China yaongoza duniani katika teknolojia (critical technologies)

Kafanikiwa sana kuwaangusha Europe wasipande juu.

Sasa hivi mataifa ya Ulaya wamekuwa kama wake za Marekani hawawezi kabisa kujifanyia maamuzi yao wanamsikiliza bwana wao kwanza anasemaje

Stagnant economy in Eurozone, gharama za nishati zimepanda, high rate of unemployment, inflation, low industrial output

Yote kwa sababu ya kumsikiliza Marekani
 
Wasipojinasua kutoka kwa Marekani watazidi kuwa na hali mbaya
 
Hivi haya mnayoandika yanawasaidiaga Nini nyinyi nchi masikini mnaooshi makotani mwa dunia?
 
Teknolojia gani mpya za China zinazotumika Tanzania?
 
Kwa hapa kwakweli Marekani kakalishwa vibaya sana
Ana Hali mbaya ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„

Angepunguzu kusapot majeshi ya nchi zingine
Pia apungize misaada kwa baadhi ya nchi
Awekeze kwenye uchumi wake kwanza inaweza kumsaidia pengine
Naona Elon mask kamsaidia kwenye space ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„
 
 
Marekani kapigwa gap la kwenda.

Kati ya 44

China imescore 37
Marekani 7 tu

Huu ni udhalilishaji
 
Mkuu sisi watu weusi sijui ni lini tutafika huko, nataman nchi yetu ingeluwa na viwanda vya uzalishaji bidhaa na kuuza nje kwa waafrica wenzetu, tupunguze ukosefu wa ajira, nchi iendelee, mimi naona njia za kutufanikisha zipo, ila tatizo sijui viongozi wamelala daa๐Ÿ˜ญ, naumoa sana kuona still tupo kwenye umasikini wakati njia za kujikomboa zipo.
 
Tanzania yetu mbona imesahaulika kwenye list mkuu.Maana kuna category na sisi tupo
 
 
Umesema vyema

Unafikiri nini kifanyike ili tufikie level hizo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ