Ohoo na kina Mangasore nao ni MAGWIJI azam wametaka kuonekanika nao?Huwa sipendi mara nyingi kuzungumza haya mambo kwa mrengo wa kiimani lakini hao wapo/walikuwa hapo kwa sababu ya kujulikana weledi wao ktk tasnia ya utangazaji.
Tido&Hilary hao ni magwiji ktk tasnia hakuna yeyote mwenye chombo chake asingetaka kufanya nao kazi kwa sababu ni watu wanajua na ni wakongwe ktk kazi zao hicho ndicho kilichowabeba.
Pascal Kabombe na Mwamba wa Malila nao magwiji azam walitaka waonekanike nao?
Hivi unajua watayarishaji wa tamthilia pale azam media wapo mpk wanaume rasta man??
Daniel bandezu nae ni Gwiji??
Kaka embu msipende kuzungumza tu kuleta justification zenu mjifurahishe.
Hapo mnalalamika azam kuna religious bias ilhali ikienda taasisi za kikristo hukuti muislam akipewa kipaumbele.