China yaongoza duniani katika utengenezaji na uuzaji wa mabasi ya abiria

Kwa taarifa yako tu; C191 imeruka siku moja tu ikarudishwa kiwandani kutatua matatizo ya oxygenai ambayo hata wao wenyewe hawajui limetoka wapi. C919 inategema parts zote klutoka nje ya china, ni aslimia 25 tu ndiyo inayotoka ndani ya china na imewsha wacost, itabidi wapunguza utegemezi wa nje iwe aslimia 15 tu kusudi watatue tatizo hilo la oxygeni linalowasumbue lakini hawawezi kuyaamrisha hayo makampunie ya nje yabadilishe design zao kuwafurahisa CCP.
SI KWELI
 
C919 inategema parts zote klutoka nje ya china, ni aslimia 25 tu ndiyo inayotoka ndani ya china na imewsha wacost, itabidi wapunguza utegemezi wa nje iwe aslimia 15 tu kusudi watatue tatizo hilo la oxygeni
Hizi habari huwa mnazipataga wapi?
 
Hizi habari huwa mnazipataga wapi?
Watu kwa kutetea vitu vya China jamani; kasome hata kwenye promotion literature yao kuwa wamshirikiana na Makampuni ya nje yenye uzoefu.

1689635192464.png
 
Ziko wapi hizo 25% vinavyotoka ndani ya China peke yake mbona haijaandikwa hapa. Ndio hoja yangu. Lete ushahidi hapa tuuone
Kama china integeneza Hull peke yake na systems nyingine zote zinatoka nje hiyo itakuwa ni chini ya 25%. Usichukulie kuwa lile body ndiyo ndege yenyewe, siyo hivyo; systems zinazoifanya ndege ikamilike zina uzito sana. Sababu ya Makampuni kama Boeing na Airbus kuwa na mkono wao kwenye makampuni ya avionics ni kuongezea footprint yao kwenye ndege wanazotengeneza. Nadhani Airbus na Boieng wao ni kama 65%-70% kwa vile kampuni za avionics hydraulics na landing gears zote ni subsidiaries zao wenyewe.
 
Kwenye mijadal ya hoja neno ITAKUWA, NADHANI, LABDA au HUENDA huwa hatuyatumii kafanye utafiti uje na taarifa kamili
 
Kwenye mijada ya hoja neno ITAKUWA, NADHAN, LABDA au HUENDA huwa hatuyatumii kafanye utafiti uje na taarifa kamili
Ninafanya tafiti nyingi sana za msingi; siwezi kupoteza muda wangu kufanya utafiti wa mambo obvious yasiyokuwa na umuhimu wowote kama haya. Mnaodhani kutengeza hull ndiyo ndege yenyewe basi rizikeni.

Nakumbuka nigali mdogo Tanzania tulikuwa tunatengeza radio za Panasonic lakini kila kitu kilikuwa kinatoka Japani halafu sis tunafanya assembling pale Pugu road na kuweka label ya Made in Tanzania lakini leo hii hamna kitu tena.
 
Basi kama hauna taarifa kamili tuishie hapa
 
Ninafanya tafiti nyingi sana za msingi; siwezi kupoteza muda wangu kufanya utafiti wa mambo obvious yasiyokuwa na umuhimu wowote kama haya. Mnaodhani kutengeza hull ndiyo ndege yenyewe basi rizikeni.

Nakumbuka nigali mdogo Tanzania tulikuwa tunatengeza radio za Panasonic lakini kila kitu kilikuwa kinatoka Japani halafu sis tunafanya assembling pale Pugu road na kuweka label ya Made in Tanzania lakini leo hii hamna kitu tena.
Arusha kilikuwepoo cha Philips....
 
Watu kwa kutetea vitu vya China jamani; kasome hata kwenye promotion literature yao kuwa wamshirikiana na Makampuni ya nje yenye uzoefu.

View attachment 2691478

Kwan kuna kitu cha ajabu.mbona ni kawaida makampuni makubwa kutegemeana technologies na makampuni ya nchi zingine.ebu tuambie kampuni kubwa ya apple (iphone) inatumia vifaa vya us peke ake au
 
Hakuna ajabu kabiosa, ila hii hype ya china ipunguze
 
Sisi tu ndo hatuna ubunifu mfano wakenya sidhani Kama wananunua sana mabus nje ZAIDI ya kuunda wenyewe.
India, Malaysia, Indonesia wanayaunda Tena kwenye local garage Kama za tabata dampo Mchina akasome,zikifika huku bila milioni 500
dcm zimefia wapi
 
Mchina anauza electric bus pekee huko barani ulaya,hizi zinazutumia diesel anauza Africa na amerika ya kusini huko. Wenzetu ulaya wako na Euro 6 emissions standards wakati bus za mchina anazouza zinatumia engine za Euro 3 kurudi nyuma.

Lakini pia profitability kwa kila unit inauzwa ikoje kwa kampuni? Irizar,Man lion explorer,neobus unit moja sio chini ya euro laki 3 na 50. Wazungu wanaweza wasiuze units nyingi kama mchina ila wakawa wanatengeneza super profit,
 
Umepiga hesabu ya operating cost ya Ulaya ikoje
 
Kigezo cha mbio sijaona mpaka leo nani mshindi kati ya Ally's (Mchina) na Katarama (Msweden)

Kwa tulio karibu na mikeka hakunaga basi linalomtawala mwenzake

Kuna wakati Katarama inaachwa na kuna wakati Ally's anaachwa

Kipengele cha spidi sioni wa kujimwambafai kwa mwenzake sio Mchina sio Msweden

Hata wanazi wa hizo kampuni wanalifahamu hilo. Na hapo ni Golden Dragon sipati picha Ally's angekuwa na Zhongtong mega kama za New Force 😅
Hata Golden dragon ni mashine sana ila watu mnazichukulia poa,zingekua dhaifu ally's asingekomaa nazo mpaka leo.
 
Back
Top Bottom