China yaongoza duniani katika teknolojia (critical technologies)

Xi Jinping

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2023
Posts
3,651
Reaction score
11,548
Wakati Marekani kwa miaka kadhaa ikitumia mabilioni ya pesa kwenye vita, China imekuwa ikiwekeza mabilioni kwenye R&D (Research & Development)

Matokeo yameanza kuonekana sasa, utawala wa Marekani na nchi za Magharibi umezidiwa na China kwenye technology breakthrough (methods, systems, and devices which are the result of scientific knowledge being used for practical purposes)

China inaongoza katika critical technology (technology useful in many applications) 37 kati ya 44 zilizoangaziwa. Na hizi teknolojia 44 zimegawanywa kwenye makundi 7:

1. Advanced materials and manufacturing




2. Artificial intelligence and communications






3. Energy and environment



4. Quantum



5. Biotechnology, gene technology and vaccines


6. Sensing, timing and navigation


7. Defence, space, robotics and transportation;

 
Na cc tuwe na ligi yetu ndan ya East
Na cc tuwe na ligi yetu ndan ya East Africa then SADC then AF
 
Mimi mchina kwa kweli amenipa umaskini. Bidha zao feki mno. Mimi mchina hapana. Bado Sana wachina
Masikini utawajua tu! Wewe kwanini ukimbilie bidhaa za hali ya chini wakati mchina huyohuyo anatengeneza bidhaa kuliangalia na hali yako?

Ulaya wenyewe wanatumia bidhaa za wachina sema wanachukua zile zenye ubora tofauti na wewe masikini
 
Mimi mchina kwa kweli amenipa umaskini. Bidha zao feki mno. Mimi mchina hapana. Bado Sana wachina
Mchina anatengeneza bidhaa kulingana na pesa yako.
Ninazo bidhaa za Mchina ORIGINAL na mpaka sasa natamba nazo kuanzia simu,TV mpaka nguo.
Wewe sema ulitaka low quality na ukauziwa,usimlaumu Mchina laumu umasikini wako.
 
Wakali wa
Control C + Control V
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…