China yavunja na kubomoa misikiti kwa ajili ya matumizi ya kiserikali

China yavunja na kubomoa misikiti kwa ajili ya matumizi ya kiserikali

Sisi bado tunapigiana makelele usiku mzima watu hawalali mtaani, wanaopanga kwenda kazini asubuhi hawapati muda wa kulala sababu ya kelele za makanisa alaf ukiingia kanisani unakuta watu watatu tu. Waumini washakuwa masikini wakutupwa kwa kutajirisha wajanja wachache wanaomiliki kanisa.

Ukija kwa upande wa kobaz saa 10 asubuhi washaamshwa watu na maspika yao wahusika na wale ambao sio wahusika.

China wangefuata huu upuuzi wa kizungu na kiarabu mpaka leo nchi yao ingekuwa masikini. Maana wangekuwa wanalala makanisani kutoana mapepo yasioonekana, badala ya kutumia muda huo kulala viwandani kutengeneza utajiri wa raia mmoja mmoja na kukuza uchumi wa nchi.

Mtu kama masanja alieishia darasa la saba anapiga hela ndefu kutoka kwa waumini masikini, huku maprofesa wenye vyeti vyao wakishindia mihogo na maji ya kunywa.
Kuna mashirika ya Islamic foundation huko morogoro wanajenga misikiti kila kata Yan, sijui wanataka kuanzisha IS
 
Pole yako.
Nina ndugu afanyae kazi Azam na nafaham hilo.
Mameneja wa televisheni za azam wapo wakristo.
Mameneja wa waandaaji wa burudani za tamthilia Azam wapo wakristo e.t.c na e.t.c.
Usikariri bro.
Sijakariri, siwez kuongea kitu sina uhakika nacho, Broo sio peke yako ndo una ndugu anafanya kazi Azam, na sisi tunao, Azam kuna Religious Discrimination kweny Ajira zao, mambo mengine mbona yanajulikana unafichaficha nn?
 
Pedophile and warlord Muhammad katika kupenda sifa akawaambia wafuasi wake kila unapotaja jina lake usisahau kumpa sifa na kumtamkia mema ndo maana kila muislamu kawa brain washed kila akimtaja muhammad utasikia "Peace be unto him" au "S.A.W"

Cha kushangaza na kumtamkia neema zote hizo bado akafa kwa maumivu makali kwa kuwa poisoned na mwanamke(zaynab), hizo S.A.W mnazomtamkia ni neema au laana? maana kafa kifo cha aibu.
Mkuu nimeipenda hii 👆 taarifa, naomba source AU PDF tafadhali
 
Sijakariri, siwez kuongea kitu sina uhakika nacho, Broo sio peke yako ndo una ndugu anafanya kazi Azam, na sisi tunao, Azam kuna Religious Discrimination kweny Ajira zao, mambo mengine mbona yanajulikana unafichaficha nn?
Ingekua kuna religious bianess hao waliopewa vitengo vikubwa walipewajwe???
Hao watangazaji wakristo wamepewajwee???
 
Kuna mashirika ya Islamic foundation huko morogoro wanajenga misikiti kila kata Yan, sijui wanataka kuanzisha IS
Islamic foundation haijawahi waza fikra mbovu kama hizo.
Morogoro vijiji vingi vimechimbiwa visima na islamic foundation.
Na kila wanapojenga msikiti basi hujenga kisima kwaajili ya wanakijiji.
Nitajie taasisi ya kikristo iliojenga kisima kwaajili ya wananchi kila ililojenga kanisa.
 
Sio Azam ninayo ijua mm, idadi ya wakristo haizidi 5% na waliokuwepo wengi wao ni wa nafasi za chini sana.

Enhe wataje??
Nihitimishe kwa kusema tu kaka,unacho unachokijua na kukiamini basi nami ni vivyo hivyo.
Kila mtu asimamie akiaminicho.
 
Unatumia REJEA ya KITABU kilichoandikwa na mtu mmoja, Halafu anajishuhudia peke yake kuwa yeye ni mkuu kuliko manabii wote ( Halafu wewe unaamini mazima). Hujui kuwa mtu anayejishuhudia peke yake , ushuhuda wake SIYO WA KWELI?
Wewe ulipozaliwa nani mwengine alueshuhudia wakati unazaliwa? Baba yako si alikua shambani?
 
Pedophile and warlord Muhammad katika kupenda sifa akawaambia wafuasi wake kila unapotaja jina lake usisahau kumpa sifa na kumtamkia mema ndo maana kila muislamu kawa brain washed kila akimtaja muhammad utasikia "Peace be unto him" au "S.A.W"

Cha kushangaza na kumtamkia neema zote hizo bado akafa kwa maumivu makali kwa kuwa poisoned na mwanamke(zaynab), hizo S.A.W mnazomtamkia ni neema au laana? maana kafa kifo cha aibu.
Hilo si shida. Hata rais wako wa nchi yako akipita barabarani unakaa kama hata masaa 6 hukatishi barabarani
 
Mkuu hebu waafrica tuache kuendelea kuwa brainwashed. Watu wamekuletea vitabu vya biblia na msaafu lakini haujui viliandikwa wapi, na nani na lini.

Kwa akili ya kawaida hauoni tu kwamba hizo dini zimeanzishwa katika hizo nchi ulizozitaja au bado upo gizani tukufungue macho uone?

Hapo ni kwamba dini ya kiyahudi ilianzishwa na wayahudi huko Mashariki ya kati lakini katika nchi ya Israel, dini ya kikristo ilianzishwa Israel lakini ilianzishwa na watawala wa wakati huo ambao walitokea Ulaya (Rome, Italy) na walikuwa ni wazungu.

Uislam umeanzia Saudi Arabia na kusambaa katika mataifa mengine ya mashariki ya kati, Iraq nk. Ndomaana nikakwambia mahali zilipoanzishwa hizo dini ndo kuna utajiri utokanao na imani zao, ila sisi wayahudi, waislam na wakristo wa huku mwanalumango na huko kajamba nani tutaishia kuwa masikini kwa kuambiwa kuwa tuchangie fungu la kumi la Mungu, wengine waseme tumerogwa au tuna mapepo yanayosababisha tukose ajira, au biashara zetu zisiende vizuri, hivyo tunahitaji maombi na kumuona mchungaji, padri au sheikh kwa ajili ya maombi ni kiasi kadhaa cha pesa ambacho kama hauna inabidi ukakope.

Matokeo yake unaombewa na shida zipo pale pale, mchungaji hela kama na huna la kumfanya wala pa kumshitaki, bado ukifa au ukipata msiba watu hawafiki msibani au hawakusaidii kisa wewe hautoi mchango wa kanisa, msikiti nk.

Ndio maana wachina waliona mbali kwa kukataa huu upumbavu wa dini za wazungu na waarabu. Zote ni utapeli mtupu unaonufaisha watu wachache haswa wale viongozi wa imani hizo katika nchi husika.

Mchina hawezi kukubali mpumbavu mmoja akusanye sadaka za raia wake kwa kisingizio cha kuwaombea eti wapate ajira alafu mpumbavu huyo atokomee na sadaka zao huku akiliacha kundi la raia wa kichina likiteseka kutafute hela zingine za kufanyiwa maombi mengine.
Kwani mafundisho tofauti ya ukristo,uislam WA Africa na WA ulaya na uarabuni,maandiko na yale yale hapa shida ni mtazamo mfano mwafrika anaenda ibadani ili apate kazi,mke au mme mzungu anaenda kanisani ili aende mbinguni.
Ukristo na uislam umeenezwa na wafuaasi wa Yesu na Muhammad,hakuna serikali iliyoeneza dini maana dini ni suala binafsi la mtu na sio serikali.
Si kwamba China hakuna misikiti na makanisa yapo tele.
Hata huo ubudha ni kwa wachache.
 
Dar es salaam kwa sasa ni mji wa kila mtu mkuu wangu. Nilizaliwa na kukulia Magomeni karibu na msikiti fulani. Ilikuwa kila saa 10 alfajiri lazima tuamshwe na kelele za maspika kutoka misikitini. Hizi zilikuwa zinaamsha kila mtu aliekuwa anaishi maeneo hayo, uwe muislam, mkristo, hindu au mpagani utaamka tu.

Baadae mambo yakawa safi dingi akajenga Tabata tukahamia, bahati mbaya tulipohamia ni karibu na kanisa la kiroho, aloo nilitamani nirudi magomeni tulipotoka. Maana huku hawana kusubiri saa 10 alfajiri kama wenzao, wao wanaanza kupiga mziki mkubwa saa 12 jioni hadi saa 11 ya asubuhi. Yani wanaimba na kucheza usiku mzima, na wakichoka kuimba bora wafungulie radio zenye nyimbo zao, lakini wahakikishe kanisa linakesho linapiga mdundo.

Mimi mwenyewe niliamua kuhamia Kinondoni ambapo kidogo kuna unafuu.
Kuwa Muislamu ni neema kubwa mkuu
 
Hongera China kwa hiki mnachokifanya, hakika nchi yenu itabaki na amani kwa kudumisha tamaduni na dini zenu.
Endeleeni na hizohizo dini zenu za Confucianism and Buddhism, waachieni waarabu na tamaduni zao.

Chinese authorities have decommissioned, closed down, demolished, and converted mosques for secular use as part of the government's efforts to restrict the practice of Islam. The authorities have removed Islamic architectural features, such as domes and minarets, from many other mosques.

Maya Wang, the acting China director at Human Rights Watch, said the "closure, destruction and repurposing of mosques is part of a systematic effort to curb the practice of Islam in China."

Mfano mmoja kati ya misikiti mingi ilibomolewa/kubadilishwa na serikali ya China kwa matumizi ya kiserikali.
Before👇
View attachment 2872615

After👇
View attachment 2872616

Huku misikiti mengine ikibadilishwa na kuwa Public toilets.
View attachment 2872619
Link👇;
Systematic Uighur Oppression: China Demolishes Mosque, Builds Public Toilet In Its Place

I can't write everything, for more information go to these websites;

Clashes at ancient China mosque over planned demolition

China closing hundreds of mosques in northern regions, rights group says

China: Mosques Shuttered, Razed, Altered in Muslim Areas.
FaizaFoxy @variablechoice njooni tushirikiane kumponda huyu mleta mada na kuilaani China. China waanza tabia za kizandiki. Misikiti imejaa Marekani. Wao ni nani kuupinga uislamu?
 
Sisi bado tunapigiana makelele usiku mzima watu hawalali mtaani, wanaopanga kwenda kazini asubuhi hawapati muda wa kulala sababu ya kelele za makanisa alaf ukiingia kanisani unakuta watu watatu tu. Waumini washakuwa masikini wakutupwa kwa kutajirisha wajanja wachache wanaomiliki kanisa.

Ukija kwa upande wa kobaz saa 10 asubuhi washaamshwa watu na maspika yao wahusika na wale ambao sio wahusika.

China wangefuata huu upuuzi wa kizungu na kiarabu mpaka leo nchi yao ingekuwa masikini. Maana wangekuwa wanalala makanisani kutoana mapepo yasioonekana, badala ya kutumia muda huo kulala viwandani kutengeneza utajiri wa raia mmoja mmoja na kukuza uchumi wa nchi.

Mtu kama masanja alieishia darasa la saba anapiga hela ndefu kutoka kwa waumini masikini, huku maprofesa wenye vyeti vyao wakishindia mihogo na maji ya kunywa.
Umepiga miguu yote hapa🤣
 
labda nikujibu tu kuwa china ni nchi ya kikomunisti, ukristo umepata upinzani mkubwa sana pale. Wachina wana imani zao wanazozikubali, kwa habari ya uislam huko china sijui wanauchukuliaje

Wamewafungia waislam kwenye makambi maalum.

Huko wanalishwa kitimoto kwa nguvu pamoja na kufundishwa ukomunisti.

Wameamua kudhibiti ugaidi mapema kabisa
 
Cha ajabu maustazi wa humu Jf wanaishobokea China[emoji1787][emoji1787]
Waumini wa kitanzania nyinyi tolerance ndogo sana , kama hapo unawapondea maustazi, wakati huohuo watumishi wanavoibebea mbeleko israel ? au huna habari za kule🤣

Heshimianeni tu, maana kurudi kutambika ni ngumu hivo heshimianeni tu.
 
Back
Top Bottom