China yatuma ndege 38 za kijeshi mpakani mwa Taiwan

China yatuma ndege 38 za kijeshi mpakani mwa Taiwan

Mara zote Marekani anatimizaga mkataba aliosaini,usione China anajizuia kuvamia Taiwan sababu anajua nini kitamkuta.
Kama kumkuta kibaya ilitakiwa kimkute toka anachukua maeneo ya bahari na visiwa vidogo pale South China sea.
Ila hakuna kilichomkuta.
Mbaya zaidi unadhani USA hakumbuki kilichomkuta South Korea miaka ya 1950s??
Anakielewa vizuri sana.
 
Kwan unadhani US akileta upuuzi kwa UCHINA atabakia kama alivyo!!?
wewe nje ya mjadala uwa unamisimamo yako binafsi.
ulishawai kuandika humu kuwa hakuna nchi ya kuipiga iran nikifikiria ilo tu ilo linaniondolea uhalali wa kujadiliana na wewe.
hata kama jf ni kijiwe cha story ila story zako zinaukakasi sana.

nb:, marekani haitobaki kama ilivyo baada total war na china ila wakati unalitazama ilo vuta picha Beijing itakuwa na hali gani.
wakati shughuri zote ndani ya marekani zimesimama watu hawatoki ndani kwasababu ya vita sijui upande wa pili wa mpinzani watakuwa na hali gani.
😊😊😊
 
wewe ndiyo ungelikuwa Rais wa marekani ungeliingiza nchi vitani kisa Drone 1 imetunguliwa?.
Ikiwa jibu ni ndiyo basi hupaswi hata kuwa kiongozi wa familia yako.

then wakati unaona Drone ni kitu cha thamani sana fikira black hawks ngapi na ma-Hamvee Us kayaacha fghanistan wakati anaondoka..
mzigo uliachwa Afghanistan jeshi letu hatuna na wameyaacha kwa wajahidina, sasa hivi wanajifunza kuyarusha.
Hivi unajua maana ya kushambulia kambi ya jeshi ya nchi fulani ina maana gani ukiachilia mbali thamani ya vifaa vitakavyoharibiwa?
kushambulia kambi ya jeshi ni zaidi ya hasara juu ya vifaa vya gharama vilivyomo...
wewe umekaa hapo nyumbani, jirani yako anakuja anapita anamkamata kalio mkeo tena mbele zako, utakaa useme "hio ni kawaida tu", kama mwanaume...?

Hatuzungumzii thamani ya vifaa vilivyopo kambini, tunazungumzia kambi ya jeshi la marekani kushambuliwa na askari wote kukimbilia kwenye mashimo kuokoa uhai wao...
Iran hakutaka kuua, kulikuwa kuna majeshi ya nchi zingine(Ulaya), Iran ina maslahi na nchi za Ulaya thats why hata kombora la masafa marefu hasa kufika Ulaya huwa hawaonyeshi, wanaamini siku za mbeleni anaweza fanya biashara ya gesi hapo ulaya kama ilivyo Russia...
Rejea kauli Trump alipopiga mkwara kuhusu jibu lolote toka Iran...
 
wewe nje ya mjadala uwa unamisimamo yako binafsi.
ulishawai kuandika humu kuwa hakuna nchi ya kuipiga iran nikifikiria ilo tu ilo linaniondolea uhalali wa kujadiliana na wewe.
hata kama jf ni kijiwe cha story ila story zako zinaukakasi sana.

nb:, marekani haitobaki kama ilivyo baada total war na china ila wakati unalitazama ilo vuta picha Beijing itakuwa na hali gani.
wakati shughuri zote ndani ya marekani zimesimama watu hawatoki ndani kwasababu ya vita sijui upande wa pili wa mpinzani watakuwa na hali gani.
😊😊😊
Hio vita inapaswa tujue nani atamvamia mwenzie, kama USA akimvamia China, USA hawezi shinda hata siku 1
Kama China akivamia USA, China haiwezi shinda hata siku 1,
Kwa vita ya kutumia ICBM na ndege vita, Bombers, hapo hakuna mshindi...

China ikiichukua Taiwan, USA aingilie kushambulia China, hebu elezea USA atairudisha hio Taiwan na kushinda vita?
 
Hivi unajua maana ya kushambulia kambi ya jeshi ya nchi fulani ina maana gani ukiachilia mbali thamani ya vifaa vitakavyoharibiwa?
kushambulia kambi ya jeshi ni zaidi ya hasara juu ya vifaa vya gharama vilivyomo...
wewe umekaa hapo nyumbani, jirani yako anakuja anapita anamkamata kalio mkeo tena mbele zako, utakaa useme "hio ni kawaida tu", kama mwanaume...?

Hatuzungumzii thamani ya vifaa vilivyopo kambini, tunazungumzia kambi ya jeshi la marekani kushambuliwa na askari wote kukimbilia kwenye mashimo kuokoa uhai wao...
Iran hakutaka kuua, kulikuwa kuna majeshi ya nchi zingine(Ulaya), Iran ina maslahi na nchi za Ulaya thats why hata kombora la masafa marefu hasa kufika Ulaya huwa hawaonyeshi, wanaamini siku za mbeleni anaweza fanya biashara ya gesi hapo ulaya kama ilivyo Russia...
Rejea kauli Trump alipopiga mkwara kuhusu jibu lolote toka Iran...
acha kulinganisha vita na mfano mke kushik
wa makalio hii ni vita ili kuhepusha mihemko kama hii yako ndiyo maana pale magogoni kuna baraza la wazee.
nb:
nimekuuliza wewe ungelikuwa Rais wa marekani ungeliingiza nchi vitani kisa drone imetunguliwa?.
 
Mimi nabaki nacheka napoona mtu anabeti sijui mmarekani yupo juu sijui China ni noma sana, wazee hii ngoma ikipigwa hatala mtu hapa. Mnachekelea saivi ila amini usiamini wakubwa wakipigana hakuna atakayebaki salama!!!

Hizi Pandora papers zimekuja kama distraction tu, hakuna mtu asiejua swala la ufisadi hapa duniani kwaio ni minor issue compared to China's provocation pale Taiwan. I bet sasaivi wakuu wa nchi mbalimbali duniani wanaumiza vichwa kumaliza huu mzozo maana China ashawasha cheche yuko tayari kuclaim Jimbo lake na hakuna wa kumzuia, kama yupo amwage petroli ama gesi kiwake!!!
 
acha kulinganisha vita na mfano mke kushik
wa makalio hii ni vita ili kuhepusha mihemko kama hii yako ndiyo maana pale magogoni kuna baraza la wazee.
nb:
nimekuuliza wewe ungelikuwa Rais wa marekani ungeliingiza nchi vitani kisa drone imetunguliwa?.
Kitu kinachosahaulika hapa ni kwamba hizi ni Nuclear Powers, kikinuka leo hasara yake ni kwa vizazi na vizazi. Raisi gani yupo tayari kwa hilo?
China ilishasema wazi kabisa kuwa USA watakua ni wajinga sana kama wataamua kuingia vitani na wao

General John E. Hyten, vice chairman of the US Joint Chiefs of Staff, said on Monday, "Our goal should be to never go to war with China, to never go to war with Russia. Because that day is a horrible day for the planet, and a horrible day for our countries." Retired US admiral and former head of US Pacific Command Harry Harris also said that "it's very important that we do everything that we can to prevent an escalation and open warfare" with China.
 
China imechukua baadhi ya kilometa za maji za ufilipino na hiyo Taiwan yenyewe na kubeba visiwa juu.
USA ilifanya nini?
Rudi vita ya mgawanyo ya Korea USA kilimkuta nn alipojishaua kumsaidia South korea kurudisha Jangsari?
Hakuna kilichomkuta na ndio maana zinapatikana hizo Korea mbili. Wewe usitake kutufanya wengine kama hatujui kusoma.
 
Kitu kinachosahaulika hapa ni kwamba hizi ni Nuclear Powers, kikinuka leo hasara yake ni kwa vizazi na vizazi. Raisi gani yupo tayari kwa hilo?
China ilishasema wazi kabisa kuwa USA watakua ni wajinga sana kama wataamua kuingia vitani na wao

General John E. Hyten, vice chairman of the US Joint Chiefs of Staff, said on Monday, "Our goal should be to never go to war with China, to never go to war with Russia. Because that day is a horrible day for the planet, and a horrible day for our countries." Retired US admiral and former head of US Pacific Command Harry Harris also said that "it's very important that we do everything that we can to prevent an escalation and open warfare" with China.
nuclear ni decision ya mwisho kabisa katika vita.. yaan ni hali ya kwamba wote tukoswe ama wote tufe.
niliwai soma pahari kwamba Us kategesha Nuclear zake kati ya dakika 5 ama 10 nyuma ya nuclear ya za Russia.
hii inamaana kwamba Russia akifyatua nuclear, nuclear za Us hazihitaji uweke pin codes ilizifanye kazi,zitafyatuka automatically.

nuclear zinaleta hali ya kuheshimiana.. Russia yuko full loaded china Japan nae hivyo hawa wote wanajua madhara ya nuclear as matter of fact wote hawa wanavyakupoteza tofauti na
vi-nchi kama N/Korea, Iran etc.
Kuruhusu Iran/N, korea kuwa na nuclear ni uamzi wa hatari sana.. ni sawa na mwehu kumpa bunduki.
iran kuwa na nuclear ujue muda mfupi taleban watakuwa nayo, bokoharam watakuwa nayo alshabab nao watakuwa full loaded na hao jamaa ni uncivilized na hawana cha kupoteza, kukinukisha ni anytime.
ndiyo maana Us anapinga sana nuclear isiwe kama Smg.
 
Ondoa hofu. China inaweza kunyakua eneo lake halali la Taiwan kwa siku moja sema mataifa washirika wa Taiwan wanaweza kufanya makosa yatakayoyopelekea dhoruba kubwa dunia nzima
Sio kweli mkuu China ameshindwa kivita na Taiwan zaid ya maratano kuinyakuwa.Taiwan intengeza ndege pia magari copyuta sio nchi ya kisport ivo mkuu.usipagawe na yale magwalide ya China mkuu action ni ziro mkuu.
 
Taiwan ni sehemu ya China moja acha kuropoka. Hata umoja wa mataifa hautambui Taiwan kama taifa bali kama sehemu ya China.
America kwa hofu yake anataka kukichonganisha kisiwa cha Taiwan na China ili wapate mgogoro utakaoirudisha China nyuma ili Amerika aendelee kuwa na nguvu ya kucontral dunia atakavyo
Mkuu rudi kasome history tena .
 
China kwa sasa Ina nguvu kama USA, vifaa vya kivita wanaweza kuvitengeneza kwa gharama ndogo na vyenye ubora kama USA, Purchasing power yao kubwa ndicho kitu kiliifanya USA ishinde WW2, sasa hivi hio sifa anayo Chinese, viwanda almost USA uzalishaji wake unafanyikia China... China si ya kupuuzwa..
Mchina anajitahidi, lakini bado kwa US
 
Kwa sasa China imeimarika kijeshi, kitecnologia huku Marekani ambaye ndio anaipa kiburi Taiwan akiwa anazidi kukosa ushawishi duniani. Pia maadui wa Marekani wamepata nguvu na wanazidi kupata nguvu siku hadi siku... Kibaya zaidi maadui wa Marekani wanashirikiana na China.

Huhitaji akili kubwa kutambua hili... Wakati ni sasa
Nikweli chuna imalika lakini sio kwa levo za US na RuSSia mkuu.Taiwan
 
Vita walivipigania Korea. Wakati huu mfano China akiivamia Taiwan kijeshi alafu Marekani ipeleke wanajeshi na silaha unadhani China itaruhusu hilo? Lazima kama ni meli imeleta silaha ilipuliwe au itekwe na wachina kabla haijatia nanga.
Ikilipuliwa Marekani wakijibu, China nayo itajibu alafu vitakuwa ni vita kati ya Beijing na Washington maana kipindi hiki wote wana viburi vya pesa, silaha na washirika.
Kikubwa zaidi wote wawili wanataka kuwa viranja wa dunia kitu ambacho zama za vita vya Korea mchina alikuwa anajikongoja kumpigania jirani yake North Korea
Taiwana amenunua na ananendelea kununua silaha kutoka ulaya na malekan mbona China haijawahi kulipua.pia meli na ndege za kijeshi na kibiashara zinatoka mbona hawalipui? China bara yupo vizuri sio makam UsA au Urusi kijeshi bado san.
 
Huo ni mfano nimekupa

Taiwan sio kwamba ni mshirika muhimu sana wa Marekani bali Marekani inalazimisha kujiweka karibu na Taiwan kwaajili ya kuitengenezea China migogoro.
Crimea napo Marekani ilitaka kujisogeza karibu na Ukraine kwa lengo la kwenda kuweka kambi yake ya silaha kwenye rasi ya Crimea ili kuimulika Urusi... Urusi alipojua hakuchelewa akachukua hatua kali zilizomuacha muamerika na maneno matupu.

Vivyo hivyo kwa Taiwan malengo ni hayohayo yakiambatana na hofu kwamba Taiwan ikirejea China, China itazidi kuwa na nguvu huku ikitawala eneo kubwa la bahari na visiwa
Kwa maelezo hapo juu inaonyesha wewe ni mshabiki tu.hujui hata historia ya mgogoro kati ya China na Taiwan.Taiwan na marekan ni washilika Tangu1948 china inapata uhuru kabla ya mao kuingia madalakan.pua malekan imeisaidia China kumtoa mjapan.rudi kamsome tena mkuu.
 
Back
Top Bottom