China yazindua Cruise Ship ya kwanza, 'Adora Magic City.'

Hivi wale wabunifu wetu wa helcopter waliishia wapi? Kwanini wasiwe accelerated ili siku moja wafike huku? Hawa wachina si nao walianza kama wetu?
Wanakosa govt support

Ona wenzetu walichofanya mpaka leo tunaona kama hiyo Adora, COMAC C919 na Shenzhou 16

●Government support kwenye R&D
●Policy support etc

20230609_215746.jpg
 
Wanazindua leo wakati hapo Marekani zimejaa na zi kampuni binafsi
Kwenye cruise ships Mchina hakuwekeza sana.

Kwa hiyo amekuja sasa kuongeza ushindani katika Cruise ship manufacturing

Na usishangae Mchina akaja kuzipiga gap kampuni za West zinazodominate kwenye utengenezaji wa cruise ships

Ana order 2 ya hizo cruise ship hiyo ya kwanza imezinduliwa bado ya pili, kwa biashara ya cruise ship ni mwanzo mzuri sana

Zile ndege za COMAC, C919 watu walizisema so far wana order 1061

China is something else bro
 
Wanazindua leo wakati hapo Marekani zimejaa na zi kampuni binafsi
Marekani kumbuka hayuko hata top 3 ya makampuni yanayounda meli duniani. Na meli zake za makampuni ya cruise zinatengenezwa na makampuni ya ulaya si marekani.
Miaka michache nyuma china hakuwa hata kwenye top 5 ya kampuni zinazounda meli, yalikuwepo makampuni ya korea, japan na ulaya ila sasa ameyapiku yani almost nusu ya order za meli kote duniani anaziunda yeye, about 47% ya order za meli. Hili si jambo dogo.
 
Uko sahihi mkuu na sasa kwa miaka 13 mfululizo Mchina anatawala katika utengenezaji na uuzaji wa meli duniani
 
Hawataweza wafikia
Hawataweza nini? Royal carribean hatengenezi meli bali anaendesha kampuni ya cruising sasa hawatawezi kuendesha kampuni ya cruising au hawatawezi nini? Meli za roya cruising nyingi zimebuniwa na kutengenezwa na makampuni ya ulaya wala si marekani na hiyo inaenda pia kwenye wale matajiri wanaomiliki boat na yatchs wa marekani na uarabini na urusi. Boat zao zimetengenezwa ulaya.
 
Mpe somo huyo
 
Hiyo source uliyo quote ni ya udaku kama yalivyo magazine ya udaku
Nletee source hata moja inayosema otherwise kwa data za kuanzia 2022 mpaka sasa niletee hata 1
 
Back
Top Bottom