Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,893
- 20,089
Watageukana tu huko mbeleni............Ni issue za mikataba tu, wakisimamia hio decision wakasaini mikataba ya kuuziana hio gesi basi itakua ni bonge moja la game coz atakae faidika hapo ni marekani maana makampuni mengi ya marekani ndo yanamanufacture china. Atakaebaki analia ni Germany na wenzake BP wa UK. Ule msemo wa buy low sell high, production cost ikiwa chn ni Apple, Tesla, Google etc.... watapata faida sana
.na chokochoko zote mmarekani bado ananunua mafuta ya mrusi huku akitaka chawa wake wasipate gesi