China yavunja na kubomoa misikiti kwa ajili ya matumizi ya kiserikali

Nchi za Magharibi na USA/Marekani kwa ujumla kuna Dini au Raia wake wana dini na mbona sio Masikini?

Na pia Nchi za Kiarabu kama Qatar, Saudi Arabia na Iran kuna Dini na uchumi wao uko vizuri ukilinganisha na nchi nyingi za Afrika?

Nchi nyingi za Afrika Serikali zao hazina Dini bali Raia ndio wenye Dini. Hivyo kuwa mkweli kinacholeta umasikinini sio Dini(Uisilamu na Ukristo) bali ni Ubinafsi wa viongozi wa Kiafrika wakiongozwa na UFISADI pamoja na RUSHWA.

Ukisingizia Dini utakuwa unakosea kwa Maana China wana Dini zao pia za Kipagani lakini hazijawaletea umasikini. Na Halikadhalika na India.

Otherwise labda utakuwa na upande fulani kama Mtoa mada.
 
Ni kweli, si unaona China imekuwa na uchumi bora baada ya kujitambua na kuachana na imani (dini) dhaifu za kuletewa.
Mbona uarabuni na ulaya Wana maendeleo kuliko china kwa dini hizo hizo za kuletewa.
 
Nchi za Magharibi na USA/Marekani kwa ujumla kuna Dini au Raia wake wana dini na mbona sio Masikini?

Na pia Nchi za Kiarabu kama Qatar, Saudi Arabia na Iran kuna Dini na uchumi wao uko vizuri ukilinganisha na nchi nyingi za Afrika?
Hizo nchi ulizozitaja hapo juu ni kweli kuna dini, lakini asilimia kubwa wao hawafuati dini. Ndomaana dini inakataza ushoga, lakini huko ushoga ndio kwao, umetamalaki mashuleni, maofisini, clabuni nk. Dini inakataza zinaa, lakini huko zinaa ni jambo la kawaida.

Pia pamoja na kwamba huko Marekani au Ulaya kuna dini, lakini hauwezi kufunga masipika katika maeneo wanayoishi watu na kuanza kuwapigia watu wengine makelele usiku mzima. Huo muda wa kwenda kuwapigia watu makelele usiku mzima, mzungu anautumia kwa ajili ya kufanya kazi, kufanya biashara, kuzalisha bidhaa mbali mbali viwandani, kulala na kupumzisha akili kwa ajili ya kuamka na fikra mpya za kikazi asubuhi. Ndio maana wenzetu wameendelea zaidi kwa sababu kila second wanawaza kufanya kazi ili kujiendeleza kimaisha. namna ya kujiendeleza kimaisha, wakati sisi kila second tunawaza kwenda kulala kanisani ili kesho tuwe matajiri bila hata ya kufanya kazi 😂😂😂

Pia haiwezekani ukute ustaz amefunga spika katika mitaa wanayoishi watu Dubai eti kwa sababu ya maulid ya kumswalia mtume. Haya yanafanyika kwetu sisi tusioona mbali
Nchi nyingi za Afrika Serikali zao hazina Dini bali Raia ndio wenye Dini. Hivyo kuwa mkweli kinacholeta umasikinini sio Dini(Uisilamu na Ukristo) bali ni Ubinafsi wa viongozi wa Kiafrika wakiongozwa na UFISADI pamoja na RUSHWA.
Yule kijana aliemuua waziri mkuu mstaafu wa Japan chanzo kilikuwa ni dini, baada ya wazidi mkuu huyo mstaafu ambae pia alikuwa anaendesha mambo ya dini kumlaghai mama yake na kijana kwa maombi yasioleta matokeo yoyote na kumsababishia mama wa kijana umasikini mkubwa ambao hakuwa nao hapo kabla. Waziri mkuu alikuwa mlokole.
Ukisingizia Dini utakuwa unakosea kwa Maana China wana Dini zao pia za Kipagani lakini hazijawaletea umasikini. Na Halikadhalika na India.

Otherwise labda utakuwa na upande fulani kama Mtoa mada.
China wana dini zao, lakini na wao ni kama Marekani, Ulaya au Dubai. katika swala la kupambana na uchumi dini inawekwa pembeni kwanza, ndomaana leo hii nchi zao zimeendelea.
 
Mbona uarabuni na ulaya Wana maendeleo kuliko china kwa dini hizo hizo za kuletewa.
China ni nchi ya pili kwa uchumi duniani. China ina maendeleo makubwa, na imejengwa kuliko nchi yoyote ya Ulaya.

China kwa sasa ina deal mpaka na Umoja wa Ulaya badala ya ku deal na kanchi kamoja kamoja.

Sasa mpaka sasa sina idea unazungumzia maendeleo gani ndugu yangu.

Alafu Uarabuni hawakuletewa dini bali wao ndio walituletea sisi maana uislam umetoka uarabuni. Pia Ulaya hawakuletewa bali wao ndio wametuletea sisi baada ya wao kuuanzisha ukristo.

China wamesimama na imani yao ya ubudha japo wapo mmoja mmoja ambao ndio hao waliopokea za kuletewa lakini ni wachache na hawana mantiki yoyote katika kukuuza uchumi wa nchi na wala hawanga nguvu zozote kisiasa na kimamlaka.
 
Maendeleo ya China ni ya mjini sio vijijini Wana gap kubwa sana nenda ulaya hata vijijini wameendelea.
Huo ubudha china upo vijijini zaidi.
Ulaya wameletewa dini toka Israel.
 
Maendeleo ya China ni ya mjini sio vijijini Wana gap kubwa sana nenda ulaya hata vijijini wameendelea.
China maendeleo yapo kila mahali kuanzia mjini mpaka vijijini. Ukiona China sehemu ipo kawaida, ujue wameiacha makusudi kwa sababu za kiutamaduni au kihistoria maana wenzetu wanazingatia sana utamaduni, historia na mila zao.
Huo ubudha china upo vijijini zaidi.
Ulaya wameletewa dini toka Israel.
Ulaya hawajaletewa dini, bali waliianzisha wenyewe.

Waroma ndio waanzilishi wa ukristo, na wao ndio waliousambaza Ulaya nzima tena kwa mapambano makubwa kati yao na wazungu wenzao. Ndio maana waisrael au wayahudi wenyewe hawautambua huo ukristo, na wala huyo yesu kristo mwenyewe ambae waroma wanadai alikuwa muisrael wa kabila la kiyahudi hawamtambui na wala hawajawahi kumuona.

Israeli wao ni waanzilishi wa dini ya kiyahudi, na Saudi Arabia wao waanzilishi wa dini ya kiislam

Waroma kiasili wanatokea roma nchini Italy.
 
Waroma waliuenezaje ukristo wakati wao ndio waliowaua mitume wote wa Yesu.
 
Point of correction UKRISTO hauja anzishwa na wazungu (ULAYA) UKRISTO Umeanzishwa kule Israel na YESU , na Kisha ukaenezwa na WAZUNGU, Wakristo wa kwanza kabisa walikuwa waisrael sio wazungu.....UKRISTO haukuwahi kuwa Dini ila wazungu waliusambaza kama DINI to the world..........
 
China wameona mbali kwani UISLAM ni Janga la Dunia
 
Things Islam can't handle and punishes with death or violence;
-It's criticism and mockery.
-People rejecting it i.e. Apostasy
-Consensual sex (before marriage) between consenting adults.
-LGBTQ relationships(which is ironic)
-Women having bodily autonomy

Things Islam is Okay with;
-Marital rape
-Child marriage(Pedophilia)
-Slavery including sexual slavery
-Domestic Abuse
-Deceit
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…