let the caged bird sings
JF-Expert Member
- Sep 19, 2020
- 3,699
- 8,857
jambo la kujiuliza Us atakuwa tayari kumuacha ally wake mhimu kama Taiwan avamiwe na uchina?. kuiruhusu china kuivamia Taiwan ni sawa na kutoa Baraka kwa S/Korea kuivamiwa N/korea as long as washirika wengine wa Us watajiona hawako salama mikononi mwa Us endapo uvamizi wa china utapita bila response yoyote.Anachoona China ni kwamba akichelewa Taiwan itazidi kujiimarisha na silaha za Marekani.
Pia akiwahi kuivamia kuna uwezekano likawa ni jambo la hatari linaloweza kuiyumbisha China kwa kiwango kikubwa, ila kuna option wanayo ya kuwahi kuibeba taiwan huku wakiwa tayari kuingia vitani na Amerika pale itakapobidi.
Option hii hata Amerika anaiogopa maana itamgarimu kwa kiwango kilekile itakavyoigarimu China.
Naweza kukwambia Taiwan haitomaliza miaka 10.
Baadhi yetu humu tutalishuhudia hili! China yupo tayari kwa 100% hata kuiingiza dunia vitani kwaajili ya Taiwan kuliko Marekani ilivyo tayari kusimama na Taiwan kwa 100%
hii fedheha Us hawezi ikubali kwa gharama yoyote ile.