China yatuma ndege 38 za kijeshi mpakani mwa Taiwan

China yatuma ndege 38 za kijeshi mpakani mwa Taiwan

Wakati RUSSIA inaichukua CRIMEA ilitumia weakness za biden pia!?
Siwakubali US ila huyu biden mnamuonea sana yaan
Ni kweli mkuu Ukrane alikuwa haja saini kuwa member wa NATo kwa kipindi kile ndo kwanza alikwa member mpya wa EU.
 
Anachoona China ni kwamba akichelewa Taiwan itazidi kujiimarisha na silaha za Marekani.
Pia akiwahi kuivamia kuna uwezekano likawa ni jambo la hatari linaloweza kuiyumbisha China kwa kiwango kikubwa, ila kuna option wanayo ya kuwahi kuibeba taiwan huku wakiwa tayari kuingia vitani na Amerika pale itakapobidi.
Option hii hata Amerika anaiogopa maana itamgarimu kwa kiwango kilekile itakavyoigarimu China.

Naweza kukwambia Taiwan haitomaliza miaka 10.

Baadhi yetu humu tutalishuhudia hili! China yupo tayari kwa 100% hata kuiingiza dunia vitani kwaajili ya Taiwan kuliko Marekani ilivyo tayari kusimama na Taiwan kwa 100%
Sio rahisi,tokea 1940 walivyotengana wameshindwa kuichukua waweze leo,itamwagika damu
 
China atumie njia aliyotumia Putin kuikamata Crimea, lakini hizi za kupeleka ndege ndani ya Taiwan italeta taharuki sana na sio njia yenye manufaa zaidi, itakuwa na hasara zaidi japo watafanikisha...

Watengeneze waasi wanaoikataa Taiwan, then Taiwan ikitumia nguvu, China iingilie kati, waasi wapewe vifaa vyote vya kivita kimya kimya, pia China iingize special force commandos kama Russia ilivyofanya Crimea...

Russia kwenye intelejensia ni mwisho wa reli, raisi tu mwenyewe ni former KGB...
Hahah kosa ni hapo mnapo ifananisha Taiwan na nchi maskini kama za East EU. pia lazima ukumbuke Urusi alitumia udhaifu kwa Ukrain kutokuwa mwanachama wa NATO kuivamia pia ndo sababu nchi wanachama hawaku chukua action. Taiwan pia ni mtengenezaji chip au semiconductor kama snapdragon sim zote kali unayo ijua wew iwe imtoka China bara au ulaya ina mkono wa Taiwan,InVidia.pia computyuta zenye nguvu kama Azus.
 
wewe nje ya mjadala uwa unamisimamo yako binafsi.
ulishawai kuandika humu kuwa hakuna nchi ya kuipiga iran nikifikiria ilo tu ilo linaniondolea uhalali wa kujadiliana na wewe.
hata kama jf ni kijiwe cha story ila story zako zinaukakasi sana.

nb:, marekani haitobaki kama ilivyo baada total war na china ila wakati unalitazama ilo vuta picha Beijing itakuwa na hali gani.
wakati shughuri zote ndani ya marekani zimesimama watu hawatoki ndani kwasababu ya vita sijui upande wa pili wa mpinzani watakuwa na hali gani.
[emoji4][emoji4][emoji4]
Sidhanii kama nilisema hakuna taifa la kuipiga IRAN ila nilisema kulingana na taifa husika ilikua ISRAEL
Kuhusiana na vita si US wala CHINA ambae atabakia kama alivyo ikitokea total war ila US hawezi kuiingiza US yao vitani tena na taifa kama UCHINA eti kisa TAIWAN kwahili sahau MKUU
 
nuclear ni decision ya mwisho kabisa katika vita.. yaan ni hali ya kwamba wote tukoswe ama wote tufe.
niliwai soma pahari kwamba Us kategesha Nuclear zake kati ya dakika 5 ama 10 nyuma ya nuclear ya za Russia.
hii inamaana kwamba Russia akifyatua nuclear, nuclear za Us hazihitaji uweke pin codes ilizifanye kazi,zitafyatuka automatically.

nuclear zinaleta hali ya kuheshimiana.. Russia yuko full loaded china Japan nae hivyo hawa wote wanajua madhara ya nuclear as matter of fact wote hawa wanavyakupoteza tofauti na
vi-nchi kama N/Korea, Iran etc.
Kuruhusu Iran/N, korea kuwa na nuclear ni uamzi wa hatari sana.. ni sawa na mwehu kumpa bunduki.
iran kuwa na nuclear ujue muda mfupi taleban watakuwa nayo, bokoharam watakuwa nayo alshabab nao watakuwa full loaded na hao jamaa ni uncivilized na hawana cha kupoteza, kukinukisha ni anytime.
ndiyo maana Us anapinga sana nuclear isiwe kama Smg.
IRAN kua na nyuklia ni muhimu kwa afya ya taifa lao
Muache ukoloni mambo leo
 
Duu we jamaa mchina wa bara nini?Taiwan ina sifazote za kuwa nchi na wananchi wake washapiga kula kuwa na nchi yao
Inasifa zakua nchi lakini sio nchi ukwelu usemwe
Inatambulika na UN kama nchi au kama sehem ya UCHINA!?
 
China now ana madui wengi hapo Asi hana rafiki zaid ya korea kaskazini pia ana mgogoro wa kimipaka hadi na urussi
Mkuu migogoro kawaida hata US ana migogoro nawashirika wake wakubwa juzi tu hapa france kaita baloz wake kutoka US sababu ya maslahi ya kuuziana nyambizi sijui lile sakata limemalizikia wapi
Hao maadui walifanywa nn na UCHINA jiulize hili kwanza
 
Sidhanii kama nilisema hakuna taifa la kuipiga IRAN ila nilisema kulingana na taifa husika ilikua ISRAEL
Kuhusiana na vita si US wala CHINA ambae atabakia kama alivyo ikitokea total war ila US hawezi kuiingiza US yao vitani tena na taifa kama UCHINA eti kisa TAIWAN kwahili sahau MKUU
ulisema tena si mara moja. nadhani unapaswa utamka hadharani kuwa watu wasichukulie serious kile unachokisema.
 
Unawachukulia poa Taiwan sio? Hapo mchina anapaogopa sababu anajua akigusa tuu ni total destruction kwake na kwa Taiwan.
Ni China hajaamua kuingia Taipei kibabe, ni ile kwamba hawa jamaa ni ndugu so kuwateka kwa umwagaji damu wanaona kama sio ila kinyume na hapo Taiwan hawezi chukua raundi kwa mchina.
 
Ni China hajaamua kuingia Taipei kibabe, ni ile kwamba hawa jamaa ni ndugu so kuwateka kwa umwagaji damu wanaona kama sio ila kinyume na hapo Taiwan hawezi chukua raundi kwa mchina.
china hajawai kuwa na huruma na damu ya mtu.
TIANANIMEN square damu hii iliyomwagika siku hiyo inajibu kila kitu kuwa wachina ni watu namna gani.
 
na mbaya zaidi wanambeza Us ambae kaplay part kubwa kujenga uchumi wa china. bila
Deng Xhioping kuirusu Marekani iwekeze ndani ya china leo upupu huu unaandikwa humu usingelikuwepo.
ndiyo, wachina wana akili na wanafanya kazi sana lakini hawakuwa na ujanja wa kutoka kwenye shimo la uchumi mbovu.
ungrateful animals.
Si na sisi tumevutia wawekezaji ila hatuinuki? Acha kuwachukulia poa wachina
 
As we speak China ni taifa la 3 kwa nguvu za kijeshi duniani huku likiwa ni taifa la pili kwa uchumi mkubwa duniani. Hivi kweli Marekani pamoja na kuwa taifa lenye kiherehere kuliko yote duniani anaweza kupambana na taifa la aina hii kisa Taiwan, jimbo ambalo hata UN wamegoma kulitambua kama taifa huru! Mbona mnazichukulia poa sana nguvu za kufikiri za Pentagon?
To prevent military conflicts between China and the US and ensure 100 percent security, the US must retreat from provoking China's core interests. As the "freedom of navigation" in the South China Sea has never been a problem, why do US warships always sail so close to China's islands and reefs? The South China Sea is so wide that lanes are everywhere. Why must they come to China's islands and reefs to find trouble? This is not navigation at all, but undisguised provocations and threats.

The Chinese people have already seen it through. There is no way that we can talk to the US with reason, we can only talk to the US with strength and actions. I noticed that when Hyten said the US should never go to war with China and Russia, he particularly mentioned that "a war with a nuclear power is a bad thing." See? What the US is really afraid of are the nuclear weapons of China and Russia.

So, my conclusion is strong military strength, especially strategic nuclear power, has made the US in deep awe of confronting China. Under the condition that China doesn't proactively attack it, the US knows that it should stick to the bottom line and not push China into a life and death fight with it. Therefore, as long as what China is doing is defending its core interests, China has the morality and has nothing to fear.
Hu Xijin, Global Times.
 
ulimwengu wa wenye akili hawawezi ruhusu weu kuwa na nuclear.
iran kuwa na nuke hathali zake hadi sisi tulioko uku kibiti zitatupata.
Kama wenye akili wenye nyuklia nikama wale walio sababisha maafa kule nagasaki na hiroshima ni kheri wehu kama IRAN wamiliki Nyuk dunia inaweza ikawa mahala salama zaidi
 
Kama wenye akili wenye nyuklia nikama wale walio sababisha maafa kule nagasaki na hiroshima ni kheri wehu kama IRAN wamiliki Nyuk dunia inaweza ikawa mahala salama zaidi
🤣🤣 bila shambulizi ilo dunia isingelijua athali za nuclear ebu fikiria kuelezea athali za nuclear kwa maneno matupu tu bila mfano?.hakuna ambae angejali ila mfano hai tunao ndiyo maana inatakiwa wenye akili wamiliki hayo madude.
alafu unaanzia wapi kuilaum Us katika shambulizi ilo.
Japan katia mguu ndani ya viunga vya Us, kafanya uharibifu mkubwa, maelfu ya raia wakafa.
ila ajabu akarudi nyumbani kwake akaendelea kufanya mishe zake as if hajaharibu kitu kwa jirani.
Yaan unaenda kwa Jiran yako Mahamudu unakuta Familia yake unapiga familia unaua mifugo yake then unashusha chungu cha ugali alafu unarudi kulala kwenye banda lako na mlango unaegesha bila kitasa.. unashindwa kuwaza kuwa japo jamaa ni muoga na dhaifu anaweza beba jiwe na kukutwanga la kichwa ubongo umwagike!! 🤣🤣.
Robert kiyasoka ni mmarekani mwenye asili ya Japan ila katika ili uwa anailau Japan kwa ujinga ilioufanya.
 
Back
Top Bottom