Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 3,651
- 11,548
- Thread starter
-
- #81
Ndio maana kuna invention na innovationUjanja wa China ndio unaomuweka mjini. Anasubiri mmoja avumbue yeye aanze kufyatua kivyake bila kuangalia standard. Cha kushangaza wachina wenye hela hawatumii bidhaa zao za china. Ujanja unawaweka mjini.
Tunazungumzia kiuchumikama hujuI historia utaona hivyo , ila kasome historia uielewa ulaya kwanza , bila USA basi Ulaya ingekuwa inarudi kwenye civil wars mara kwa mara , USA ndo kaifanya Ulaya iwe moja na kutizamana kama ndugu
Cha ajabu China huyohuyo ndiye kawapiga gap kwenye critical technologiesBila individual freedoms of humans to be who they want to be and do whatever they want to do with no restrictions then huwezi pata innovation ndugu,hapo China ndio inapofelia
MkuuCha ajabu China huyohuyo ndiye kawapiga gap kwenye critical technologies
Mkuu
hebu mention Mchina kamzidi wapi West kwenye critical technologies?
Just mention one.
Jet engines--China has never made a successful commercial flight carrier
advanced chips--the most advanced chips in the world are made in Taiwan designed and controlled by USA not China
AI--ChatGPT and Sora all are made from USA and China hasnt released anything yet
Medicine--not even close,simple example is,Covid medicines of the West worked,the Covid medicines from China DIDNT work
Mention any NATIVE critical tech China has ever made!
Utafiti gani mzee?Umetaka source umeletewa umeanza matusi sisi tunakwenda kwa fact
Sikujua kuwa huwezi kutengeneza hoja bila matusi
Hoja inapingwa kwa hoja na habari za kitafiti. Kitu ambacho naona ndugu yangu umeshindwa
Na kwa taarifa yako huo utafiti ulifanywa na ASPI
Unajua taasisi iliyofanya huo utafiti?Utafiti gani mzee?
Mtu mzima kutukanwa unapaniki hivyo?
Tusi kitu gani bwana?
Acha kua sensitive
Aljazeera ni tatizo,u well know that.
Aliefanya utafiti sometimes hua hanaga tatizo,tatizo ni how it is reported,na hapo Aljazeera gets all the smoke!
Taarifa ile ile ya China au Russia kufeli Aljazeera akiripoti inageuzwa kama ni "kufaulu",what a twist!
Nachojua chanzo cha maarifa yote muhimu duniani ni West,waliyajenga,wakayahifadhi na wanajua kuyafundisha vyema zaidi ya wote duniani.
Na dunia nzima tumeyakopi na tunayatumia kila siku
Ufundi,innovation na technologies zote za uti wa mgongo of which this world functions on,ni West na sio China
Who is leading the pack?Unajua taasisi iliyofanya huo utafiti?
Ndio maana kuna invention na innovation
Kila kitu kilifanyiwa invention na mataifa mbalimbali au watu mbalimbali
Wapo waliokuja kufanya innovation na kuboresha zaidi ya inventors
Ndio dunia inavyoenda
Kama taarifa iliyofanyiwa utafiti imeweka wazi critical techs 37 ambazo kwa sasa China ni kinara zaidi ya Marekani...kama hauitaki unataka nikudanganye mkuu?Who is leading the pack?
WEST na sio China wazee wa propaganda
Nimekwambia nitajie hizo technologies,umeishia kunipa copy ya Aljazeera which is another problem.
Umeweka arguments gani za kisomi hapa?Kama taarifa iliyofanyiwa utafiti imeweka wazi critical techs 37 ambazo kwa sasa China ni kinara zaidi ya Marekani...kama hauitaki unataka nikudanganye mkuu?
Hebu tufanye argumentation na analysis kisomi
Tuweke ushabiki pembeni tuangalie facts tufikie a sound conclusion
Hapa sasa unatudanganya mchana mweupe hivi unajua hata China ina miaka mingapi ?Knowledge base ya dunia nzima inayoongoza dunia nzima such as sciences,medicine,law,economics,etc zote zilianza na kutoka WEST na sio China
MkuuHapa sasa unatudanganya mchana mweupe hivi unajua hata China ina miaka mingapi ?
Sawa acha nikuache na uelewa wakoNothing u can tell me with those nonsense you are saying