China yazindua Cruise Ship ya kwanza, 'Adora Magic City.'

Nimekuweka source ya stastica kama wabisha leta source inayosema otherwise
Mwenye macho haambiwi tixama nskuuliza nitajie gari moja tu ya petrol ya mchins ukiyowahi iona popote Tanzania. Jina ls hiyo gari inaitwaje?
 
Mwenye macho haambiwi tixama nskuuliza nitajie gari moja tu ya petrol ya mchins ukiyowahi iona popote Tanzania. Jina ls hiyo gari inaitwaje?
Nakupa source ya bbc nayo bishana nayo hii hapo.
Kwani hizi gari za yutong na faw za nani? za majapan au?
Na pia mchina bidhaa zake anazouza afrrika hazichangii hata 5% ya mauzo yake kwa hiyo si lazima kila bidhaa yake uikute afrika. Na bado china ni market share kubwa ya bidhaa toka nje ndio maana makampuni ka tesla na apple wanapenda soko la china so china yenyewe inakuwa supported sana na soko lake kwa kuanza kuuza ndani.
We bishana na source nipe source moja inayosema otherwise maana tunaongea kwa refernece si mawazo yako wala mimi
 
Mwenye macho haambiwi tixama nskuuliza nitajie gari moja tu ya petrol ya mchins ukiyowahi iona popote Tanzania. Jina ls hiyo gari inaitwaje?
Iko hivi mkuu:

Kinachoangaliwa kwenye mauzo ya magari ni units (idadi) zilizouzwa

Haijalishi magari yaliouzwa ni NEV (New Energy Vehicles) au yanayotumia fossil fuels (super au diesel)
 
Marekani hatengenezi meli, yeye ananunua na kuoperate.
Wachina si watalii wazuri
 
Marekani ana war economy nzuri sana ila uchumi wa amani anaweza akapotezwa vitu vingine. Kwenye WW2 alitengeneza meli za kivita zaidi ya 5,000 ndani ya miaka tisa. Kati ya hizo meli kulikuwa na warships ambazo haziwezi badilishwa kuwa za kiraia ila nyinginezo kama tanker, replenishment na supply ziliuzwa bei ndogo kwa raia vita ilipoisha. Kuna jamaa alikuwa bilionea wa shipping miaka hiyo alipata faida kutokana na kununua kwa mnada meli za jeshi na kuzibadilisha kuzitumia yeye.

Hata sasa Marekani ina aircraft carriers 10 kubwa na China inazo mbili ya tatu bado haijawa kamili. Kwenye WW2 Marekani iliunda aircraft carriers zaidi ya 90.
So kwenye meli wamelala ila siku wakilazimika kuamka wataushangaza ulimwengu.
Focus ya wanasiasa wa Marekani ni kwenye vitu visivyokuwa serious au labda wamefikia kwenye marginal utility yani hawaoni jipya ila wakitoa decree na sera Marekani ni rahisi kukuza sekta hii.
 
Sasa ndio mpaka waamke. Unajua my point hapa ni kwamba china anakuwa serious kwenye kila kitu anaanza kwa kusua sua baadaye unakuta ashaongoza.
Hata kwenye chip manufactuting baada ya miaka kadhaa utashangaa yuko vizuri.
 
Yeah mwaka jana mataifa yaliyoongoza kwa uuzaji wa meli baada ya China ilifuata South Korea na Japan
Kuna mwaka Maersk walitoa order ya meli nyingi sana kwa Wakorea, zilikuwa container carriers za kubeba makontena 20,000 kama sikosei ndio nikaanza kuwajua Wakorea.
Kilichowapunguza nguvu Wakorea ni kufirisika kwa Hanjin Shipping, ile ilikuwa inawapiga tafu sana. Ila kwenye oil tankers na LNG ships naona Wakorea wanauza sana.
 
Sasa ndio mpaka waamke. Unajua my point hapa ni kwamba china anakuwa serious kwenye kila kitu anaanza kwa kusua sua baadaye unakuta ashaongoza.
Hata kwenye chip manufactuting baada ya miaka kadhaa utashangaa yuko vizuri.
China inalazimika kuwa na shipbuilding na shipping industry nzuri sababu wanaexport sana na kufanya imports sana za nishati, chakula na materials.
Marekani haihitaji sana importation na exportation of goods kama China. Yani tuseme ufungie meli kutoka na kwenda China na ufanye hivyo kwa Marekani wa kwanza kuumia ni Mchina.
Kwenye vipaumbele shipbuilding ni muhimu kwa China, Marekani haieleweki inataka ifanye nini.
 
Huyo jamaa atakuchosha bure..
 
Lakini kumbuka anazijenga na kuziuza nyingine kwa mataifa mengine. Mfano meli za mafuta na mizigo. By the way point yako naielewa maana sasa china ndiye exporter na nadhani 2nd importer mkubwa dunian. Lakini US si 1st importer kama hicho ni kigezo kwani hahitaji meli kuimport goods
 
Sasa ndio mpaka waamke. Unajua my point hapa ni kwamba china anakuwa serious kwenye kila kitu anaanza kwa kusua sua baadaye unakuta ashaongoza.
Hata kwenye chip manufactuting baada ya miaka kadhaa utashangaa yuko vizuri.
Pale Beijing mwezi May walikuwa na maonyesho makubwa ya China Science Fiction Convention kwa siku 12

Wanasayansi kutoka mataifa mbalimbali walialikwa. Wengi walikiri kuwa kwa sasa China ina latest cutting-edge technology and science fiction elements
 
Bandari yake ya kwanza Afrika iwe DPW / TPA Dar.
 
Mwenye macho haambiwi tixama nskuuliza nitajie gari moja tu ya petrol ya mchins ukiyowahi iona popote Tanzania. Jina ls hiyo gari inaitwaje?

Kwan tanzania ndio dunia nzima [emoji19]ebu Ficha utahira umeambiwa world wide sio lazima uyaone hapa kenya wakinunua ya kutosha na uturuki akiagiza zote zinaenda kwenye hio hesabu moja .
Kingine sio mpk uone wewe
 
Unajua China ana advantage kubwa sana ya soko lao la ndani kwa mfano wana kampuni nyingi za shipping kama COSCO, CHINA SHIPPING, SINOTRANS, YANG MING na zinginezo ambazo hao lazima wanunue meli zinazotengenezwa nchini kwao

In term of orders worldwide Mchina kamzidi South Korea

Na kwa sasa makampuni mengi yanafanya kazi na China kwa sababu makampuni ya China yako more competitive in terms of productivity, production stability, labor and on-time vessel completion

Ndio maana Mchina amekuwa top kwa miaka 13 mfululizo
 
Mdogomdogo tu songoro marine atatufikisha huko tena itakua km utan yaan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…