China yatuma ndege 38 za kijeshi mpakani mwa Taiwan

China yatuma ndege 38 za kijeshi mpakani mwa Taiwan

Ndoto za mchana hizi. 😂😂😂
Ukiangalia Makala za Al-Jazeera na Stori za humu ni kichekesho. China wenyewe washabainisha wazi kuirudisha Taiwan ni task kubwa na inawaumiza kichwa, kumbuka kuna Taipei pia wanachokochoko hizo, huku Honkong nae hataki tena kuwa chini ya China
 
Uchumi wa Hong Kong ambao ulikuwa unafanya vizuri sana sasa umeanguka kutokana na udikteta kuingia. Wengi kule wanafunga biashara zao na kuhamia nchi nyingine UK, Canada, USA, UAE na Australia.

Ukiangalia Makala za Al-Jazeera na Stori za humu ni kichekesho. China wenyewe washabainisha wazi kuirudisha Taiwan ni task kubwa na inawaumiza kichwa, kumbuka kuna Taipei pia wanachokochoko hizo, huku Honkong nae hataki tena kuwa chini ya China
 
Kama imeweza kuwepo kwa zaidi ya miaka 40 mpaka sasa, kwanini isimalize hiyo 10?
Kwa sasa China imeimarika kijeshi, kitecnologia huku Marekani ambaye ndio anaipa kiburi Taiwan akiwa anazidi kukosa ushawishi duniani. Pia maadui wa Marekani wamepata nguvu na wanazidi kupata nguvu siku hadi siku... Kibaya zaidi maadui wa Marekani wanashirikiana na China.

Huhitaji akili kubwa kutambua hili... Wakati ni sasa
 
Kwa vita vikubwa kati ya haya mataifa makubwa hawahitaji kuwa karibu ndio wapigane

In non-nuclear confrontation kutegemea Bahari peke yake utajikuta hufanikiwi so lazima uwe na land based military bases na mataifa yatakukatalia kuweka and or kutumia bases zilizo katika ardhi yao katika vita na nchi yenye nguvu kama China au Urusi
 
Embu tuongee kwa mazingira ya sasa ikitokea vita pale Mashariki ya Mbali,Marekani atapata shida gani ya logistics?

Vita ya ghuba dhidi ya Saddam Hussein wanajeshi waliokuwa ndani ya Coalition ya US waliopelekwa ilikuwa wanajeshi zaidi ya laki tano kitu ambacho ni logistical issue nilikuwa nikimsikiliza Former Israel Intel Boss akichambua hilo suala

Na nchi yenyewe ilikuwa ndogo tu ya Kuwait

Ukifuatilia historia ya vita vya Vietnam 1965 onwards unaambiwa ile vita moja tu na askari walikuwa hawafiki milioni waliopelekwa Vietnam ila USA alikuwa amekuwa distracted na ile vita ikawa ngumu kuji"commit" maeneo mengine au vita zingine
 
In non-nuclear confrontation kutegemea Bahari peke yake utajikuta hufanikiwi so lazima uwe na land based military bases na mataifa yatakukatalia kuweka and or kutumia bases zilizo katika ardhi yao katika vita na nchi yenye nguvu kama China au Urusi
Tatizo vita vyao vya kipindi hiki watataka kutumia mabomu ya masafa marefu ya nuclear ili kumharibu adui kwa haraka zaidi
 
Republic of China(Taiwan) na People's Republic of China(PRC,-Mainland)..zote ni China na wote ni Wachina.Kila Upande ukiamini ni mtawala halali wa upande mwingine.
Kihistoria Republic of China(Taiwan).. walikimbilia hapo kisiwani baada ya kushindwa vita na kufurumushwa madarakani na hawa wa sasa (PRC_Wakomunistu)..Lengo likiwa kujipanga upya warudi kuichukua tena Bara.Na ndio maana mpaka leo bado wanajiona ni serikali halali ya Wachina wote.

Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
 
Tatizo vita vyao vya kipindi hiki watataka kutumia mabomu ya masafa marefu ya nuclear ili kumharibu adui kwa haraka zaidi

Majeshi ya USA yalipigana na majeshi ya China hii hii chini cha Chama hichi hichi cha CCP cha China katika vita vya Korea miaka ya 1950 na silaha za maangamizi zilikuwepo na hazikutumika
 
Majeshi ya USA yalipigana na majeshi ya China hii hii chini cha Chama hichi hichi cha CCP cha China katika vita vya Korea miaka ya 1950 na silaha za maangamizi zilikuwepo na hazikutumika
Vita walivipigania Korea. Wakati huu mfano China akiivamia Taiwan kijeshi alafu Marekani ipeleke wanajeshi na silaha unadhani China itaruhusu hilo? Lazima kama ni meli imeleta silaha ilipuliwe au itekwe na wachina kabla haijatia nanga.
Ikilipuliwa Marekani wakijibu, China nayo itajibu alafu vitakuwa ni vita kati ya Beijing na Washington maana kipindi hiki wote wana viburi vya pesa, silaha na washirika.
Kikubwa zaidi wote wawili wanataka kuwa viranja wa dunia kitu ambacho zama za vita vya Korea mchina alikuwa anajikongoja kumpigania jirani yake North Korea
 
Back
Top Bottom