Itakuwa umeukutia huo mjadala wakati US akijibu, Ulaya na Marekani wote wanatengeneza EV kama China, but ili kudhibiti nchi za Ulaya na Marekani zisipeleke magari yao China, alichofanya China ni kuwapandishia tarrifs, kuona hivyo US akaona huu ni ubwege na yeye akaongeza Tarrifs akisema kama ndivyo na yeye anapaswa kulinda soko lake, viwanda vyake na ajira za watu wake.
EU nao wameshapendekeza kupandisha tarrifs kwa EV kutoka China, tena wao tarrifs za ni ndefu kuliko za US, China alipoona ameminywa ndiyo akatoka out in the open kuanza kulialia. Lakini yeye ndiye ameuanza huu mziki.