Kizzy Wizzy
JF-Expert Member
- Aug 2, 2013
- 3,280
- 3,789
Ana maadui kila Kona ya nchi yakeChina kazungukwa kila kona, Australia, South Korea, Japan, Filippine wote hao adui zake yaani atapigika upside down, atulie tu na biashara zake kutengeneza baiskeli na Cherahani
Mambo mengi haufahamu kuhusu China unafikiri ni huruma za mataifa ya magharibi.Wewe fyongo kweli, sasa wewe naye utajiita una uelewa juu ya lolote lile? Kama hili dogo tu limekushinda.
Ana mawazo mengi sana negative hilo ndilo tatizo lakeNimekuwa nikiangalia uchambuzi wake uelewa wake ni mdogo sana
Hahaha we jamaa Xi na wasemaji wake wanaimba kila siku kwamba Chinese dream ni ikiwemo pia kufikia 2049 China iwe super power na iongoze in every aspects ikiwemo technology, biashara,n.kHuo mpango wa 2049 ni nchi kuwa Modern socialist country na kuwa self reliance in almost everything.
Mpaka sasa hiyo sera iliyokuwa abolished by General secretary Xi ambayo ilikuwa introduced na Deng Xiaoping hauja iandika watu waifahamu ?
Unahangaika na propaganda kuihusu China ona ndugu yako Biden hali ni mbaya MarekaniTunaona selikari ya China inavyohaha kuimarisha mahusiano na USA kwa kuiomba mazungumzo hivi majuzi coz wanajua bila soko la Marekani na Europe hakuna China anymore wanalijua hilo
Kila siku huwa namwambiaga kuwa ana mtazamao hasi kuhusu China na huwa hanaga evidence pale unapomuulizaAna mawazo mengi sana negative hilo ndilo tatizo lake
Kati ya hayo mataifa uliyotaja hakuna hata mwenye ubavu wa kusogeza pua yake China.China kazungukwa kila kona, Australia, South Korea, Japan, Filippine wote hao adui zake yaani atapigika upside down, atulie tu na biashara zake kutengeneza baiskeli na Cherahani
Lete evidence mkuuKupambana na covid 19 tu imewashinda. Just covid 19 ambayo Duniani imeshaonekana is no longer a threat ila China kwa sasa hivi tunavyoongea bado ni janga na watu wanakufa kila siku.
Unataka kusemaje kuhusu hili.,?
Hayo mataifa yote yanategemeana usiongee kama mtu asiyejua kuhusu uchumi wa duniaTunaona selikari ya China inavyohaha kuimarisha mahusiano na USA kwa kuiomba mazungumzo hivi majuzi coz wanajua bila soko la Marekani na Europe hakuna China anymore wanalijua hilo
Mnapobanwa ndipo mnakimbilia kwenye ushahidi.Kila siku huwa namwambiaga kuwa ana mtazamao hasi kuhusu China na huwa hanaga evidence pale unapomuuliza
Kila taifa lita jiongoza vile linavyo ona lenyewe ipi njia bora.Hahaha we jamaa Xi na wasemaji wake wanaimba kila siku kwamba Chinese dream ni ikiwemo pia kufikia 2049 China iwe super power na iongoze in every aspects ikiwemo technology, biashara,n.k
Strategies inazotumia sasa ni kichekesho,.. ni wizi wa IP, hacking, dept diplomacy, human rights abuse n.k
West wameshawashtukia na ndo haitowezekana tena...., kila nchi ya west saivi inabadilisha sera zake dhidi ya China.
Hilo nime gundua nami pia kuhusu yeyeKila siku huwa namwambiaga kuwa ana mtazamao hasi kuhusu China na huwa hanaga evidence pale unapomuuliza
Ni taifa gani kubwa lililo ishinda Covid19 ambalo halina vifo sasa ?Kupambana na covid 19 tu imewashinda. Just covid 19 ambayo Duniani imeshaonekana is no longer a threat ila China kwa sasa hivi tunavyoongea bado ni janga na watu wanakufa kila siku.
Unataka kusemaje kuhusu hili.,?
Iongoze inavyotaka? Hata kama unavunja haki za binadamu?Kila taifa lita jiongoza vile linavyo ona lenyewe ipi njia bora.
Mataifa ya magharibi yajiongoze vile yanavyo ona sawa naye China itajiongoza vile inavyo ona sawa kwake na kwa wananchi yake.
Unahitaji kuyajua mengi sana kuhusu China hiyo sera ya Deng mpaka sasa hujaieleza?
Hizo haki za binadamu unazifahamu ?Iongoze inavyotaka? Hata kama unavunja haki za binadamu?
Kuna makubaliano ya kimataifa yameingiwa na kukubaliana kulinda sheria za kimataifa kwa maana ndizo zinazotukutanisha sometimes.
Kama haulindi wala haufati sheria za kimataifa utatengwa tu na kuadhibiwa.
Hivi unanielewa ninapozungumza kuhusu sera?Ni taifa gani kubwa lililo ishinda Covid19 ambalo halina vifo sasa ?