China yatuma ndege 38 za kijeshi mpakani mwa Taiwan

Hata Russiana uwa anaingiza figher jet kwenye anga la UsA pia Us.A kwa Russia uwa wana zi nchi husika inatuna ndege kuzionya.
Embu tusubiri tuone.
Ila kijiografia na military assets China ilizonazo mh ngojea tuone.
 
si mara 1 hata mwaka jana tai wa Us waliruka ndani ya anga la china na hakuna kilichotokea.. mnachokiandika hapa wachina wenyewe wanawashanga

 
Ukraine sio mwanachama wa Nato........angalia vizuri historia ya Crimea ilikuwaje ikawa sehemu ya Ukraine na raia wa hapo wengi wana asili ya wapi utaona kwanini ilikuwa rahisi kwa Urusi kuichukua kibabe.
Kwani Taiwan ni mwanachama wa NATO?
 
si mara 1 hata mwaka jana tai wa Us waliruka ndani ya anga la china na hakuna kilichotokea.. mnachokiandika hapa wachina wenyewe wanawashanga

View attachment 1964262
Zilikua ndege ngapi na UCHINA aliingiza ndege ngapi TAIWAN kwakitendo cha UCHINA kuingiza ndege zake hizo aloingiza TAIWAN lilikua tangazo rasmi la VITA
US hata kaa athubutu kupeleka idadi hio ya ndege UCHINA ama URUSI halaf vusitokee vita tena sio URUSI na UCHINA hata IRAN hawezi akawafanyia huo UPUUZI walofanziwa TAIWAN na UCHINA ila TAIWAN hawakua na lakuifanya UCHINA
 
insu ni ndege kuruka ndani ya anga la china na sio idadi.
tabia yenu ya kushift magori kila mnapokuwa cornered won't help you anything.
mmesema Us ajaribu kurusha ndege yake ndani ya anga la china, nimewajibun kuwa hata mwaka jana bundi karuka ndani ya anga la Beijing, sasa mmehamisha magori mnataka idadi ya ndege, then nikikupa idadi mutataka nikutajieni majina na rangi ya ndege.
hata kama ni utoto wekeni mipaka.
 
Kasome hiyo vita vizuri halafu urejee hapa useme kuwa hakuna kilichomkuta.
Kama hakuna kilichomkuta basi maeneo yaliyokaliwa na N.K kwa mabavu yangerudi.
Nilishasoma tena labda ulikuwa hujazaliwa.
 

China huenda ikawa na uwezo wa kuishambulia Taiwan kufikia 2025’ Waziri wa Ulinzi​


EPACopyright: EPA
Uhusiano wa kijeshi na China ni mbaya zaidi katika miaka 40, waziri wa ulinzi wa Taiwan amesema.
Chiu Kuo-cheng pia alionya China itakuwa na uwezo wa kukivamia kisiwa hicho ifikapo 2025.
Maoni yake yalikuja baada ya China kutuma "idadi kubwa " ya ndege za kijeshi katika eneo la ulinzi wa anga la Taiwan kwa siku nne mfululizo.
Taiwan inajiona kuwa nchi huru. Beijing, hata hivyo, inaiona Taiwan kama jimbo lake lililojitenga.
Haijafutilia mbali uwezekano wa matumizi ya nguvu kufanikisha kuungana na kisiwa hicho.
"Kufikia mwaka 2025, China itasongesha karibu uwezekano wa mzozo kamili. Ina uwezo sasa, lakini haitaanzisha vita kwa urahisi, ikizingatia mambo mengine mengi," Chiu Kuo-cheng alisema wakati kamati ya bunge Taipei ikiingatia muswada wa matumizi ya ulinzi wa mabilioni ya dola kujenga makombora na meli za kivita.
Taiwan ilijitenga na China bara wakati wakomunisti walipochukua madaraka mnamo 1949.
Wachambuzi wameonya kuwa Beijing inazidi kuwa na wasiwasi kuwa serikali ya Taiwan inaelekea kuafikia azimio rasmi la kujitangazia uhuru na inataka kumzuia Rais wake Tsai Ing-wen kuchukua hatua zozote katika mwelekeo huo.
Washirika kadhaa wa Magharibi wa Taiwan wameelezea wasiwasi wao juu ya onyesho wazi la China la nguvu zake za kijeshi katika siku za hivi karibuni.
Hata hivyo, Rais wa Marekani Joe Biden alisema mwenzake wa China Xi Jinping amekubali kutii "makubaliano ya Taiwan".
Bwana Biden alionekana kuashiria sera ya muda mrefu ya Washington ya "China moja" ambayo inaitambua China badala ya Taiwan.

BBC swahili
 
Hii kwa mujibu wako wewe sio china...maana hakuna sehemu yoyote serikali ya china imesema kama ulichokisema hapa...
 
Inawezekana upo usingizini[emoji3]
 
Hivi US of A inasubiri nini kuwapa Taiwan Nuclear bomb kadhaa. Nuclear deterrence ndio njia pekee kuepuka ubabe wa Mchina.Demokrasia Taiwan na popote duniani lazima kulindwa kwa gharama yeyote ile.
 
Sawa mkuu... Kama tungefahamiana ningekukumbusha wakati ukifika.

Wachina ni nyoko! Wapo tayari hata wafe milioni 500 lakini wahakikishe wanalinda heshima yao na adui amesalimu
Walianza lini kuwa na roho ya hivi wakati Mjapani alishambomoa vibaya sana kwenye vita?
 
💨 Leo Taiwan imeripoti kuwa Ndege 9 za China zimeingia kwenye anga lake

Taiwan ni kisiwa kinachojitambua kama taifa huru ila China inasema ni jimbo lake na anairudisha kwenye himaya yake.

Marekani ndiyo huwa inaipa jeuri Taiwan ila China ishawahi muambia anacheza na moto.
 
Marekani atashika namba 3 kwa usupapawa muda si mrefu 😊
 
[emoji599] Ukraine’s Zelensky: “Today I asked the 27 leaders of Europe whether Ukraine will be in NATO, I asked directly. Everyone is afraid, does not answer. And we are not afraid, we are not afraid of anything.”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…