Taiwan kuwa cha kichokozi

China yaita kitendo cha Meli ya Kivita ya Marekani kupita katika lango la bahari linalotenganisha China na Taiwan kuwa cha kichokozi

Hivi mbona sijasikia China ama Russia au Iran kuchukua maeneo karibu na marekani labda Central america, Mexico, Jamaica Caribbean n.k ? Kwaninj yeye marekani ndio wakuchukua na kujifanya mlinzi wa maeneo ambayo hayamhusu? Mimi naichukia sana marekani yani ikiwezekana putin aisambaratishe tuu kuwepo na adabu.
Unachukia lakini kwa sababu akili huna , unabaki na chuki zako huku wenzako unaowajali wanazidi kupelekewa [emoji91]
 
Ukraine ni tofauti na Taiwan, U.S ana mutual agreement na Taiwan endapo itashambuliwa U.S anaingia vitani moja kwa moja kuipigania Taiwan ndio maana mchina anapiga yowe tuu.
Tanzania itapeleka jeshi lake hodari kwenda kuisaidia China.
 
Ukraine ni tofauti na Taiwan, U.S ana mutual agreement na Taiwan endapo itashambuliwa U.S anaingia vitani moja kwa moja kuipigania Taiwan ndio maana mchina anapiga yowe tuu.
kwahiyo unaamini endapo china itaingia vitani leo hii na marekani, itapigwa? mchina na roho mbaya yake ileile asiyejali hata utu ndio apigwe? kama hajateketeza dunia.
 
U
Taiwan Ni satellite state ya US Taiwan ipo tu lakin maamuzi ya uendeshaji wa nchi yanatoka Pentagon uchumi/shughuli za kijeshi zipo chini ya US hivyo US nikawaida kwake kufanya hivyo alivyofanya ila kwasasa China anataka iwe mwisho in short anampango wakuirejesha mikononi mwake sehemu ya kisiwa Cha Taiwan
Usitulishe matango pori bwana. Tangu 1947 huko China inadai Taiwan ni sehemu yake, lakini wanaogopa kuivamia kwasababu Mmarekani aliwaambia wakiivamia Taiwan watakuwa wametangaza vita na Marekani. Tangu wakati huo China inalalamika tu, lakini haiwezi kufanya kitu kwa Taiwan kwa kuiogopa Marekani.
 
Back
Top Bottom