Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Ss ulitaka akawape pesa wakat watu wapo vitani[emoji1787][emoji1787] bila shambulizi ilo dunia isingelijua athali za nuclear ebu fikiria kuelezea athali za nuclear kwa maneno matupu tu bila mfano?.hakuna ambae angejali ila mfano hai tunao ndiyo maana inatakiwa wenye akili wamiliki hayo madude.
alafu unaanzia wapi kuilaum Us katika shambulizi ilo.
Japan katia mguu ndani ya viunga vya Us, kafanya uharibifu mkubwa, maelfu ya raia wakafa.
ila ajabu akarudi nyumbani kwake akaendelea kufanya mishe zake as if hajaharibu kitu kwa jirani.
Yaan unaenda kwa Jiran yako Mahamudu unakuta Familia yake unapiga familia unaua mifugo yake then unashusha chungu cha ugali alafu unarudi kulala kwenye banda lako na mlango unaegesha bila kitasa.. unashindwa kuwaza kuwa japo jamaa ni muoga na dhaifu anaweza beba jiwe na kukutwanga la kichwa ubongo umwagike!! [emoji1787][emoji1787].
Robert kiyasoka ni mmarekani mwenye asili ya Japan ila katika ili uwa anailau Japan kwa ujinga ilioufanya.
Kama aliweza kuipiga JAPAN hashindwi kuipiga nchi yeyote
IRAN ndio anazonyuklia facility waka deal nazo tu hakuna shida
Kama wao wanaakili nampaka IRAN kama anamiliki ujue anaakili ndio maana anamiliki
Mbona nyie huko kwenu usagara mmeshindwa kumiliki MKUU[emoji16][emoji38][emoji12]