Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 3,651
- 11,548
- Thread starter
- #41
Kafanikiwa sana kuwaangusha Europe wasipande juu.ndio mana ni muhimu sana kwa China kumsupport Russia kule Ukraine,
US anatumia vibaya 'ukubwa' wake ambao nao 'alipewa' na wenzake!
downfall ya US itakua mbaya sana, maana on his way up ameumiza wengi sana, na sasa anachoma ngazi iliyompandisha juu ili wengine wasipande!
Sasa hivi mataifa ya Ulaya wamekuwa kama wake za Marekani hawawezi kabisa kujifanyia maamuzi yao wanamsikiliza bwana wao kwanza anasemaje
Stagnant economy in Eurozone, gharama za nishati zimepanda, high rate of unemployment, inflation, low industrial output
Yote kwa sababu ya kumsikiliza Marekani