China yaongoza duniani katika teknolojia (critical technologies)

China yaongoza duniani katika teknolojia (critical technologies)

Ujanja wa China ndio unaomuweka mjini. Anasubiri mmoja avumbue yeye aanze kufyatua kivyake bila kuangalia standard. Cha kushangaza wachina wenye hela hawatumii bidhaa zao za china. Ujanja unawaweka mjini.
Ndio maana kuna invention na innovation

Kila kitu kilifanyiwa invention na mataifa mbalimbali au watu mbalimbali

Wapo waliokuja kufanya innovation na kuboresha zaidi ya inventors

Ndio dunia inavyoenda
 
kama hujuI historia utaona hivyo , ila kasome historia uielewa ulaya kwanza , bila USA basi Ulaya ingekuwa inarudi kwenye civil wars mara kwa mara , USA ndo kaifanya Ulaya iwe moja na kutizamana kama ndugu
Tunazungumzia kiuchumi
 
Bila individual freedoms of humans to be who they want to be and do whatever they want to do with no restrictions then huwezi pata innovation ndugu,hapo China ndio inapofelia
Cha ajabu China huyohuyo ndiye kawapiga gap kwenye critical technologies
 
Cha ajabu China huyohuyo ndiye kawapiga gap kwenye critical technologies
Mkuu

hebu mention Mchina kamzidi wapi West kwenye critical technologies?

Just mention one.

Jet engines--China has never made a successful commercial flight carrier

advanced chips--the most advanced chips in the world are made in Taiwan designed and controlled by USA not China

AI--ChatGPT and Sora all are made from USA and China hasnt released anything yet

Medicine--not even close,simple example is,Covid medicines of the West worked,the Covid medicines from China DIDNT work

Mention any NATIVE critical tech China has ever made!
 
Umetaka source umeletewa umeanza matusi sisi tunakwenda kwa fact

Sikujua kuwa huwezi kutengeneza hoja bila matusi

Hoja inapingwa kwa hoja na habari za kitafiti. Kitu ambacho naona ndugu yangu umeshindwa

Na kwa taarifa yako huo utafiti ulifanywa na ASPI
Utafiti gani mzee?

Mtu mzima kutukanwa unapaniki hivyo?

Tusi kitu gani bwana?

Acha kua sensitive

Aljazeera ni tatizo,u well know that.

Aliefanya utafiti sometimes hua hanaga tatizo,tatizo ni how it is reported,na hapo Aljazeera gets all the smoke!

Taarifa ile ile ya China au Russia kufeli Aljazeera akiripoti inageuzwa kama ni "kufaulu",what a twist!

Nachojua chanzo cha maarifa yote muhimu duniani ni West,waliyajenga,wakayahifadhi na wanajua kuyafundisha vyema zaidi ya wote duniani.

Na dunia nzima tumeyakopi na tunayatumia kila siku

Ufundi,innovation na technologies zote za uti wa mgongo of which this world functions on,ni West na sio China
 
Unajua taasisi iliyofanya huo utafiti?

Ndio maana kuna invention na innovation

Kila kitu kilifanyiwa invention na mataifa mbalimbali au watu mbalimbali

Wapo waliokuja kufanya innovation na kuboresha zaidi ya inventors

Ndio dunia inavyoenda
 
Unajua taasisi iliyofanya huo utafiti?

Ndio maana kuna invention na innovation

Kila kitu kilifanyiwa invention na mataifa mbalimbali au watu mbalimbali

Wapo waliokuja kufanya innovation na kuboresha zaidi ya inventors

Ndio dunia inavyoenda
Who is leading the pack?

WEST na sio China wazee wa propaganda

Nimekwambia nitajie hizo technologies,umeishia kunipa copy ya Aljazeera which is another problem.
 
Who is leading the pack?

WEST na sio China wazee wa propaganda

Nimekwambia nitajie hizo technologies,umeishia kunipa copy ya Aljazeera which is another problem.
Kama taarifa iliyofanyiwa utafiti imeweka wazi critical techs 37 ambazo kwa sasa China ni kinara zaidi ya Marekani...kama hauitaki unataka nikudanganye mkuu?

Hebu tufanye argumentation na analysis kisomi

Tuweke ushabiki pembeni tuangalie facts tufikie a sound conclusion
 
Umeweka arguments gani za kisomi hapa?

Sijaziona

Na wewe kwangu hujaziona,who cares about either?

We are both huge monkeys barking about each side like lunatics
 
Knowledge base ya dunia nzima inayoongoza dunia nzima such as sciences,medicine,law,economics,etc zote zilianza na kutoka WEST na sio China
Hapa sasa unatudanganya mchana mweupe hivi unajua hata China ina miaka mingapi ?
 
Hapa sasa unatudanganya mchana mweupe hivi unajua hata China ina miaka mingapi ?
Mkuu

China ipo duniani kama vipande vya ardhi duniani popote vilipo

Wachina wapo duniani kama wanadamu wengine wote waliopo duniani tangu kuumbwa kwetu

Hii story ya China ipo tangu miaka 3,000 iliyopita haina maana wanadamu wengine hawakuwepo duniani

Na pia kua na miaka 3,000 haimaanishi mmefanya uvumbuzi wa kutosha zaidi ya wengine

Wazungu wamekuja wamevumbua zaidi ya yeyote,taja China alichovumbua kama sio viwili vitatu tu?

Nadhani ni Gun Powder,Wino,etc...hakuna kingine

West wamevumbua everthing running the modern world now,na haya yalitokea kama evolution kwa speed kubwa kuanzia miaka ya Enlightment mpaka sasa

As we speak West inatoa innovation zaidi ya China and world combined

Mifumo yote ya trade,finances,travelling,industrial production,building,ocean routing,GPS,calendaring,education,banking,medicines,etc zote ni West invention systems

Nothing u can tell me with those nonsense you are saying
 
Back
Top Bottom