China yaongoza duniani katika utengenezaji na uuzaji wa mabasi ya abiria

Operating cost Ulaya ni kubwa kuliko China so obvious kimahesabu Mchina anapiga profit kubwa

Kuuza bidhaa bei kubwa haimaanishi mtu anaingiza profit kubwa kama cost of production iko juu

Tungepata data za profit mfano yutong vs scania buses waliingia faida kias fani ingemaliza utata
 
Kwenye chassis design nahisi mzungu bado yuko mbali sana,kuna siku nilipanda zhongtong toka nakonde mpaka Lusaka. Napenda kusoma nikiwa safarini ila kwenye Ile basi nilishindwa kusoma kitabu changu kwa sababu ya basi kukosa utulivu. Toka Lusaka to Johannesburg nikapanda irizar aise ,ilikua na utulivu wa ajabu na nikaweza kuendelea kusoma mpaka mwisho wa safari.
 
Saiv ally's ana kizazi cha vichaa DXS kuna DXS 557 Winchester, kuna DXS 360 unstoppable alafu kuna DXS 554 Mo hizi chuma zimechafukwa zimebakia kupaa tu[emoji23][emoji23]
Mkuu zinatembea sana? Sasa hivi mwanza nani ni mbabe? Na mbeya je?
 
Cjeap lazima iuzwe sana, Ni kama mitumba Ilala.

Angalia Sokonlake kubwa ni wapi kama siyo Africa.

Mwisho ukija kuangalia Peaa ya Mauzo ya utakuta Benz kaingiza Pesa nyingi kuliko Yutong, Hata Marcopolo S..A. utakuta ameipita hiyo michina kwenye pesa ilioingia
 
Unazo annual financial reports za makampuni yaliyotajwa tuanze kuchambua
 
Mojawapo ya benefits zinazopata viwanda vilivyowekeza China ni low cost of production ukilinganisha na vilivyo Ulaya na America

Kwa hiyo kadiri wanavyouza units nyingi za mabasi ni faida zaidi kwao

Scania, Benz, Man wanaweza kuwa wanauza kwa bei kubwa lakini wakija kutoa direct na indirect costs faida ikawa ya kawaida sana
 
Marcopolo ni Body Builder wa Body za Mabasi. Ana plant Brazil, India,Ureno,South Africa na China wamefungua plant baada ya wachina kununua hisa mfano wa Body za China ni basi za Super Feo zilitengenezwa kwa ajili ya soko la Africa na wakawa wanajaribu na kufanya utafiti.


Marcopolo yeye anatengeneza body kisha kampuni za magari kama Scania,Volvo,Man Diesel na Benz wanaweka engine zao. Hizo Neobus za Mercedes Benz body Builder ni Marcopolo. Iveco bus body zipo chini ya Marcopolo.

Wale makaburu waliounda Body za MCV Bus, mfano wa zile basi za Ottawa,Nganga,Allys zilizokuwa zinatoka South Africa ile kampuni nayo ipo Chini ya Marcopolo baada ya kuuzwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…