Usiwe na hofu kisiwa hicho kitaunganishwa na China moja kiulaini tu.... Marekani ikisogeza pua yake ndipo vita vitaathiri dunia yote.
Dunia ya sasa kambale ni wengi alafu ni wakubwa
Kama imeweza kuwepo kwa zaidi ya miaka 40 mpaka sasa, kwanini isimalize hiyo 10?Naweza kukwambia Taiwan haitomaliza miaka 10.
China anaiba tecnolojia na kuziboresha zaidiChina na marekani kitecnologia nani yupo mbele zaidi?
Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
Sawa mkuu... Kama tungefahamiana ningekukumbusha wakati ukifika.
Wachina ni nyoko! Wapo tayari hata wafe milioni 500 lakini wahakikishe wanalinda heshima yao na adui amesalimu
Ukiangalia Makala za Al-Jazeera na Stori za humu ni kichekesho. China wenyewe washabainisha wazi kuirudisha Taiwan ni task kubwa na inawaumiza kichwa, kumbuka kuna Taipei pia wanachokochoko hizo, huku Honkong nae hataki tena kuwa chini ya ChinaNdoto za mchana hizi. πππ
Ukiangalia Makala za Al-Jazeera na Stori za humu ni kichekesho. China wenyewe washabainisha wazi kuirudisha Taiwan ni task kubwa na inawaumiza kichwa, kumbuka kuna Taipei pia wanachokochoko hizo, huku Honkong nae hataki tena kuwa chini ya China
Kama imeweza kuwepo kwa zaidi ya miaka 40 mpaka sasa baada ya kupoteza kiti huko UN, kwanini isimalize hiyo 10?Naweza kukwambia Taiwan haitomaliza miaka 10.
Kwa sasa China imeimarika kijeshi, kitecnologia huku Marekani ambaye ndio anaipa kiburi Taiwan akiwa anazidi kukosa ushawishi duniani. Pia maadui wa Marekani wamepata nguvu na wanazidi kupata nguvu siku hadi siku... Kibaya zaidi maadui wa Marekani wanashirikiana na China.Kama imeweza kuwepo kwa zaidi ya miaka 40 mpaka sasa, kwanini isimalize hiyo 10?
Na wengi humu wanaandika hawajui chochote, unabaki unawachora tuUchumi wa Hong Kong ambao ulikuwa unafanya vizuri sana sasa umeanguka kutokana na udikteta kuingia. Wengi kule wanafunga biashara zao na kuhamia nchi nyingine UK, Canada, USA, UAE na Australia.
Kwa vita vikubwa kati ya haya mataifa makubwa hawahitaji kuwa karibu ndio wapigane
Embu tuongee kwa mazingira ya sasa ikitokea vita pale Mashariki ya Mbali,Marekani atapata shida gani ya logistics?
Mi siko humu kubisha, endelea na unachoamini That's itHawataki kivipi wakati walileta chokochoko wakapangiwa utaratibu na wanaufyata?
Nyie sikilizieni kitakachoipata Taiwan miaka michache ijayo
Tatizo vita vyao vya kipindi hiki watataka kutumia mabomu ya masafa marefu ya nuclear ili kumharibu adui kwa haraka zaidiIn non-nuclear confrontation kutegemea Bahari peke yake utajikuta hufanikiwi so lazima uwe na land based military bases na mataifa yatakukatalia kuweka and or kutumia bases zilizo katika ardhi yao katika vita na nchi yenye nguvu kama China au Urusi
Waulize Huawei utapata jibuChina na marekani kitecnologia nani yupo mbele zaidi?
Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
Tatizo vita vyao vya kipindi hiki watataka kutumia mabomu ya masafa marefu ya nuclear ili kumharibu adui kwa haraka zaidi
Vita walivipigania Korea. Wakati huu mfano China akiivamia Taiwan kijeshi alafu Marekani ipeleke wanajeshi na silaha unadhani China itaruhusu hilo? Lazima kama ni meli imeleta silaha ilipuliwe au itekwe na wachina kabla haijatia nanga.Majeshi ya USA yalipigana na majeshi ya China hii hii chini cha Chama hichi hichi cha CCP cha China katika vita vya Korea miaka ya 1950 na silaha za maangamizi zilikuwepo na hazikutumika