China yavunja na kubomoa misikiti kwa ajili ya matumizi ya kiserikali

China yavunja na kubomoa misikiti kwa ajili ya matumizi ya kiserikali

Huwa sipendi mara nyingi kuzungumza haya mambo kwa mrengo wa kiimani lakini hao wapo/walikuwa hapo kwa sababu ya kujulikana weledi wao ktk tasnia ya utangazaji.

Tido&Hilary hao ni magwiji ktk tasnia hakuna yeyote mwenye chombo chake asingetaka kufanya nao kazi kwa sababu ni watu wanajua na ni wakongwe ktk kazi zao hicho ndicho kilichowabeba.
Ohoo na kina Mangasore nao ni MAGWIJI azam wametaka kuonekanika nao?
Pascal Kabombe na Mwamba wa Malila nao magwiji azam walitaka waonekanike nao?
Hivi unajua watayarishaji wa tamthilia pale azam media wapo mpk wanaume rasta man??
Daniel bandezu nae ni Gwiji??
Kaka embu msipende kuzungumza tu kuleta justification zenu mjifurahishe.
Hapo mnalalamika azam kuna religious bias ilhali ikienda taasisi za kikristo hukuti muislam akipewa kipaumbele.
 
Wamelaaniwa hao na athari yake ni kubwa utajaona muda mfupi ujao
Kwahyo hao maswahiba wa Mudi wanao uwa watu na kuhatarisha maisha yao ili wawahi mbususu 72 zenye bikira ya milele😂 ndo wazima
 
Safi sana hayo majengo ndio chanzo cha fujo duniani
Fujo kuu imeletwa na Roman catholic na mataifa ya kikristo hususan USA,UK,Germany n.k.
Na mataifa ya kikristo ndio yanaripotiwa kuongoza kwa genocide mathalan Germany.
Kavifuatilie visiwa vya Marshall islands uone US alivyowaunguza watu pale kwa kupafanyia majaribio ya nuke.
Pia fuatilia sehem zote duniani migogoro huwa anatajwa sana nani na nani.
 
Mnawabania Waislam utafikiri nyinyi ndiyo mtaogawa hao mabikira. Huko ni bila idadi na hakuna kufa na hakuna kufanya kwa kuzaana, huko starehe tu, unaowataka kwa raha zako tu.

Kwa ajili ya Waislam tu.
Na wewe bibi utapata wanaume wangapi?

Au wanawake hampewi??
 
Wamefanya vizuri la sivo zingeuzwa bandari zao zote na badala wajikite kurudisha ardhi yao ya taiwan .wangeanza kuandamana kudai i support palestine.saivi ulaya wanajuta wameenda wanazaana wamejaa badala wawe wazal3ndo wa ulaya iliyowapa hifadhiwa toka mashida yao huko wafundishe watoto kuiweka ulaya kwanza maana ndo uraia wao.wao wanawafundisha ndugu wa muislamu ni muislamu
 
sema mudi nae sio wa kuamini sana unaweza pewa pisi yenye Gono😅
Oyaa! Unazingua. Bikira na gono wapi na wapi? Hahahaha. Ila kwa kweli nikimtafakari Mudy na hili swaga lake la mabikira nachoka kabsa...YAANI UNAAMBIWA NA FAIZAFOXY KUNA MABIKIRA MAELFU KWA MAELFU NI KUPIGANA MITI MWANZO MWISHO USIKU NA MCHANA WALA HAKUNA KUZEEKA WALA KUZALIANA.
 
Em tuwe seriouz Sasa, weka kifungu Cha Quran kikisema Mkojo wa ngamia ni dawa
Umebadilika tena wabusu jiwe wanafiki Sana

Koran imesema ukimtii Muhammad ndio umemtii Allah

Na order ya kunywa mkojo katoa Muhammad
 
Hivi huyo hajui km imethibitika kisayansi km mkojo wa ngamia ni dawa na una percentage hafifu sana ya uric acid??
Acha kupotosha umma , mkojo wa ngamia umethibitishwa ni sumu kwa binadamu
 
Oyaa! Unazingua. Bikira na gono wapi na wapi? Hahahaha. Ila kwa kweli nikimtafakari Mudy na hili swaga lake la mabikira nachoka kabsa...YAANI UNAAMBIWA NA FAIZAFOXY KUNA MABIKIRA MAELFU KWA MAELFU NI KUPIGANA MITI MWANZO MWISHO USIKU NA MCHANA WALA HAKUNA KUZEEKA WALA KUZALIANA.
Shehe kipozeo anakwambia bikira ya milele inajirudi yenyewe 😂,
Mudi haezi wapa bikira anawapa pisimbovu mbovu tu dhohofu bk anakula yeye tu
 
Back
Top Bottom