China yazindua Cruise Ship ya kwanza, 'Adora Magic City.'

Asante sana kwa taarifa hii, China pia ime iovatake Japan kwa car export!, ndio nchi inayoongoza kwa export ya magari duniani!.
P
Waanze kutuuzia magari used kama tulivyozoea za kutoka Japan huenda gharama zikawa chini zaidi na sisi wengine tumiliki magari ingawaje jini TRA naye hatakuwa mbali kwenye kupandisha kodi.
 
Tupambane mkuu , huko kwenye suti hakuwezi kututoa kama taifa.

Siku mkulima wa Tanzania akiacha kutumia jembe la mkono at least tutakuwa tumepiga hatua ya maana.
Suti zinaweza kututoa .tukiwa exporters wakubwa wa suti duniani.
Halafu nchini kunakuwa na kampeni ya kila mtu avae suti,hata mkulima shambani
 
Waanze kutuuzia magari used kama tulivyozoea za kutoka Japan huenda gharama zikawa chini zaidi na sisi wengine tumiliki magari ingawaje jini TRA naye hatakuwa mbali kwenye kupandisha kodi.
Hawa wangese wanapata hela kuliko alietengeneza gari.

Gari ya milioni 8 kodi milion 12,
 
Good analysis mr.
 
Hapa ndo naona boing na airbus wajipange aisee
 
Hapa ndo naona boing na airbus wajipange aisee

Asilimia 10 ya soko la ndege duniani ni China kwa hiyo tayari hiyo C919 ina uhakika wa soko kubwa la ndani. Na hapo haujagusa Hong Kong ambao wana shirika kubwa la Cathay Pacific

Hii tayari ni advantage kwao katika kutengeneza revenues kwa ajili ya R&D, operating cost na marketing



Najua bei ya C919 itakuwa chini ya hizo Boeing na Airbus.

Kwa kuwa sikuzote lengo la investors ni ku-maximize profit, usishangae baada ya muda ukasikia Ethiopian Airlines au Qatar Airways au Fly Emirates wameweka order kununua C919 kadhaa ili kutengeneza return on investment kwa muda mfupi
 
China wana mashirika makubwa ya airlines kwenye top 10 ya mashirika makubwa wanayo 3.



Kwenye top 20 wanayo 7

So kama ulivyosema hiyo tayari ni advantage kwao kuwa na domestic market ya uhakika
 
Ethiopia ilikuwa na mchakato wa makubaliano na C919 wa mauziano ya ndege
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…