Sasa kama kumbe ni suala la Bus body building quality, je, kampuni ulizo taja zina uwezo gani in peculiar wa ku equal or surpass Chinese Companies - hii kasumba ya kuponda ponda kampuni za kichina sijui zina stem kutoka wapi na ukisoma kwa umakini wapondaji wengi hawana elimu yoyote kuhusu: Internal combustion engines(Petrol,Diesel) Gas turbines engines, Stirling engines nk
Zungumzieni hata masuala ya metallurgy, forge and foundry, metal fabrication leteni ushahidi wa kuonyesha kwamba wachina wako nyuma sana katika masuala ya ufundi etc - maneno neno mengi ya kuwapanda China - wengie wao wala hawajawai hata kuitebelea Tazara kuangalia walao reli na madaraja na mahandaki yalivyo jengwa zaidi ya miaka 50 iliyopita na yakoje mpaka sasa.