China yavunja na kubomoa misikiti kwa ajili ya matumizi ya kiserikali

China yavunja na kubomoa misikiti kwa ajili ya matumizi ya kiserikali

Mimi naweka maandiko Yako ndani ya Koran wewe leta story tu

Muhammad na Allah imeandikwa kwenye Koran wanapanga jambo lao kwanza ndio lije kwenu

Kunywa mkojo wa ngamia Muhammad alipanga na Allah ila jua kwamba mkojo wa ngamia ni sumu
Wewe umeweka maandiko gani apa au ushoga kwako ni maandiko?
 
Uzuri maandiko Yako apa yamelala

Kunywa mkojo wa ngamia ila jua ni sumu kwa mwili wa binadamu

Soma
Koran 33:36. Haiwi kwa Muumini mwanamume wala Muumini mwanamke kuwa na khiari katika jambo, Allah na Muhammad wanapo kata shauri katika jambo lao.
Nawewe soma hii
Acha kuweweseka

Jua wazi mkojo wa ngamia ni sumu kwenye mwili wako acha mara moja kunywa mkojo wa ngamia
Acha mara moja hizo tabia za kishoga ulizofundishwa na papa
 
Hongera China kwa hiki mnachokifanya, hakika nchi yenu itabaki na amani kwa kudumisha tamaduni na dini zenu.
Endeleeni na hizohizo dini zenu za Confucianism and Buddhism, waachieni waarabu na tamaduni zao.

Chinese authorities have decommissioned, closed down, demolished, and converted mosques for secular use as part of the government's efforts to restrict the practice of Islam. The authorities have removed Islamic architectural features, such as domes and minarets, from many other mosques.

Maya Wang, the acting China director at Human Rights Watch, said the "closure, destruction and repurposing of mosques is part of a systematic effort to curb the practice of Islam in China."

Mfano mmoja kati ya misikiti mingi ilibomolewa/kubadilishwa na serikali ya China kwa matumizi ya kiserikali.
Before👇
View attachment 2872615

After👇
View attachment 2872616

Huku misikiti mengine ikibadilishwa na kuwa Public toilets.
View attachment 2872619
Link👇;
Systematic Uighur Oppression: China Demolishes Mosque, Builds Public Toilet In Its Place

I can't write everything, for more information go to these websites;

Clashes at ancient China mosque over planned demolition

China closing hundreds of mosques in northern regions, rights group says

China: Mosques Shuttered, Razed, Altered in Muslim Areas.
The devil is so bussy to make this happen
 
La hasha! Bali ni mtume wa Mungu
Sema kweli Muhammad na Allah wapo sawa , fikiria kabla jambo halijaja kwenu lazima wakae walijadili wakubaliane ndio lije

Soma hiyo....

Koran 33:36. Haiwi kwa Muumini mwanamume wala Muumini mwanamke kuwa na khiari katika jambo, Allah na Muhammad wanapo kata shauri katika jambo lao.
 
Quran imekamilika....Kila kitu kuhusu dini na misingi ya maisha ya binadam vimeelezwa kwenye Quran
Kila kitu sio? Kwaio hakuna vitu mmevitoa kweny hadith??

Quran imekamilika sio?? Unaongeleaje suala la quran kuwa Scientifically incorrect
Quran-20:53
"HE WHO HAS MADE FOR YOU THE EARTH LIKE A CARPET SPREAD OUT"

Hamna kitabu cha kijinga kama quran, ukikisikia jinsi waislamu wanavokitukuza na ukikisoma ni vitu viwili tofauti.
 
Kama huyo asingekuwepo Biblia isingekuwepo,Biblia agano jipya lina miaka 2000 Dunia.
Kama Yesu hakuwepo mbona watu wa machimbuzi ya zama za kale wamegundua yaliyopo kwenye biblia,mbona Sasa ukienda kwa mganga ukapiga ramli jina la Yesu ili upate codes number inasoma null.
Nani kakuambia wazungu wameacha Ibada hawahitaji kwenda kanisani kwa sababu wengi ufanyia ibada online mbona ma concert ya kidini huko huko kwa wazungu wanajaa.
Mwafrika angeshika dini asingekuwa masikini ni asilimia 20 TU ya waafrica ndio wameshika dini.
Wazungu hawasali kwa ajili ya shida au kuomba kazi,ndoa wanasali kwenda mbinguni,mwafrika akishapata KAZI au ndoa na kanisa ugeuka kituo Cha police wengi wanakata mguu Hadi akipata shida tena
Haya mambo yametengenezwa kwa ustadi mkubwa mno. Inahitajika akili ya ziada kulitambua hilo.

Kuamini uganga ni upuuzi mtupu, mganga hana tofauti na mchezesha mazingaombo lengo ni kuwaibia wajinga kwa njia ambayo mjinga hawezi kuona kuwa aliibiwa.

Kuhusu hayo mengine unayosema ni hisia tu. Hisia humuongoza mtu katika mazingira ya kuamini hata kile ambacho pengine hakutakiwa kuamini. Ni kama usiku mtu unaweza kuubana mkojo vizuri na ukalala nao, lakini usubuhi ukiingia chooni hata kwa lengo la kunawa uso, ule mkojo ukija tena hautoweza kuubana.

Kina TB Joshua waliongea mengi zaidi ya haya uyaongeayo wewe, na watu wakaamini, lakini mwisho wa siku ukweli umetoka kuwa jamaa alikuwa laghai.

So kama kufuata imani za kuletewa mtu afuate, lakini aheshimu na imani zilizokuwepo kabya ya hizo za waarab na wazungu hazijafika. Sio wakashifu kuwa ni za ushirikina wakati yeye mwenyewe anaabudu kile ambacho hakuwahi kukiona wala kukijua.
 
Hakuna dini ispokuwa uislam. Hakuna Mungu ispokuwa Allah
Allah sio mungu mpya broo, Allah before Muhammad alikuwa anaabudiwa kama moon god kweny kabila la Muhammad palepale kwao Mecca, na sio Allah tuu tuu, pale Mecca kulikuwa na miungu 360, mmoja wapo ndo alikuwa Allah, Muhammad alichofanya ni kugeuza watu kumwabudu Allah kama mungu wa peponi na sio kama moon god kama hapo awali.

Ndo maana kuna practices kama kuzunguka pale Kaaba mara saba, practices ambazoo Muhammad alizitoa kwa haohao aliowakuta wakimwabudu Allah pamoja na miungu mengine kama Al-Lat, Al-Uzza na Al-Manat, hawa walikuwa considered kama watoto wa Allah, Muhammad mwenyew aliwakubali kwamba ni watoto wa Allah kweny Ibn Ishaq, pp. 165-166. The "Satanic Verses" that Muhammad recited to the Meccans were part of Chapter 53, entitled "The Star," beginning with verse 19: "Do you see Al-Lat, and Al-Uzza and Manat the third idol besides? They are the Sublime Birds and their intercession is desirable indeed!" Sublime Birds has been rendered as high-flying cranes or swans, suggesting they are fly- ing upwards to God, then baadae akakanusha😅, mtume gani asiyejielewa, anabadilisha badilisha maneno aliyosema mwenyew.
 
Tafsiri hasa ukiitumia vibaya
Yaani huu ujinga kwamba kuna trick maalumu ya kutafsiri maandiko ya dini ni ujinga mkubwa sana

Huyo mungu ni mpumbavu sana,anaweka trick ya kutafsiri wakati kaumba wanadamu wajinga kabisa wenye IQ ndogo sana alafu ategemee eti "mtafsiri kwa akili"?

Eti "kuna namna maalumu" ya kutafsiri"......huyo mungu huko mbinguni atapata wenye IQ kubwa kama wewe

Cha ajabu kaumba wanadamu bilioni 8 wajinga kabisa,kosa ni la nani?

Lake yeye muumbaji mpumbavu
 
Sema kweli Muhammad na Allah wapo sawa , fikiria kabla jambo halijaja kwenu lazima wakae walijadili wakubaliane ndio lije

Soma hiyo....

Koran 33:36. Haiwi kwa Muumini mwanamume wala Muumini mwanamke kuwa na khiari katika jambo, Allah na Muhammad wanapo kata shauri katika jambo lao.
Em weka kwa kiarabu tuchambue, maana Quran halisi ni ya kiarabu
 
Kila kitu sio? Kwaio hakuna vitu mmevitoa kweny hadith??

Quran imekamilika sio?? Unaongeleaje suala la quran kuwa Scientifically incorrect
Quran-20:53
"HE WHO HAS MADE FOR YOU THE EARTH LIKE A CARPET SPREAD OUT"

Hamna kitabu cha kijinga kama quran, ukikisikia jinsi waislamu wanavokitukuza na ukikisoma ni vitu viwili tofauti.
Ndiyo Quran imekamilika.
Dunia huoni ilivyotandazwa?
 
Back
Top Bottom