China yaongoza duniani katika teknolojia (critical technologies)

China yaongoza duniani katika teknolojia (critical technologies)

Mkuu sisi watu weusi sijui ni lini tutafika huko, nataman nchi yetu ingeluwa na viwanda vya uzalishaji bidhaa na kuuza nje kwa waafrica wenzetu, tupunguze ukosefu wa ajira, nchi iendelee, mimi naona njia za kutufanikisha zipo, ila tatizo sijui viongozi wamelala daa😭, naumoa sana kuona still tupo kwenye umasikini wakati njia za kujikomboa zipo.
Sio kwa kizazi hiki Mkuu.... Maendeleo ni hatua ambapo kwa bahati mbaya Sana hua naona sisi tumeruka hatua kadhaa.... Nchi nyingi zinazoendelea kwa Sasa hasa za kiafrika basi ni either walivutana mpaka kumwaga damu au Waliamua kukubaliana na kuacha uongozi Wa kiimla. Nchi yetu bado aina ya uongozi ni mkondo ule ule kama sio baba, basi mama, ndugu au rafiki. Katika hili usitarajie Mabadiliko yatakayopinga vibaya matumizi mabaya ya madaraka, wizi na ufisadi. Na hakuna namna ndio maana nikasema labda sio kwa kizazi hiki.

Tayari wenye mizizi ni wale wale wasiokubali kuachia uongozi na wakiachia basi itakua kwenye mikono 'salama' ya watoto, ndugu, jamaa au rafiki zao. Na ufisadi utaendelea.

Nini Cha kufanya: SERIKALI IKUBALI TU KWA MOYO WA DHATI KURUHUSU MABADILIKO YA KATIBA YATAKAYOHUSISHA MUUNDO TOFAUTI WA UONGOZI HASA WA TAASISI NYETI. ILI TAASISI MOJA IWEZE KUHOJI NYINGINE. Na ikiwezekana Rais apunguziwe madaraka hasa ya uteuzi wa nafasi mbalimbali ambazo ni muhimu katika kuwajibisha wengine.
 
Mimi mchina kwa kweli amenipa umaskini. Bidha zao feki mno. Mimi mchina hapana. Bado Sana wachina
Bidhaa orijino ya mchina,wewe huna uwezo wa kuimiliki. Tatizo si yeye. China,kuna bidhaa zinakuja Afrika tuuu,na haziuzwi kwingineko. Sababu ni ubora na bei. Mtu anachukulia Shikingi chini ya mia(100),akifika huku anauuzia elfu kumi(10,000). Binadamu sisi ndo tunawatia umasikini wenzetu.
 
Wakati Marekani kwa miaka kadhaa ikitumia mabilioni ya pesa kwenye vita, China imekuwa ikiwekeza mabilioni kwenye R&D (Research & Development)

Matokeo yameanza kuonekana sasa, utawala wa Marekani na nchi za Magharibi umezidiwa na China kwenye technology breakthrough (methods, systems, and devices which are the result of scientific knowledge being used for practical purposes)

China inaongoza katika critical technology (technology useful in many applications) 37 kati ya 44 zilizoangaziwa. Na hizi teknolojia 44 zimegawanywa kwenye makundi 7:

1. Advanced materials and manufacturing
View attachment 2988772

View attachment 2988773

2. Artificial intelligence and communications

View attachment 2988774

View attachment 2988775

3. Energy and environment
View attachment 2988776

4. Quantum
View attachment 2988777

5. Biotechnology, gene technology and vaccines
View attachment 2988778

6. Sensing, timing and navigation
View attachment 2988779

7. Defence, space, robotics and transportation;

View attachment 2988780
Utafiti huu umefanywa na nani?mbona hata hujafanya paraphrase? Acknowledgment?ni wa lini,tarehe nk.

Hili ni chapisho la watu lazima uwe na Adabu.
 
Utafiti huu umefanywa na nani?mbona hata hujafanya paraphrase? Acknowledgment?ni wa lini,tarehe nk.

Hili ni chapisho la watu lazima uwe na Adabu.

ndio mana ni muhimu sana kwa China kumsupport Russia kule Ukraine,
US anatumia vibaya 'ukubwa' wake ambao nao 'alipewa' na wenzake!

downfall ya US itakua mbaya sana, maana on his way up ameumiza wengi sana, na sasa anachoma ngazi iliyompandisha juu ili wengine wasipande!
Us ni mataifa zaidi ya 50 yenye mchanganyiko wa watu mbalimbali duniani , kuanguka kwake sio rahisi kama unavyofikiri.
 
Wakati Marekani kwa miaka kadhaa ikitumia mabilioni ya pesa kwenye vita, China imekuwa ikiwekeza mabilioni kwenye R&D (Research & Development)

Matokeo yameanza kuonekana sasa, utawala wa Marekani na nchi za Magharibi umezidiwa na China kwenye technology breakthrough (methods, systems, and devices which are the result of scientific knowledge being used for practical purposes)

China inaongoza katika critical technology (technology useful in many applications) 37 kati ya 44 zilizoangaziwa. Na hizi teknolojia 44 zimegawanywa kwenye makundi 7:

1. Advanced materials and manufacturing
View attachment 2988772

View attachment 2988773

2. Artificial intelligence and communications

View attachment 2988774

View attachment 2988775

3. Energy and environment
View attachment 2988776

4. Quantum
View attachment 2988777

5. Biotechnology, gene technology and vaccines
View attachment 2988778

6. Sensing, timing and navigation
View attachment 2988779

7. Defence, space, robotics and transportation;

View attachment 2988780
Ujanja wa China ndio unaomuweka mjini. Anasubiri mmoja avumbue yeye aanze kufyatua kivyake bila kuangalia standard. Cha kushangaza wachina wenye hela hawatumii bidhaa zao za china. Ujanja unawaweka mjini.
 
kuna watu hujaribu ifananisha UK na Russia ila takwimu hizo hapo Russia haonekan popote kwenye technology ila UK yupo krb robo 3 ya paragraph zote hizo
Wakati Marekani kwa miaka kadhaa ikitumia mabilioni ya pesa kwenye vita, China imekuwa ikiwekeza mabilioni kwenye R&D (Research & Development)

Matokeo yameanza kuonekana sasa, utawala wa Marekani na nchi za Magharibi umezidiwa na China kwenye technology breakthrough (methods, systems, and devices which are the result of scientific knowledge being used for practical purposes)

China inaongoza katika critical technology (technology useful in many applications) 37 kati ya 44 zilizoangaziwa. Na hizi teknolojia 44 zimegawanywa kwenye makundi 7:

1. Advanced materials and manufacturing
View attachment 2988772

View attachment 2988773

2. Artificial intelligence and communications

View attachment 2988774

View attachment 2988775

3. Energy and environment
View attachment 2988776

4. Quantum
View attachment 2988777

5. Biotechnology, gene technology and vaccines
View attachment 2988778

6. Sensing, timing and navigation
View attachment 2988779

7. Defence, space, robotics and transportation;

View attachment 2988780
 
ndio mana ni muhimu sana kwa China kumsupport Russia kule Ukraine,
US anatumia vibaya 'ukubwa' wake ambao nao 'alipewa' na wenzake!

downfall ya US itakua mbaya sana, maana on his way up ameumiza wengi sana, na sasa anachoma ngazi iliyompandisha juu ili wengine wasipande!
siku ukiielewa Urusi na China basi utarudi kuosapot USA , ni swala la muda tu
 
Kafanikiwa sana kuwaangusha Europe wasipande juu.

Sasa hivi mataifa ya Ulaya wamekuwa kama wake za Marekani hawawezi kabisa kujifanyia maamuzi yao wanamsikiliza bwana wao kwanza anasemaje

Stagnant economy in Eurozone, gharama za nishati zimepanda, high rate of unemployment, inflation, low industrial output

Yote kwa sababu ya kumsikiliza Marekani
kama hujuI historia utaona hivyo , ila kasome historia uielewa ulaya kwanza , bila USA basi Ulaya ingekuwa inarudi kwenye civil wars mara kwa mara , USA ndo kaifanya Ulaya iwe moja na kutizamana kama ndugu
 
m
Yupo wa kumdondoshea lawama. Watasema sababu ni Russia.
hv ulaya wana shida gan kwa sasa mpk msema wajinasue kutoka kwa Marekan ? au mlitaka Urusi aachwe kwa akili zake za kiafrika , kila jambo mtutu , ulaya chini ya USA wamekuwa kwenye amani kwa miaka 75 , ila majirani wote wa Urusi wamewai pigana na Urusi na kuvunja uhusiano except North Korea ila China , Japan , Gerogia , Finland na sasa Ukraine , halaf mt unasema wajinasue kwa USA wakati wananufaika kwa USA kuliko kwa mandonga Urusi ambae jambo dogo tu ni vita , ukiikosoa Urusi bas asubui wanakuvamia ila angalia washirika wa NATO wanaikosoa hata kupinga maoni ya USA ila USA hajawai wafanya lolote zaid ya kiwashawishi kwa hoja kisha wabakubali
 
Back
Top Bottom