China yapinga vikwazo vya US na EU dhidi ya Russia, yasema itaendelea kufanya biashara na Russia

China yapinga vikwazo vya US na EU dhidi ya Russia, yasema itaendelea kufanya biashara na Russia

Sikirimimimasikini

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2019
Posts
2,926
Reaction score
15,634
Wizara ya Mambo ya nje ya China imesema China yapinga vikwazo vilivyowekwa vya kujiamulia na Marekani na Jumuia ya nchi za Ulaya dhidi ya Russia. Msemaji wa Wizara hiyo amesema kuwa vikwazo hivyo havina msingi wowote ktk sheria za kimataifa.
======


China, a close ally of Russia, said on Monday that it was opposed to illegal unilateral sanctions and will continue to carry out normal trade cooperation with Moscow, as the US, EU and their allies stepped up punitive measures against Russia, including the interbank messaging system SWIFT.

Asked about what some have described as the "financial nuclear option" at a regular press briefing in Beijing, Foreign Ministry spokesman Wang Wenbin said China opposes the use of sanctions to solve problems and is even more opposed to unilateral sanctions that have no basis in international law.

"China and Russia will continue to carry out normal trade cooperation in the spirit of mutual respect, equality and mutual benefit," Wang said.
 
Kwa kuwa china hayupo kwenye vikwazo,basi tutamtumia china katika kila nyanja ni kama vile Mo alivyotekwa na vyombo vya vc vyo vya ulinzi ila biashara ziliendelea palepale. Tutatumia madalali wa China kukamilisha mihamala ya SWIFT
Kiburi cha china kina-invalidate vikwazo vyote, labda waipige na china vikwazo kitu ambacho hawawezi fanya coz makampuni makubwa mengi yana subsidiaries za kumanufacture huko china
 
Kiburi cha china kina-invalidate vikwazo vyote, labda waipige na china vikwazo kitu ambacho hawawezi fanya coz makampuni makubwa mengi yana subsidiaries za kumanufacture huko china
Na akipata gesi ,mafuta ya urusi kwa bei chee....hata gharama za uzalishaji china zitashuka atazidi kuvuta makampuni makubwa nchini kwake
 
Na akipata gesi ,mafuta ya urusi kwa bei chee....hata gharama za uzalishaji china zitashuka atazidi kuvuta makampuni makubwa nchini kwake
Ni issue za mikataba tu, wakisimamia hio decision wakasaini mikataba ya kuuziana hio gesi basi itakua ni bonge moja la game coz atakae faidika hapo ni marekani maana makampuni mengi ya marekani ndo yanamanufacture china. Atakaebaki analia ni Germany na wenzake BP wa UK. Ule msemo wa buy low sell high, production cost ikiwa chn ni Apple, Tesla, Google etc.... watapata faida sana
 
Ghafla naye China anapigwa vikwazo vya hakuna kununua nje wala luuza nje...

Waafrika hakuna rangi tutaacha kuona...
Bidhaa toka china zitaendelea kumiminika zitakakopita hutapajua. Mwafrika ni ngumu kununua vijiko kama hivi kutoka marekani hadi bongo kwa angalau shilingi 50, 000!- wakati seti kama hiyo mchina anakupa kwa sh.
9, 500/- 😆🤣
Screenshot_20220301-070028.png
 
Back
Top Bottom