China yapinga vikwazo vya US na EU dhidi ya Russia, yasema itaendelea kufanya biashara na Russia

Watageukana tu huko mbeleni............
.na chokochoko zote mmarekani bado ananunua mafuta ya mrusi huku akitaka chawa wake wasipate gesi
 
Akina jack chan wanatusaliti hivi tena
China yuko sahihi hawa West wana mazuri yao ila maisha ya watu wengine kwao sio muhimu kuna nchi zimepoteza maelfu ya watu kwenye vita visivyokuwa na maana lakini Media zao walikuwa wanatangaza mwisho kama habari za michezo ila ya kwao masaa 24 utasema ni wao tu wanaonewa. Angalia waliyoyafanya Iraq, Libya, Syria na Yemen mpaka leo watu wanakufa na wao ndio wanauzia silaha nchi kama Saudia hakuna hata kukemea tu msiuwe watu hovyo ila wao utasema mwisho wa Dunia huu.
 
Wao Israel akimuonea mpalestina huwa wanapinga VIKWAZO, wanasema muisrael ana na haki, wacha inyeshe tujue panapovuja
 
Watageukana tu huko mbeleni............
.na chokochoko zote mmarekani bado ananunua mafuta ya mrusi huku akitaka chawa wake wasipate gesiView attachment 2134726
Ukimumunya nchale, ukimeza nchale, ukitema nchale!
Yaani hata US na unafiki wake anafeli, sasa anamlipaje mrusi kama anafanya naye biashara kubwa ya mafuta??
 
Anaenda kununua mafuta na gesi zilizotakiwa kuuzwa ulaya kazi ipo kwa mjeruman wenzake wamemponza
Yaani reasoning yenu ni ya kijinga,Ulaya inategemea 25% tuu ya mafuta na gas kutoka Ulaya.

US ataongeza supply along with other OPEC countries ku offset deficit.

Hata hivyo EU na US hawajaweka vikwazo directly kwenye mafuta na gas.
 
Nimefuatilia Sana, nimegundua Russia kwa ilipofikia kuanguka ni ngumu. Kutaka kuiangusha Russia ni kutaka kuiangusha Dunia.... Russia ni kama nguzo fulan kubwa Sana inayoishikilia Dunia, ikianguka ni kuanguka kwa Dunia. Kwa ukubwa waliojijengea Russia na USA mpaka sasa haiwezekani zikaanguka halafu Dunia ikabaki salama
 
China na Russia walishajenga bomba la gas toka Russia linaitwa Power of Siberia
Uwezo wake ni 61 billion cubic metres per annum.

Mzee Russia anakula mbele na nyuma.
China Hana uwezo wa kulisha Rusia na bado akajilisha mwenyewe kiuchumi. Hakuna Biashara iliwahi kufanywa na matajiri wawili labda ya kijima.
 
China hana issue yeye ndiye aliyempeleka mwenzake kichwa kichwa kwenye vita sasa anajaribu kumfariji wakati uchumi wa dunia uko marekani na ulaya
Adui wa adui yako ni rafiki yako.Hivi vikwazo anavyo weka US washa vizoea mwisho wa siku Russia, China, North Korea,Venezuela na Iran nk wataunda umoja wao na wenzetu wanajua kuumiza vichwa kutatua matatizo yao.
 
China Hana uwezo wa kulisha Rusia na bado akajilisha mwenyewe kiuchumi. Hakuna Biashara iliwahi kufanywa na matajiri wawili labda ya kijima.
Mzungu na sisi wakina Mbonde hatufanani, ushirikiano wa China na Russia kama wakiumizwa vichwa lazima watatoboa.
 
China Hana uwezo wa kulisha Rusia na bado akajilisha mwenyewe kiuchumi. Hakuna Biashara iliwahi kufanywa na matajiri wawili labda ya kijima.
Nikikuita wewe ni ndomboro ya solo nitakuwa nimekosea!?
 
Adui wa adui yako ni rafiki yako.Hivi vikwazo anavyo weka US washa vizoea mwisho wa siku Russia, China, North Korea,Venezuela na Iran nk wataunda umoja wao na wenzetu wanajua kuumiza vichwa kutatua matatizo yao.
wew kweli mwehu North korea wote na hao irani hoi bintaaban noth korea ni juzi tu walitangaza njaa wakitaka msaada leo uunde nao umoja utegemee kupiga hatua kiuchumi? Juzi Irani wamelazimika kutumia chanjo za marekani kwa covid-19 ambazo kabla walizikataa kwa mbwembwe zote.

Asikudanganye mtu katika hili Ulaya na marekani ndio wameihold uchumi wa dunia na hata china anaitegemea Marekani kama wewe unavyohitaji maji ya kunywa ukiwa na kiu.,

Russia jana tu ata mwezi haujafika wametangaza riba mara mbili kutoka 9.6% mpaka 20%, ni vile hujishughulishi tu kutafakari haya mambo uputini umekushika kichwani
 
IRAN amelazimika kutumia chanjo za marekani....... ????!! Hivi unaakili kweli wewe........taarifa huyo umeipata wapiiiiii

Wakati IRAN wamezirudisha chanjo ...baada ya kuona zilitenge ezwa USA.....
 
IRAN amelazimika kutumia chanjo za marekani....... ????!! Hivi unaakili kweli wewe........taarifa huyo umeipata wapiiiiii

Wakati IRAN wamezirudisha chanjo ...baada ya kuona zilitenge ezwa USA.....
Mkuu kabla walikataa wakarejesha wakaomba toka nchi nyengine zilipokuja kutoka nchi nyengine Iran wakagundua zina na lebo ya Marekani wakaamua watumie tu AstraZeneca ni uvivu wako wa kufuatilia mambo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…