othuman dan fodio
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 6,850
- 11,033
Sijakimbia mkuu najipa muda kidogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijakimbia mkuu najipa muda kidogo
Iweje anashindwa penyeza watu wake pale?Exactly. China ina uhitaji wa economic development, political stability na kuwa strong zaidi kuliko kuwa na Taiwan. Priorities za China Taiwan sio ya kwanza. Na Taiwan yenyewe kama yenyewe haiwezi kuizuia China kijeshi bali kuichelewesha. Ila China itakosa vingine ikiivamia Taiwan, sio kwamba itashindwa vita.
Hapa tunazungumzia Taiwan nchi yenye landmass ndogo kuliko mkoa wa Manyara, China ina naval vessels zaidi ya 300, fighters mamia, drones za kutosha na thousands of artillery pieces and rockets. Ni kwamba China haiwezi vamia kimauaji kama Urusi maana Taiwan ni ndugu zao na ina mpango na miundombinu yao vinginevyo China inaweza tumia muda mfupi sana.
Labda na ulimwengu wakoChina inategemewa na ulimwengu mzima.
Anamtegemea kwa lipi sasa? Kweli humu kuna mazwazwaHata USA anamtegemea mchina
Una maana ganiAnamtegemea kwa lipi sasa? Kweli humu kuna mazwazwa
Anajaribu ila wale wenzetu sio wajinga kama sisi bara letu. Uchaguzi mkuu wa Taiwan huwa China inakuwa concerned mno, tatizo wananchi wa Taiwan hawataki kuwekwa chini ya mwavuli wa chama kimoja, mkono wa chuma na kufungwafungwa kama Wachina. Sijawahi ona watu wenye freedom wakaikataa wakataka kubanwa. GDP per capita, economic freedom, civil rights vyote Taiwan inaizidi ChinaIweje anashindwa penyeza watu wake pale?
Basi ikitokea wakavamiwa Taiwanese wengi watapelekwa concentration campsAnajaribu ila wale wenzetu sio wajinga kama sisi bara letu. Uchaguzi mkuu wa Taiwan huwa China inakuwa concerned mno, tatizo wananchi wa Taiwan hawataki kuwekwa chini ya mwavuli wa chama kimoja, mkono wa chuma na kufungwafungwa kama Wachina. Sijawahi ona watu wenye freedom wakaikataa wakataka kubanwa. GDP per capita, economic freedom, civil rights vyote Taiwan inaizidi China
Kinachofanya China asiivamie mpaka saivi ni nn?Mimi nasema China vs Taiwan na wewe unasema China vs USA, vitu viwili tofauti.
Kwanza hakuna guarantee 100% kwamba Marekani itaitetea Taiwan ikivamiwa na China. Na hata kama guarantee ipo, invasion itafanyika na Taiwan itakuwa occupied kisha vita ya China na Marekani iendelee. China can withstand sanctions for a few months wakati Taiwan ishakuwa chini yake. Ni sawa uzungumie WW2, Nazi Germany ilipotangaza invasion ya Poland ndipo Britain ikatangaza vita nao ila tangu mwaka huo 1939 Poland ilikuwa occupied mpaka 1944 hivi. France nayo si ilikuwa occupied ndio allies wakaja ikomboa. Na Taiwan itakuwa hivyo hivyo.
Ikitokea China inafanya invasion ghafla inahitaji Marekani zaidi ya wiki tatu kuandaa heavy naval task force mpaka ifike South China sea, maana aircraft carrier moja iliyopo around pale haitoshi. Huo muda China inasubiri Marekani waje?
Kama ni bombers za USAF kuwa Guam bado China ana ICBM na interceptors anaweza hold kwa muda.
Wewe unazungumzia njaa, hakuna superpower anaingia vitani alafu within a month watu wanakufa njaa. Na hiyo naval blockade inahitaji warships kuisimamia, ni kitu kimoja kutunga sheria ya kuzuia kuzurura usiku mtaani, ni kitu kingine kuhamamisha sungusungu wa kukamata wazururaji.
Alafu kwanini uamini Wachina wakiingia vitani wataigeuka serikali, unajua ni kiasi gani CCP imewekeza kwenye elimu ya uzalendo? Hakuna nchi pale Ulaya raia ni wazalendo kuliko China, ukiingia nao vitani habari za serikali inatunyanyasa utazisoma kwenye vitabu. Mpaka blockade iwe emphasized, fuel ikose, chakula kikose Taiwan ishakuwa occupied muda sana.
Hata ukiamua kujidanganya, there is no way Taiwan can thwart Chinese invasion. Vita sio miujiza
Jitafakari kichwan mwako , kuna element za umilembeb, South Sudan kudai uhuru ni sawa ila Taiwan kudai uhuru sio sawaNi kosa kudai uhuru wa Taiwan kutoka China iwe ndani ya Republic Of China au People's Republic Of China.
Visiwa vya Taiwan ni sehemu ya Uchina
Kwa Sababu wanataka mapatano Kwa njia ya Amani kwanzaJiulize kama wanaweza kwann hawajafanya mpaka sasahivi.
Hili jambo sio rahisi kama unavyofikiri.
Hii comment yako inaonesha uchiz wko , kwamba unaunga mkono sababu wew taifa lako ni sehem ya China? Kwan usiseme kuwa sehem ya Taiwan ? Swala la kujitenga huamuliwa na wakaz wa eneo husika , je kwann China mainland inang'ang'ania umoja wkt Taiwan hatak umoja na hawafanani kila kitu sio sera za kiuchumi wala sera za kisiasa , na ww kilaza unaunga mkono uwaweke Taiwan pamoja na nchi isiyo na uchaguz wenye haki kwa kila mchina yaan kati ya wachina 1B rais anachaguliwa na watu elf 3 tu na wewe ndo unataka Taiwan aingie kweny huo uzuzu?Taifa lako lingepata kuwa nafasi ya China sioni kama ungeunga mkono harakati hizo.
Kwamba huyo Xi Jinpin ana edit katiba ili abakie madarakan ndo ajirekebishe baada ya kuwa ndan ya Republic , kwamba wataiwan chini ya 90m anawaheshimu kuliko wachina 1B?Republic Of China haiwezi kuwa chini ya CPC. Hakuna mahali imetamkwa hivyo.
Hizi stress za maisha zitawaua vijana wa dar , unaililia China kuzid bara lako la afrikaUna andika maneno mengi yasiyo na faida na mahusiano na suala la Taiwan
Tabiri zako kuhusu serikali ya China na CPC hazina maana.
Na kuna mazombi huku bongo wanahisi hizo vamiz zitawaumiza westUrusi imefungua Pandora box, sasa itakuwa mwendo wa nchi majirani kuvamiana tu.
Baada ya yote bas waheshimu haki za binadamu hasa wachinaUnataka China iwe na ijiendeshe sawa na mataifa unayo penda haiwezi kuwa hivyo
Sio mtanzania, Huyu ni mchina kama ulikuwa hujuiHizi stress za maisha zitawaua vijana wa dar , unaililia China kuzid bara lako la afrika
Marekani inachochea vitaJeshi la China linasema liko tayari kuharibu harakati za aina yoyote za uhuru wa Taiwan, huku Marekani ikijiandaa kuharakisha uuzaji wa silaha za kujihami kwa demokrasia ya kisiwa kinachojitawala.
Msemaji wa Wizara ya Ulinzi, Kanali Tan Kefei anasema ongezeko la hivi karibuni la mabadilishano kati ya Wanajeshi wa Marekani na Taiwan ni hatua mbaya na hatari.
Tan anasema Jeshi la ukombozi la Watu wa China linaendelea kuimarisha mafunzo na maandalizi ya kijeshi ili kukabiliana na vikosi vinavyounga mkono uhuru na uingiliaji kutoka nje, akimaanisha mshirika wa karibu wa Taiwan, Marekani.
China inadai kisiwa hicho chenye watu milioni 23 kuwa ni eneo lake na kinapaswa kuwa chini ya udhibiti wake kwa nguvu kama itatakiwa kufanyika hivyo.
========
China says ready to ‘smash’ Taiwan self-rule as US prepares major arms package
China is prepared to “resolutely smash any form of Taiwan independence,” its military said Tuesday, as the US reportedly prepares to accelerate the sale of defensive weapons and other military assistance to the self-governing island democracy.
A recent increase in exchanges between the US and Taiwanese militaries is an “extremely wrong and dangerous move,” Defense Ministry spokesperson Col. Tan Kefei said in a statement and video posted online.
Soldiers of China’s People’s Liberation Army (PLA) prepare in front of the Tiananmen Gate ahead of the military parade to mark the 70th anniversary of the end of World War Two, in Beijing, China, September 3, 2015. (Reuters)
China is prepared to “resolutely smash any form of Taiwan independence,” its military said Tuesday, as the US reportedly prepares to accelerate the sale of defensive weapons and other military assistance to the self-governing island democracy.
A recent increase in exchanges between the US and Taiwanese militaries is an “extremely wrong and dangerous move,” Defense Ministry spokesperson Col. Tan Kefei said in a statement and video posted online.
For all the latest headlines follow our Google News channel online or via the app.
China’s People’s Liberation Army “continues to strengthen military training and preparations and will resolutely smash any form of Taiwanese independence secession along with attempts at outside interference, and will resolutely defend national sovereignty and territorial integrity," Tan said, in a reference to Taiwan’s closest ally, the United States.
China claims the island of 23 million people as its own territory, to be brought under its control by force if necessary.
With the world’s largest navy, latest-generation fighter jets and a huge arsenal of ballistic missiles, China has been upping its threats by sending planes and warships into waters and airspace around Taiwan. With more than 2 million members, the PLA also ranks as the world’s largest standing military, although transporting even a portion of the force in the event of an invasion is considered a huge logistical challenge.
Along with daily air and sea incursions around Taiwan, Beijing has held military exercises in and around the Taiwan Strait dividing the sides, seen in part as a rehearsal for a blockade or invasion that would have massive consequences for security and economies worldwide.
Such actions seek to harass Taiwan’s military and intimidate politicians and voters who will choose a new president and legislature next year.
The moves appear to have had limited effect, with most Taiwanese firmly in favor of maintaining their de facto independent status. Politicians and other public figures from Europe and the US have also been making frequent trips to Taipei to show their support, despite their countries’ lack of formal diplomatic ties in deference to Beijing.
Tan’s comments were prompted by a question from an unidentified reporter about reports that US President Joe Biden is preparing to approve the sale of $500 million in arms to Taiwan, as well as sending more than 100 military personnel to evaluate training methods and offer suggestions for improving the island’s defenses.
Taiwan enjoys strong support from both the US Democratic and Republican parties, which have called on the Biden administration to follow through on nearly $19 billion in military items approved for sale but not yet delivered to Taiwan.
Administration officials have blamed the delayed deliveries on bottlenecks in production related to issues from the COVID-19 pandemic to limited capacity and increased demand for arms to assist Ukraine. Biden’s move would allow the export of items from existing US military stockpiles, speeding up the delivery of at least some of the hardware Taiwan needs to deter or repel any Chinese attack.
Among the items on backorder are Harpoon anti-ship missiles, F-16 fighter jets, shoulder-fired Javelin and Stinger missiles and the High Mobility Artillery Rocket System, or HIMARS, a multiple rocket and missile launcher mounted on a truck that has become a crucial weapon for Ukrainian troops battling Russian invasion forces.
Tan’s comments were in line with Beijing’s standard tone on what it calls the “core of China’s core interests.” The two sides split at the end of a civil war in 1949 and Beijing considers bringing Taiwan under its control as key to asserting its sovereignty and territorial integrity.
Attempts to “seek independence by relying on the United States” and “seek independence by military might” are a “dead end,” Tan said.
With China-US relations at a historic low and Taiwanese unreceptive to Beijing’s demands for political concessions on unification, concerns are rising about the likelihood of an open conflict involving all three sides and possibly US treaty allies such as Japan.
China’s diplomatic and economic support for Russia following its invasion of Ukraine has also increased tensions with Washington. Beijing is believed to be closely studying Moscow’s military failures in the conflict, while the Western will to back Kyiv is seen by some as a test of its determination to side with Taiwan in the event of a conflict with China.
Source: Alarabia
Urusi kumetokea nini?Zaidi ya 75% ya energy products China inaagiza nje na njia kuu ni malaka straight. Hii njia ikifungwa kwa vikwazo China kutakuwa na hali mbaya sana.
CCP hawajali wao wanachowaza ni usupa pawa tu. Xi anawaponza mtapotea vibaya sana. Kinachotokea urusi nadhani mnakiona
Wa Ukraine wanayapigania maeneo yao,Urusi kumetokea nini?
Unaongea km umekatwa kichwa.
Wayukren wapo kwenye shida sababu ya viburi vya hao wamarekani wewe unatuletea porojo za Hollywood?
Hao jamaa USA wanaipeleka Dunia kubaya