Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
- Thread starter
-
- #21
Wanakosa govt supportHivi wale wabunifu wetu wa helcopter waliishia wapi? Kwanini wasiwe accelerated ili siku moja wafike huku? Hawa wachina si nao walianza kama wetu?
Kwenye cruise ships Mchina hakuwekeza sana.Wanazindua leo wakati hapo Marekani zimejaa na zi kampuni binafsi
NI suala la muda tuHawataweza wafikia
Bado hawajasema gharama ila safari zake mbili za kwanza itakuwa kati ya Shanghai kwenda Japan na South KoreaHii kitu inaweza ikawa sh ngapi? Nataki nijipange
Marekani kumbuka hayuko hata top 3 ya makampuni yanayounda meli duniani. Na meli zake za makampuni ya cruise zinatengenezwa na makampuni ya ulaya si marekani.Wanazindua leo wakati hapo Marekani zimejaa na zi kampuni binafsi
Bro ifuatilie hiyo cruise ship uone vilivyomo na specifications zake utakuja kunipa jibu ni moja ya modern cruise ship kwa sasaAmejitahidi ila bado sana kuwafikia royal Caribbean na madude kama symphony of the seas
Uko sahihi mkuu na sasa kwa miaka 13 mfululizo Mchina anatawala katika utengenezaji na uuzaji wa meli dunianiMarekani kumbuka hayuko hata top 3 ya makampuni yanayounda meli duniani. Na meli zake za makampuni ya cruise zinatengenezwa na makampuni ya ulaya si marekani.
Miaka michache nyuma china hakuwa hata kwenye top 5 ya kampuni zinazounda meli, yalikuwepo makampuni ya korea, japan na ulaya ila sasa ameyapiku yani almost nusu ya order za meli kote duniani anaziunda yeye, about 47% ya order za meli. Hili si jambo dogo.
Hawataweza nini? Royal carribean hatengenezi meli bali anaendesha kampuni ya cruising sasa hawatawezi kuendesha kampuni ya cruising au hawatawezi nini? Meli za roya cruising nyingi zimebuniwa na kutengenezwa na makampuni ya ulaya wala si marekani na hiyo inaenda pia kwenye wale matajiri wanaomiliki boat na yatchs wa marekani na uarabini na urusi. Boat zao zimetengenezwa ulaya.Hawataweza wafikia
Anabisha kiushabiki maana wanakwambia hawezi kumzidi royal carribean wakati hata hiyo si kampuni ya kutengeneza meliBro ifuatilie hiyo cruise ship uone vilivyomo na specifications zake utakuja kunipa jibu ni moja ya modern cruise ship kwa sasa
Mpe somo huyoHawataweza nini? Royal carribean hatengenezi meli bali anaendesha kampuni ya cruising sasa hawatawezi kuendesha kampuni ya cruising au hawatawezi nini? Meli za roya cruising nyingi zimebuniwa na kutengenezwa na makampuni ya ulaya wala si marekani na hiyo inaenda pia kwenye wale matajiri wanaomiliki boat na yatchs wa marekani na uarabini na urusi. Boat zao zimetengenezwa ulaya.
Uongo mwingine kiboko hayo magari ya petrol ya mchina yanaitwaje? Tanzania tu ulishawahi kuyaona wapi?kila kitu. Sasa hivii China anaongoza katika uzalishaji na uuzaji magari yote ya petroll
China quater iliyopita kauza evs nying sanaUongo mwingine kiboko hayo magari ya petrol ya mchina yanaitwaje? Tanzania tu ulishawahi kuyaona wapi?
Kwa mamlaka ninayojipa mwenyewe nakutunuku PhD ya Uongo
Uko sahihi wengine wanashindwa kutofautisha kati ya cruise ship line companies na cruise ship manufacturersAnabisha kiushabiki maana wanakwambia hawezi kumzidi roya carribean wakati hata hiyo si kamouni ya kutengeneza meli
Hiyo source uliyo quote ni ya udaku kama yalivyo magazine ya udakuChina quater iliyopita ameaccount 73% ua totoal evs
Kuna jamaa anabisha eti ni phd ya uongo kwa kusema china ndiye sasa anaongoza kwa kuuza magari nimempa source na nimemwomba aniletee any source inayosema otherwise nasubiri anileteeHahaha sawa kabisa wengi wanashindwa kutofautisha kati ya cruise line companies na cruise ship manufacturers
Unafikiri mpaka Marekani kuiwekea vikwazo vya biashara vya kipuuzi China ni nini?Dah! Wachina kwa sasa siyo wenzetu tena.
Nimekuweka source ya stastica kama wabisha leta source inayosema otherwiseHiyo source uliyo quote ni ya udaku kama yalivyo magazine ya udaku
Nletee source hata moja inayosema otherwise kwa data za kuanzia 2022 mpaka sasa niletee hata 1Hiyo source uliyo quote ni ya udaku kama yalivyo magazine ya udaku