Muuza Viat
JF-Expert Member
- Dec 23, 2022
- 2,826
- 7,388
SahihUnaweza kuambiwa sirikali haifanyi biashara ina subiri kodi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SahihUnaweza kuambiwa sirikali haifanyi biashara ina subiri kodi
Ndege aina moja ishushe family ya ndege? Haiwezekani.China is something else, imebaki sasa kutawala soko la ndege just a matter of time, C919 itakuja kuzishusha boeing na airbus
Hizo namba ni uuzaji nje ya nchi husika au ni pamoja na mauzo ndani ya nchi inayotengezeza mabasi hayo. Unaweza kukuta Yutong inajumuisha mabasi yote yaliyouzwa ndani ya China ambayo yatakuwa mengi sana kuliko yaliyouzwa nje lakini siyo reflection ya competitiveness. Wachina wanapenda kununua vitu vya China na serikali inatoa ruzuku kubwa kwenye bei za bidhaa zilizotengenezwa ChinaKwa miaka 9 mfululizo kampuni ya Yutong ya China imekuwa kinara kwa kuuza mabasi mengi zaidi duniani.
Utengenezaji na uuzaji wa mabasi ya abiria imekuwa biashara kubwa yenye ushindani hasa mabasi ya umeme. Mabasi yamekuwa yakitengenezwa kwa kazi na makusudi tofauti tofauti.
Kinachoangaliwa katika ushindani wa biashara hii ni idadi (units) za mabasi ambazo makampuni katika nchi husika yameuza.
Ifuatayo ni 10 bora ya majina ya makampuni yaliyouza mabasi mengi zaidi duniani mwaka 2022 na idadi ya mabasi yaliyouzwa;
(1)YUTONG (China) – 58,688
View attachment 2679250
(2)DIAMLER (Ujerumani) – 32,612
View attachment 2679307
(3)KING LONG (China) – 26,450
View attachment 2679303
(4)GOLDEN DRAGON (China) – 19,392
View attachment 2679306
(5)MARCOPOLO S.A (Brazil) – 15,831
View attachment 2679298
(6)ZHONGTONG (China) – 15,054
View attachment 2679295
(7)MAN (Ujerumani) – 13,972
View attachment 2679308
(8)HIGER (China) – 11,412
View attachment 2679302
(9)VOLVO (Sweden) – 9,731
View attachment 2679309
(10)SCANIA (Sweden) – 7,777
View attachment 2679310
Katika tatu (3) bora duniani, makampuni matano ya China yameongoza kwa pamoja yaliuza mabasi 130,996, ikifuatiwa na makampuni mawili ya Ujerumani yaliuza jumla ya mabasi 46,584 na Sweden mabasi 17,148
REKODI YA CHINA KATIKA BIASHARA YA MABASI
●Kwa miaka 9 mfululizo kampuni ya Yutong ya China imekuwa kinara kwa kuuza mabasi mengi zaidi duniani.
●China ndilo taifa linalouza karibu asilimia 50 ya mabasi katika soko la dunia.
●China inaongoza kwa kutengeneza mabasi yasiyotumia mafuta (new energy vehicle) Asilimia 90 ya mabasi ya umeme duniani ni yaliyotengenezwa na makampuni ya China.
●Youngman ndilo basi kubwa zaidi lililovunja rekodi duniani lenye urefu wa mita 25 lenye uwezo wa kupakia abiria 300. Lilipewa jina la utani triple bus. Lilitengenezwa na kampuni ya China Youngman Automobile Group Co., Ltd.
View attachment 2679287
●China ndilo taifa pekee duniani lenye viwanda 16 vikubwa vya kutengeneza mabasi; Yutong, Higer, Zhongtong, Kinglong, JMC, Foton, BYD, Golden Dragon, Asia Star, Ankai, Changan, Dongfeng, Nanjing Iveco, Briliance Renault, Sunwin na Sunlong.
Watu wanaongea tu, ukizungumzia durability mzungu kitu kingine.Nimeona katarama polo g7 aiseee hio gari ni balaaa kwa michina inayokuja Africa sijaona wa kukaa mbele
Mchina lazima akimbize sababu kuu ni magari yake yanakaa mda kidogo yanachoka
Sema kuvuta IRIZAR I8 route za dar mwanza ni matumizi mabaya ya akili
Nilisema hapo juu, product za ulaya unaweza kukaa nazo mpaka 10 years, ikitokea shida ni repairs za kawaida tu. Hamna mchina anayeweza kaa miaka hata 3 bila kumuweka chini. Atakusumbua saaana, kwa simu mimi hapa nna samsung s3 ipo kabatini ni nzima kabisa, simu ya miaka mingi saana, kuna tecno kadhaa za 2019, 2020 zipo kwa fundi.Mabasi ya kichina ni kwa kuwa wafanyabiashara wanayaleta maana bei chee na hivyo wanapata faida mapema but quality wise hayawezi shindana na western hata kidogo. Kwa kifupi mchina kuuza sana wala si ajabu maana bei za bidhaa zake zipo chini sababu ya cheap labour na kutumia raw material za ubora wa kawaida au chini. Ndiyo maana hata company nyingi za europe na US wanaviwanda china sababu ya cheap labour. Iko wazi kabisa hata kariakoo tecno na nduguze utakuta wanauzika sana kuliko I phone au samsung sasa check ubora wa tecno na samsung au i phone ardhi na mbingu[emoji1787][emoji23] simu ya kichina warranty miezi 12+1 wakati brand zinazoeleweka warranty 2 years! Kwa kifupi kinachombeba mchina ni bei chee.
Units exported mkuu China inaongozaHizo namba ni uuzaji nje ya nchi husika au ni pamoja na mauzo ndani ya nchi inayotengezeza mabasi hayo. Unaweza kukuta Yutong inajumuisha mabasi yote yaliyouzwa ndani ya China ambayo yatakuwa mengi sana kuliko yaliyouzwa nje lakini siyo reflection ya competitiveness. Wachina wanapenda kununua vitu vya China na serikali inatoa ruzuku kubwa kwenye bei za bidhaa zilizotengenezwa China
Wazungu wana iphone wao wakaleta oppo, yaani wakalenga mulemule kwa wenzao, zikaja tec za kadhaa nyingi za simu, jamaa wakawa wanapita mule mule. Wachina wana youtube yao pia.hilo lipo wazi sana mkuu western ni wavumbuzi then mchina kwa kuwa ana cheap labour plus kutumia raw material za ubora wa chini au kawaida automatically anaonekana ameuza sana sokoni! Au makampuni ya western yanapotaka kupunguza gharama za uzalishaji ndipo yanaenda china. Ndiyo maana kila kinachogunduliwa na western baadae unakuta mchina huyu hapa anauza kwa wingi. Hayo mabasi, malori, na vingine vingine ni copy paste ya western tech, ndiyo maana unakuta imeanza insta china kakopy ana tiktok[emoji1787] sijui western wapo na watsapp china ana wechat[emoji1787], western ana ebay na amazon china ana alibaba[emoji1787] . R&D za universities za western au makampuni ya US ni balaaaaa. R&D za kampuni za kichina mainly hulenga kupunguza gharama, na kuangalia alternative raw materials ili gharama ishuke then wapate kushindana na bidhaa za western[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Family ya ndege unamaanisha nini chifu?Ndege aina moja ishushe family ya ndege? Haiwezekani.
Shida hawarudishi kwa jamii ni wakatili sanaChina is something else, imebaki sasa kutawala soko la ndege just a matter of time, C919 itakuja kuzishusha boeing na airbus
Kwa hiyo wewe Mtanzania umezubaa kusubiria tech za UlayaWazungu wana iphone wao wakaleta oppo, yaani wakalenga mulemule kwa wenzao, zikaja tec za kadhaa nyingi za simu, jamaa wakawa wanapita mule mule. Wachina wana youtube yao pia.
Ni ngumu sana na kutowatendea haki Ulaya kuwapambanisha na China. Leo tupo hapa JF, tunatumia net, computer n.k sababu ya Tec za ulaya
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wewe jamaa ni mshabiki sasa hapo unashangaa nini?View attachment 2681384
Jana Scania Polo G7 ya KATARAMA imewalaza abiria Dodoma mpaka usiku. Miezi 8 tu Msweden kashaanza kudai spana. Mkurugenzi kazi anayo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukimaanisha?Shida hawarudishi kwa jamii ni wakatili sana
Tuliambiwa Scania mpaka igonge miaka 8 ndo kidogo itaanza kudai spana[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wewe jamaa ni mshabiki sasa hapo unashangaa nini?
Sina cha zaidi na wewe mkuuTuliambiwa Scania mpaka igonge miaka 8 ndo kidogo itaanza kudai spana
Halafu mtu anamsifu mchina mbele ya huyu msweden.Sema Scania body ya Macoporo naona Zambia wanayo matoleo ya karibuni hiyo ya Sauli sijaona hata model yake kama haya ya Shalom na Jordan bus...
Mkuu achana na mzungu, product zao ni jiwe haswa. Hii hata madereva wenyewe wanalijua, abiria anafurahi tu yale mazingira ya mule ndani lakini nje ya hapo kwa anayejua gar, Bus za ulaya ni mziki mnene.Polo ni balaa kubwa ila ndio hivyo mchina anachange dizaini kila leo
Wabongo wengi ni washamba hawajui vitu quality
Ruti ya mwanza-dar nilikua napenda kupanda ally's juzi hapa nimepanda katarama aiseee msweedeni ni umeme
Hizi ni gar mbili tofauti, comfortability ya Scania na mchina aina yoyote ile ni tofauti.Kwamba ni suala mda unamaanisha nini? Mimi nimekwambia kitu nilichoshuhudia mwenyewe hauwezi ukaweka michina na polo g7[emoji3][emoji3] kwa kila kitu
Hio katarama sijui ina mda gani barabarani ila ukikaa kwenye siti yake utanielewa ni nini namaanisha
NakaziaAfrika imeshika soko la vilaza duniani
Ikileta return yake, ina uwezo wa kukaa tena zaidi ya 10 years ukawa inakupa faida tu. Mkuu achana na products za ulaya.Baada ya muda basi huchoka na utakuta imechoka na bado haijafanya ile return on investment